Canada Canada Canada

Canada Canada Canada

OMG!! Yaani kutaka passpoti tu ?? Kwani hii ya TZ umenyimwa? Wee ngoja Madam ajifungue kwa Salaama baadae msajili cheti na ukajiandikishe Rita;Nida na uhamiaji ....ukishapata vitambulisho husika... Ntakupa Njia ya kuwasili huko Majuu!!
Nafasi yako bado ipo ...usiwe na haraka!!
Unge andika hapa kwa faida ya Weng. Mimi vyote hivyo nnavyo
 
FYI.. huko kote nimeshakanyaga kwa kidole Cha gumba!! Niamini Kama hujasoma kwao na kuwa na vyeti vyao hususan..utaishia kazi ngumu zisizo pungua MaSAA 16 ili uweze kumudu maisha!!
Na Saa 4 zitakuwa ktk usafiri wa kwenda na kurudi kazini ..utabakiwa na Saa 4 tu!! Uweze kulsla na kujipikia na kujitunza NK nk!!
2nd Option :- Kama una uzoefu na ujuzi wa kazi za mkono (skill work) basi utapunguza Saa 5 ktk mfumo huo hapo juu !!
Good luck....
Njia zipo nyingi !!
Kama mtu ni Mechanical Technician inakiaje...?
 
FYI.. huko kote nimeshakanyaga kwa kidole Cha gumba!! Niamini Kama hujasoma kwao na kuwa na vyeti vyao hususan..utaishia kazi ngumu zisizo pungua MaSAA 16 ili uweze kumudu maisha!!
Na Saa 4 zitakuwa ktk usafiri wa kwenda na kurudi kazini ..utabakiwa na Saa 4 tu!! Uweze kulsla na kujipikia na kujitunza NK nk!!
2nd Option :- Kama una uzoefu na ujuzi wa kazi za mkono (skill work) basi utapunguza Saa 5 ktk mfumo huo hapo juu !!
Good luck....
Njia zipo nyingi !!
Kama mtu ni Mechanical Technician inakuaje...?
 
Kama usemavyo!! Itakubidi ujinoe na kupolish vyeti vyako kwa kupitia institute zao kdogo ..walao update ridhaa zao..ila kazi na fursa no nyingi Sana!! Hukosi kitu..na kipato kitaendana kujituma kwako!!
 
OMG!! Yaani kutaka passpoti tu ?? Kwani hii ya TZ umenyimwa? Wee ngoja Madam ajifungue kwa Salaama baadae msajili cheti na ukajiandikishe Rita;Nida na uhamiaji ....ukishapata vitambulisho husika... Ntakupa Njia ya kuwasili huko Majuu!!
Nafasi yako bado ipo ...usiwe na haraka!!
Mkuu kwa faida ya wengi toa hizo njia kaka
 
Umofia kwenu.

Wazoefu tupeane uzoefu.
Nataka nitimbe na wife Canada na wife akajifungulie mtoto huko tupate passport ya mtoto Canada.
Wanaoishi Canada au wenye uzoefu na njia hii nipeni mawazo au uzoefu wenu.
Changamoto ziko wapi before and after.
Nawasilisha
Mida ya dinner inakarbia, live in ottawa hapa mkuu,anyway sjui mkuu una nia ya ku gamble na nini hii plan yako.
Au unatka uchze na ABA ule mpunga wa child benefit nn mkuu
 
Nchi poa sana hii.
7e055b66f5150e3f717aaa51d0354d01.jpeg
 
Mida ya dinner inakarbia, live in ottawa hapa mkuu,anyway sjui mkuu una nia ya ku gamble na nini hii plan yako.
Au unatka uchze na ABA ule mpunga wa child benefit nn mkuu
Ottawa = Orrawa (wanatamka wenyewe) hahaha...nililala Delta Hotel hapo Orrawa

Wakati wa summer, ni mji mtamu hataree yaan
 
Hawezi pewa uraia wa Canada, labda mkeo awe ni wa huko
Mkuuu si kweli kwamba mke lazima awe raia ndo mtoto apewe passport.

Kwa uzoefu wangu, mtoto wa kwanza (mvulana) amezaliwa Tanzania na wa pili (msichana) amezaliwa Canada na ni raia.
Kwa sheria za Canada hata kama wazazi wote si raia mtoto anayezakiwa ni raia kama ilivyokuwa kwa case yangu.

