Canada Canada Canada

Canada Canada Canada

Mkuuu si kweli kwamba mke lazima awe raia ndo mtoto apewe passport.

Kwa uzoefu wangu, mtoto wa kwanza (mvulana) amezaliwa Tanzania na wa pili (msichana) amezaliwa Canada na ni raia.
Kwa sheria za Canada hata kama wazazi wote si raia mtoto anayezakiwa ni raia kama ilivyokuwa kwa case yangu.

Mimi nilienda kwa njia ya kusoma hivyo baada ya mimi kutangulia kwa miezi sita niliwafanyia mpango mke na mtoto kutoka Tanzania waje kunisalimia na walipofika kule tuliongeza muda wa visa na hadi tulipohakikisha tunapata mtoto kule.
Jambo la msingi ni wewe kuingia Canada kihalali na kuishi kihalali na kuna njia nyingi ila mjia nzuri ni kusoma kwani tourist visa itakuwa chini ya miezi sita na utahitaji kuthibitisha una fedha za kutosha muda wote ukiwa kule.

Pia kama hujaoa au kuolewa mwanya mkubwa ni kumpata partner mcanada hii hasa kama wewe mwenyewe unataka ukazi wa kudumu na hatimaye uraia. Unatafuta partner wa kicanada unaoa au kuolew naye hata kama ni fake marriage ila ukifika kule unapewa permanent residence (ukazi wa kudumu) na baada ya hapo unaweza kutoa talaka na kuendelea kivyako hadi kupata citizenship uraia. Wenzetu west afrika ndo zao.
Kuhusu kwenda Canada issue kubwa ni kupata visa hapo ndo wapo makini sana na lazima ujipange hasa ndo maana kwenda shule ndo njia rahic.

Mimi nilisharudi na mwanangu naishi naye Tz na ana passport na kama sheria hazitabadilika akifikisha miaka 18 anaruhusiwa kuwapa wazazi uraia na kwa sasa amebakisha miaka 3 nami anipe uraia then tuhamie wote as family huko.
Pia huwa najitahidi kila mwaka kwenda kutembea ni nchi nzuri isiyo na ubaguzi.

Wengine wenye uzoefu wataongeza na kushauri vizuri.

NB: life ya kule lazima ujipange lazima ujue kufanya kazi, kuna kitu kinaitwa bills ndo utakifahamu vizuri na huku Afrika kuna kitu kinaitwa fursa ndo zimejaa.
Bado miaka 3 ongeza na mingine yakwake ahamie Canada afanye kazi ili awe financially stable kuweza kuwasponsor familia yake ( affidavit of support).
 
Wazo zuri mkuu na pia ndo wajibu wangu kama mzazi.
 
Hhhh,wazee wa yes wanasema eeh eeh.
Delta ya kule karbu na ubalozi wetu chief..km pale patamu kwel,
4/5 star ile lazima ujione upo pepo ndgo hhh kidding
Hivi kumbe ubalozi wetu upo maeneo hayo? Sikujua bhana!!
 
Hhhh,wazee wa yes wanasema eeh eeh.
Delta ya kule karbu na ubalozi wetu chief..km pale patamu kwel,
4/5 star ile lazima ujione upo pepo ndgo hhh kidding
Mji mzuri sana huu jamani
IMG-20170909-WA0128.jpeg
 
Toronto kuna wahindi wengi sana pale nilikwenda mpaka wafanyakazi wa hotelini wadosi.
Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Hao wajinga Wako kibao hapo Toronto maeneo ya Brampton na Scarborough,Pomoja wameishi hapo muda mrefu tabia zao hazibadiliki,wachafu,wabaguzi,ukwepaji kodi
 
Jamani nawashukiru sana wale waliochangia Uzi wangu kwa namna moja au nyingine.
Bigger picture ya haya mazungumzo yamenionesha kitu kifuatacho. Natoa tahadhar hii sio personal attack na nimepata michango positive sana.
Nimegundua wa bongo hatupigani tafu kabisa hasa kwa kuhakikisha mtu kama anamalengo flani na wewe uko katika position ya kumsaidia unakua kama una sita kumsaidia. Sijui sababu ni nini. Either ni ulimbukeni au ni kuogopa akifanikiwa atakupita, mimi sielewi kwa kweli.
Just imagine hii issue mimi ningekua muhindi nikaipeleka kwa wahindi wenzangu yaani nakuambia isingechukua muda nimeshapewa na contact nikifika Canada nimuone au niwaone wenzangu personally.
Ila hapa unachoambulia ni ushauri tu which is well and good. Niko very grateful nimejifunza mambo mengi sana ktk kufanikisha mission yangu.
Ila sasa watu wanajificha ficha. Eti nikipewa full info mtu ataonekana anani smuggle. Unamsmuggle mtu mzima na akili na maarifa na elimu yake. Come on!!!
Nimegundua wapo waliokuwa huko kwa nini tusiwaige wahindi?!!! Si kwa uchafu wao Bali ni ule umoja. Tutaendlea kufanikiwa mmoja mmoja kwa roho hii.
Once again mliochangia nawashkuru sana. Ntakaa chini nipime nini kifanyine InshaAllah ntaleta feedback.
 
FYI.. huko kote nimeshakanyaga kwa kidole Cha gumba!! Niamini Kama hujasoma kwao na kuwa na vyeti vyao hususan..utaishia kazi ngumu zisizo pungua MaSAA 16 ili uweze kumudu maisha!!
Na Saa 4 zitakuwa ktk usafiri wa kwenda na kurudi kazini ..utabakiwa na Saa 4 tu!! Uweze kulsla na kujipikia na kujitunza NK nk!!
2nd Option :- Kama una uzoefu na ujuzi wa kazi za mkono (skill work) basi utapunguza Saa 5 ktk mfumo huo hapo juu !!
Good luck....
Njia zipo nyingi !!
Kaka umesema ukweli kabisa kama hujasoma vyuo vya Canada kupata permanent job ni ngumu sana,pia kuna kitu kinaitwa Canadian experience,hiyo nchi sana ila watu wameshakariri huwaambii kitu,USA,Australia and UK ni bora zaidi
 
Shukran....
 
Una pesa ? Kuweza kumanage gharama za matibabu nchini Canada

Pia Canada na Us hawatoi visa kwa watu wajawazito tena ?

Labda uende Europe napo sio guarantee kwa mtot wako kuwa RAIA Wa EU-nations

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umofia kwenu.

Wazoefu tupeane uzoefu.
Nataka nitimbe na wife Canada na wife akajifungulie mtoto huko tupate passport ya mtoto Canada.
Wanaoishi Canada au wenye uzoefu na njia hii nipeni mawazo au uzoefu wenu.
Changamoto ziko wapi before and after.
Nawasilisha
Lengo lako ni utaifa wa mtoto wenu wenu uwe ni Mtanada!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia sometimes wadosi wanajisahau na kuleta ubaguzi kama wapo mumbai vile!

Back
Top Bottom