Ni wabaguzi sana kuna mji unaitwa Brampton kama sio mhindi kupata nyumba ni nguma kwa mtu mweusi,Vancouver nako wamejaa wachina,kwa kifupi ubaguzi upo sana Canada ila unafichwaNasikia sometimes wadosi wanajisahau na kuleta ubaguzi kama wapo mumbai vile!
Sent using Jamii Forums mobile app