Mimi nilienda kwa njia ya kusoma hivyo baada ya mimi kutangulia kwa miezi sita niliwafanyia mpango mke na mtoto kutoka Tanzania waje kunisalimia na walipofika kule tuliongeza muda wa visa na hadi tulipohakikisha tunapata mtoto kule.
Jambo la msingi ni wewe kuingia Canada kihalali na kuishi kihalali na kuna njia nyingi ila mjia nzuri ni kusoma kwani tourist visa itakuwa chini ya miezi sita na utahitaji kuthibitisha una fedha za kutosha muda wote ukiwa kule.

Pia kama hujaoa au kuolewa mwanya mkubwa ni kumpata partner mcanada hii hasa kama wewe mwenyewe unataka ukazi wa kudumu na hatimaye uraia. Unatafuta partner wa kicanada unaoa au kuolew naye hata kama ni fake marriage ila ukifika kule unapewa permanent residence (ukazi wa kudumu) na baada ya hapo unaweza kutoa talaka na kuendelea kivyako hadi kupata citizenship uraia. Wenzetu west afrika ndo zao.
Kuhusu kwenda Canada issue kubwa ni kupata visa hapo ndo wapo makini sana na lazima ujipange hasa ndo maana kwenda shule ndo njia rahic.

Mimi nilisharudi na mwanangu naishi naye Tz na ana passport na kama sheria hazitabadilika akifikisha miaka 18 anaruhusiwa kuwapa wazazi uraia na kwa sasa amebakisha miaka 3 nami anipe uraia then tuhamie wote as family huko.
Pia huwa najitahidi kila mwaka kwenda kutembea ni nchi nzuri isiyo na ubaguzi.

Wengine wenye uzoefu wataongeza na kushauri vizuri.

NB: life ya kule lazima ujipange lazima ujue kufanya kazi, kuna kitu kinaitwa bills ndo utakifahamu vizuri na huku Afrika kuna kitu kinaitwa fursa ndo zimejaa.
 
Body of plane stowaway 'landed near London sunbather'

2019-07-02 15:05:41

[http://cdn]

The body of a suspected stowaway who fell to his death from a Kenya Airways plane landed next to a man sunbathing in his garden in south-west London, a neighbour said.

Police believe the victim fell into the property in Clapham from the landing gear compartment of a plane heading to Heathrow Airport.

A neighbour told the Press Association news agency that he heard a "whomp" when the body hit the ground on Sunday afternoon, and went upstairs to look out of a window.

FALL FROM SKY

"At first I though it was a tramp asleep in the garden. He had all of his clothes on and everything," the neighbour, who asked not to be named, was quoted as saying.

"I had a closer look and saw there was blood all over the walls of the garden.

"His head was not in a good way. I realised immediately that he had fallen.

"So I went outside and it was just then the neighbour came out and he was very shaken.

"He had been sunbathing and he landed one metre away from him."

A photograph published in The Sun newspaper on Tuesday showed paving stones in the garden smashed and the ground dented.

Describing the victim, the neighbour added: "One of the reasons his body was so intact was because his body was an ice block."

Police said on Monday that a bag, water and some food was found in the landing gear compartment of the plane once it arrived at Heathrow.

VICTIM

Officers are now working to identify the victim.

Many stowaways do not survive due to the lack of oxygen and freezing temperatures in the wheel-wells of aircraft flying at high altitude.

Several bodies have been found along the Heathrow flight path in west London, according to aviation expert Alastair Rosenschein.

"The problem occurs because of lack of security at a number of airports around the world and also the immigration draw," he told BBC radio.

"It is believed that these are primarily illegal immigrants who are trying to get into this country by climbing into the undercarriage bay of aircraft."

Majirani zetu wakenya hawaogopi kujilipua,ni hatari sana,simshauri mtu kuzamia,fuata process zote,panda ndege kihalali
 
Mkuuu si kweli kwamba mke lazima awe raia ndo mtoto apewe passport.

Kwa uzoefu wangu, mtoto wa kwanza (mvulana) amezaliwa Tanzania na wa pili (msichana) amezaliwa Canada na ni raia.
Kwa sheria za Canada hata kama wazazi wote si raia mtoto anayezakiwa ni raia kama ilivyokuwa kwa case yangu.

