Cannabis sativa...

Cannabis sativa...

How do you feel unapovuta Gambe? Ndugu yangu alikuwa Mkuu sana Polisi na alikuwa anavuta bangi bila watu kujua, Mtu aliyeniambia nilishangaa sana amejuaje sie hatujui, Sikutegemea.
Nikivuta ninakuwa huru, hakuna mawazo yanayonisumbua na ninakuwa na furaha nyingi...kuna kipindi nilipitia frustrations na depression za maisha ila nilivyogundua manufaa ya mmea naweza kusema ndio kuliokoa maisha yangu
 
Wanaokukataza bangi ndio wanaovuta
Pic%20Layer_2021119225352610.jpg
 
Bangi si kama watu wengi wanavyo itafsir, na pia haina addiction kama wengi wanavyo dhani.
Ina virutubisho vikuu viwili ambayo ni THC na CBD. Hivi ni virutubisho muhimu kama vile tunavyovitafuta katika matunda. Lakini THC na CBD inaenda kwenye Pineal Gland, ambayo ni sehemu ya ubongo inayojihusisha na Imagination.
So unapovuta itategemea unawaza nini, na nini kimetawala fikra zako na kuenda kuamplfy. Ukiwa happy utakuwa happy zaidi, ukiwa na huzuni utahuzunika zaidi, hii ni kwa kila mahali ambapo fikra yako itaenda.
 
Yeah
 
Mkuu unamfahamu Muddy Waters?, ha ha haa.

Huwa naamini watu wachache sana wanazielewa nyimbo hizo. Hongera

Sent from my SM-N916S using JamiiForums mobile app
Huu ni muziki wa aina yake, muziki unaotukumbusha black jinsi gani tuko blessed. Hawa watu walikuwa wanafanya real music. Itabidi hata tufungue thread special kwa nyimbo hiz aisee. Unamsikiliza na Aretha Franklin?!
 
Mateja wengi walianza na kuvuta bangi co ukianza kuvuta bangi upo kwenye Atari kubwa ya kutumia masembe 75% ya wauza bangi wanauza masembe pia sio rahisi mvuta bangi kukimbia mtego wa sembe wachache Sana walianza kuvuta bangi na kumaliza na bangi ila wengi wanaanza na bangi na kumaliza na sembe be carefully na brother wangu yupo soba Hadi Leo hii
 
Usivute bang kwenye vijiwe wala usivute bang kwa kujionesha, wala usipende kuvuta za kugongea. Utayaepuka haya yote
 
Je utachukuliaje wewe (mwanaume/mume) ukigunda mkeo anavuta bangi? Au wewe (mwanamke/mke) ukigundua mmeo anavuta bangi?

Inakuaje kuna watu wanafanya kazi nzuri kabisa managers, engineers, doctors etc na wanavuta bangi na wala hawafanyi vitu vibaya kama wengine wa mitaani wanavyochukuliwa? Inakuaje bangi hiyohiyo inakuwa na matokeo tofauti kwa watu tofauti?

Sidhani kama bangi ni mbaya, ila pale inapotumika na mtu ambaye tayari ana mawazo mabaya au tabia mbaya ndipo inachochea.

Sijawahi vuta bangi lakini natamani walau niionje nione how high people get, sijawahi tumia kilevi chochote lakini siku nikianza kutumia basi iwe BANGI!

Mbona ni kawaida wadada kunywa pombe tena zile kali lakini haistaajabishi? Ila mimi leo nikisema navuta bangi basi nitaonekana muhuni sana..

I WISH ILA NAOGOPA outcome yake kwangu itakuaje na je nitakuwa addicted? And to my side nitakuwa sawa kabisa mume wangu akiwa anavuta bangi BUT asiwe na uhuni.

Naombeni mitazamo yenu.

View attachment 2004601
Tetra hydrocannabinol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom