Bossless
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 1,381
- 2,949
Utapewa kwanza interview ya kuwashwa na njemba ya kkicanada ili wadhibitishe kweli kama we punga upo tayari?Hii niliisikia dah! !!
Utapewa kwanza interview ya kuwashwa na njemba ya kkicanada ili wadhibitishe kweli kama we punga upo tayari?Hii niliisikia dah! !!
Mimi nataka kusepa kiukwel mkuu,bongo ishanichosha kiukwelOMG!! Yaani kutaka passpoti tu ?? Kwani hii ya TZ umenyimwa? Wee ngoja Madam ajifungue kwa Salaama baadae msajili cheti na ukajiandikishe Rita;Nida na uhamiaji ....ukishapata vitambulisho husika... Ntakupa Njia ya kuwasili huko Majuu!!
Nafasi yako bado ipo ...usiwe na haraka!!
Mkuu inategemea na mji unaotaka kwenda kuishi, mfano apartment za Ontario mjini zipo bei juu lakini usafiri wa treni na mabasi yapo kila wakati. Ukitoka nje ya mji bei za apartment rahisi ila usafiri uwe nao wako(umiliki gari). Njia rahisi zaidi ya yote ukifika airport omba ukimbizi utapewa room ya hoteli kwa mwezi hadi miezi 3. Baadae utapatiwa nyumba/apartment na kesi yako ya ukimbizi inaendelea, na ukitaka kwenda shule na matibabu bure. Sina uhakika lakini nadhani hukupatia hela ya matumizi kama wewe,mkeo na mtoto mtarajiwa. Na kesi ya ukimbizi inaweza kwenda kwa miaka 2 hadi 5, kwahio naona bora ujipange na kuomba ukimbizi.Mkuu mi wala si gamble hapo. Mtoto akishapata mambo akifikisha 18 mimi sasa ntaamua nimjoin au vepe. Nipe mchongo wapi apartment naweza kupata ya Ku rent for 2 months kwa bei reasonable. Au ushauri please kwa accommodation two months.
Mkuu nisamehe tu hapo nilikuwa nishavuta bangii🤣Dah hili ndio jibu la swali ?
Sipati picha. Unamuacha wife amelala na unachepuka kwenda kupata Moshi? Leo uko lindo ganiMkuu nisamehe tu hapo nilikuwa nishavuta bangii🤣
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mkuu sina mke na sina lindo kwasasa nipo nchi za ulaya kwa vacation tu.Sipati picha. Unamuacha wife amelala na unachepuka kwenda kupata Moshi? Leo uko lindo gani
Wewe sio mzalendo
Kaka kuwa makini kwenye Mada makini. Utakuja kuolewa siku mmojaNenda SiDo katengeneze majiko mkuu.
Kusepa Ndg NI Rahisi!!Mimi nataka kusepa kiukwel mkuu,bongo ishanichosha kiukwel
Nipe mbinu
life is Short weww uko wapi kwa sasa?Kusepa Ndg NI Rahisi!!
Nini sabb za kusepa ? Nini sbb za kuchosha? (Licha fursa zote hizi nchini)
Jee upo hapa na family?
Kwanza tafakari haya!!
😂😂😂😂watoto bhana ni kuwaombea kwa Mungu waje wa kusaidie tu ukizeeka maana mifano hai tunaiona watoto wanavyotelekeza wazazi wao.Unataka kumpandikiza uje ule matunda yako siku za baadaye
never knowWewe sio mzalendo
Mie Mzururaji ninaejitambua (Usiku nipo home; asubuhi nipo safarini; adhuhuri nipo kazini; Mchana nipo Maishani; jioni nipo Mazoezini) !! Life goes on...life is Short weww uko wapi kwa sasa?
Mbona kama unatunga na uhalisia hauko hivyo!?Mie Mzururaji ninaejitambua (Usiku nipo home; asubuhi nipo safarini; adhuhuri nipo kazini; Mchana nipo Maishani; jioni nipo Mazoezini) !! Life goes on...
Ndg Shida ipo wapi? Au nikusaidiajee (ticket/Viza/Makazi/Ajira)!!Mbona kama unatunga na uhalisia hauko hivyo!?
Ushauri wangu ingia webbya zumper au rentcafe,uchague inayokufaa kwa bei reasonable uwezo wako..Mkuu mi wala si gamble hapo. Mtoto akishapata mambo akifikisha 18 mimi sasa ntaamua nimjoin au vepe. Nipe mchongo wapi apartment naweza kupata ya Ku rent for 2 months kwa bei reasonable. Au ushauri please kwa accommodation two months.
Hhhh,wazee wa yes wanasema eeh eeh.Ottawa = Orrawa (wanatamka wenyewe) hahaha...nililala Delta Hotel hapo Orrawa
Wakati wa summer, ni mji mtamu hataree yaan
Hahaha dawa utachimba ukishafika mwisho wa safari, sahivi ni mbele kwa mbele 😂 😂.Dereva wa lorry noma. Hata muda wa kuchimba dawa hatupi. Yeye ni mbele kwa mbele tu.