Mimi nilienda kwa njia ya kusoma hivyo baada ya mimi kutangulia kwa miezi sita niliwafanyia mpango mke na mtoto kutoka Tanzania waje kunisalimia na walipofika kule tuliongeza muda wa visa na hadi tulipohakikisha tunapata mtoto kule.
Jambo la msingi ni wewe kuingia Canada kihalali na kuishi kihalali na kuna njia nyingi ila mjia nzuri ni kusoma kwani tourist visa itakuwa chini ya miezi sita na utahitaji kuthibitisha una fedha za kutosha muda wote ukiwa kule.

Pia kama hujaoa au kuolewa mwanya mkubwa ni kumpata partner mcanada hii hasa kama wewe mwenyewe unataka ukazi wa kudumu na hatimaye uraia. Unatafuta partner wa kicanada unaoa au kuolew naye hata kama ni fake marriage ila ukifika kule unapewa permanent residence (ukazi wa kudumu) na baada ya hapo unaweza kutoa talaka na kuendelea kivyako hadi kupata citizenship uraia. Wenzetu west afrika ndo zao.
Kuhusu kwenda Canada issue kubwa ni kupata visa hapo ndo wapo makini sana na lazima ujipange hasa ndo maana kwenda shule ndo njia rahic.

Mimi nilisharudi na mwanangu naishi naye Tz na ana passport na kama sheria hazitabadilika akifikisha miaka 18 anaruhusiwa kuwapa wazazi uraia na kwa sasa amebakisha miaka 3 nami anipe uraia then tuhamie wote as family huko.
Pia huwa najitahidi kila mwaka kwenda kutembea ni nchi nzuri isiyo na ubaguzi.

Wengine wenye uzoefu wataongeza na kushauri vizuri.

NB: life ya kule lazima ujipange lazima ujue kufanya kazi, kuna kitu kinaitwa bills ndo utakifahamu vizuri na huku Afrika kuna kitu kinaitwa fursa ndo zimejaa.
Mkuu asante kwa ushuhuda.
Mimi kama nilivyoleta mada naenda nikiwa na account yenye pesa ya kujikimu vizuri tu.
Hivi kule nipe address ya miji kadhaa ambapo naweza ishi kwa miezi mi 2 rent iwe sio kubwa kivile ya kitalii. Halaf nafikiria labda Ku rent two bed room apartment hivi. Wewe unashauri vipi mkuu. Au kuna AirBNB za bei rahisi. Mimi hata ikiwa nje kidogo na maji sio mbaya. Kuwe tu na huduma za kijamii.
 
Mida ya dinner inakarbia, live in ottawa hapa mkuu,anyway sjui mkuu una nia ya ku gamble na nini hii plan yako.
Au unatka uchze na ABA ule mpunga wa child benefit nn mkuu

Mkuu mi wala si gamble hapo. Mtoto akishapata mambo akifikisha 18 mimi sasa ntaamua nimjoin au vepe. Nipe mchongo wapi apartment naweza kupata ya Ku rent for 2 months kwa bei reasonable. Au ushauri please kwa accommodation two months.
 
Mkuu asante kwa ushuhuda.
Mimi kama nilivyoleta mada naenda nikiwa na account yenye pesa ya kujikimu vizuri tu.
Hivi kule nipe address ya miji kadhaa ambapo naweza ishi kwa miezi mi 2 rent iwe sio kubwa kivile ya kitalii. Halaf nafikiria labda Ku rent two bed room apartment hivi. Wewe unashauri vipi mkuu. Au kuna AirBNB za bei rahisi. Mimi hata ikiwa nje kidogo na maji sio mbaya. Kuwe tu na huduma za kijamii.
Mkuu, kujua mji upi mzuri kwako inatokana na vile unapenda, kuna majimbo ukienda utafurahia kutokana na lugha yaani kifaransa au kingeteza, ukienda jimbo la Quebec na kifaransa hujui utapata shida kidogo kuliko ukiwa jimbo la Ontario.
Muhimu chochote unachotaka kipo online ni kusearch (google) tu unapata information zozote unazohitaji as long as nia unayo.
 
Back
Top Bottom