Captain George Mazula Afariki

Tshala

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Messages
261
Points
225

Tshala

JF-Expert Member
Joined May 23, 2008
261 225
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Capt Mazula mahali pema peponi. Bwana Alitoa na sasa ametwaa,jina lake lihimidiwe. Amen.
 
Sipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Messages
2,145
Points
0

Sipo

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2008
2,145 0
wanandugu Member Wa Jf
Rafiki Yetu Kaka Yetu Mpendwa Baba Yetu Capt George Mazula Amefariki Hivi Punde Huko Tanzania Habari Kamili
Tuwe Pamoja!!!!!mungu Amlaze Mahali Pema Peponi
!!!!!poleni Sana Wanafamilia!!!!
Poleni Sana Familia Na Watanzania Wote. Kama Ujuavyo Watanzania Tuna Utamaduni Wa Kusaidiana Na Kufarijiana Katika Matatizo Kama Haya. Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Mahala Pema Peponi. Nanyi Ndugu Mshikamane Katika Kipindi Hiki Kigumu Na Mungu Mwenyenzi Awape Faraja. Amen
 
Kinto

Senior Member
Joined
Apr 22, 2008
Messages
109
Points
195

Kinto

Senior Member
Joined Apr 22, 2008
109 195
Kwa maana hapa hatuna mji udumuo, Bwana alitoa, na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. Mungu awape ujasiri na ustahilimivu katika kipindi hiki kigumu
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,845
Points
2,000

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,845 2,000
Poleni na msiba ndugu zetu kina Brian na George.

Mapema mwaka huu nilipata nafasi ya kukaa meza moja (chakula cha jioni) na mzee Mazula alipokuja kuwatembelea wanae na pia kutoa shukrani kwa jumuiya baada ya kifo cha mwanae Walter. Ilikuwa ni heshima kubwa sana kukutanishwa naye we had some very light moments.

Kutoka hapa Detroit tutawajulishe taratibu za maombolezo na michango ya pole.

M. M.
 
Triplets

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2007
Messages
1,123
Points
1,225

Triplets

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2007
1,123 1,225
ama kweli siku hizi za karibuni mtandao umegubigwa na wingu la misiba...misiba tuuu...poleni sana wafiwa woote, my heart is down and broken
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,417
Points
1,225

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,417 1,225
Poleni na msiba ndugu zetu kina Brian na George.

Mapema mwaka huu nilipata nafasi ya kukaa meza moja (chakula cha jioni) na mzee Mazula alipokuja kuwatembelea wanae na pia kutoa shukrani kwa jumuiya baada ya kifo cha mwanae Walter. Ilikuwa ni heshima kubwa sana kukutanishwa naye we had some very light moments.

Kutoka hapa Detroit tutawajulishe taratibu za maombolezo na michango ya pole.

M. M.
Mkjj, msiba huu utakugusa sana. Pole sana kaka. Nakumbuka ulivyoniambia kuhusu "light moments" mlipokuwa mezani. It's one of those things vinavyokufanya mtu kweli ukumbuke how close you were with the person.

Namwomba Mwenyezi Mungu Amrehemu. Amina.

SteveD.
 
Mgagagigikoko

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2007
Messages
474
Points
0

Mgagagigikoko

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2007
474 0
IBRAH

Huyu si huyo unaemfikiria. Wakati wa East Africa Airways George hakuwa Captain. Nadhani bado alikuwa shule. Mind you East Afircan Airways imekufa 1977

Anyway ndiyo kazi ya Mungu
 
Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,511
Points
1,500

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,511 1,500
This is just too much in one week for anyone to take. George was my cousin and my friend. Dar and Tanzania will never be the same for me without him. Gone too soon, gone too soon!
 
Who Cares?

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Messages
3,532
Points
2,000

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2008
3,532 2,000
Nilimfahamu Mzee Mazula Kama Mmoja Kati Ya Watu Wacheshi, Watani Na Kubwa Kuliko Yote Msema Ukweli Pasipo Kuogopa Kitu Wala Mtu...inasikitisha Sana Kuondoka Kwake Duniani Mapema Kiasi Hiki Ambapo Watu Kama Yeye Jamii Na Dunia Nzima Inawahitaji Kuleta Mabadiliko Yanayoonekana Na Yatakayokuwa Na Manufaa Makubwa Kwa Vizazi Vijavyo...na Ni Nanai Basi Huyo Mwenye Uwezo Wa Kubadili Mipango Ya Mungu Kati Yetu Sisi Wanadamu???.....kwa Vila Hakuna Na Hatokaa Atoke, Basi Na Jina La Bwana Lihimidiwe Kwa Kila Jema Alitekelezalo Kwa Sisi Waja Wake...ametoa Na Sasa Ametwaa.
Naungana Na Familia Yote, Ndugu, Jamaa Na Marafiki Wa Mzee Mazula Katika Kuomboleza Kifo Cha Mpendwa Wetu...rest In Peace Mzee George Mazula
 
BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,026
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,026 2,000
Poleni sana familia ya Mazula kutokana na msiba huu mkubwa uliowafika. Namuomba Mola awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu kwenu. Mwenyezi Mungu ilaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,026
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,026 2,000
Nilimfahamu Mzee Mazula Kama Mmoja Kati Ya Watu Wacheshi, Watani Na Kubwa Kuliko Yote Msema Ukweli Pasipo Kuogopa Kitu Wala Mtu...inasikitisha Sana Kuondoka Kwake Duniani Mapema Kiasi Hiki Ambapo Watu Kama Yeye Jamii Na Dunia Nzima Inawahitaji Kuleta Mabadiliko Yanayoonekana Na Yatakayokuwa Na Manufaa Makubwa Kwa Vizazi Vijavyo...na Ni Nanai Basi Huyo Mwenye Uwezo Wa Kubadili Mipango Ya Mungu Kati Yetu Sisi Wanadamu???.....kwa Vila Hakuna Na Hatokaa Atoke, Basi Na Jina La Bwana Lihimidiwe Kwa Kila Jema Alitekelezalo Kwa Sisi Waja Wake...ametoa Na Sasa Ametwaa.
Naungana Na Familia Yote, Ndugu, Jamaa Na Marafiki Wa Mzee Mazula Katika Kuomboleza Kifo Cha Mpendwa Wetu...rest In Peace Mzee George Mazula
Unachosema ni kweli tupu. Mimi pia nilimfahamu Mzee Mazula na familia yake yote kwa kweli ni watu wazuri, wachangamfu na wenye msaada mkubwa kwa ndugu, jamaa na marafiki zao. Ni pigo kubwa kwa familia hiyo.
 
Single D

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
458
Points
195

Single D

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
458 195
Poleni sana familia ya Mazula na mwenyezi awape nguvu katika kipindi hiki cha kuondokewa na kipenzi wenu.
Kazi ya mola haina makosa.
R.I.P cAPTAIN mazula
 
Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,965
Points
1,225

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,965 1,225
Inasadikika alikuwa anaumwa au anasumbuliwa na mgongo lakini kilicho sababisha kifo chake inasadikika kuwa ni PUMU.
 
Forum statistics

Threads 1,378,731
Members 525,185
Posts 33,722,537
Top