2010 hakuna chochote kitakachobadilika. Mafisadi wataiba kura, watatumia vyombo vya dola kuwatisha wananchi na viongozi wa upinzani. Na Watanzania walio wengi ambao wanaishi vijijini hawajui haya ya ufisadi na wengi wao chama cha mafisadi bado ni nambari one.
My Take:
If you protect the world largest gold producer, then you don't need to change a thing in our mining policy. It has to be an all or nothing approach. Otherwise, whatever agreement entered should not cover Canadian companies now operating in the country. It should cover any companies that would later enter the country. Vinginevyo, tukubali tu yaishe.
Hata wasipoiba kura hii mikataba na sheria huwa hazifutwi futwi kirahisi kwa vile tu kuna serikali mpya. Unless tupate jitu moja lije halina mchezo lifukuze ma Karl Peters wote na mikataba yao ya ulaghani kama Uganda ya the 70s, almuradi asichinje wazawa kama Amin!
Tanzanian and Canadian government trade experts are expected to start talks later this month aimed at reaching a foreign investment and protection agreement which will safeguard the interests of Canadian investors in Tanzania's mining sector, a government official told Dow Jones Newswires Monday.
The Tanzanian official at the ministry of energy and minerals, said Tanzanian trade and investment experts will start negotiations with their counterparts from the Canadian Department of Foreign Affairs and International Trade.
"Negotiations are an initiative of the Canadian government," he said.
Hapa tumeshaliwa wazima wazima. Inakuwaje majadiliano hayo yaanzishwe na wakanada hao hao kwa ajili ya kulinda maslahi yabo bila kuangalia maslaahi yetu. Naona hiyo ndiyo initiative ya balozi wa Kanada baada ya kugundua kuwa ile lobbying yake effort kule Dodoma ilikuwa noma.
Ningekuwamo kwenye timu ya wabongo itakayowakilisha serikali kwenye majadiliano hayo, nadhani hawa akina Barrick wangenitambua kweli kweli, lakini najua kuwa mtu atakayetuwakilisha pale atatia sahihi makaratasi yote na kufunga kibahasha chake bila hata kuyasoma makaratsi yenyewe. Tukiamka tunaambiwa chini ya mktaba huo, barrick hawatalaipa kodi wala kufanyiwa lolote na serikali ya Tanzania kwa miaka mia. Sitaki kuamini kuwa upuuzi huu una link yoyote na msiba tunaoendelea kuomboleza.
Kichuguu, tufanye jitihada tu za kuwajua hao majangili kutoka upande wa Tanzania wanaotaka kuuza uhuru wetu wa kuamua mambo na kulala nao mbele mpaka wawe jobless.
Aaaaargh, headache tu. Nunua shares Barrick, au kujilipua tu.
Mafuchila,Hivi hawa si ndio wachangiaji wa bajeti yetu...kwanini tusiwaambie kuwa misaada yao tutakuwa tukijikatia huku huku kutokana na kodi ya makampuni yao?
Wazee yote kwangu tisa kilichoniumiza kichwa ni hiki hapa...Tanzania's annual gold output to 1.75 million ounces.
Sasa pigeni hasabu kwa bei ya dollar 800 kwa ounce ambayo ilikuwepotoka mwaka 2006!.. Na kisha fikirieni utabiri wa wataalam wa masoko wanavyosema kuwa kuna uwezekano mkubwa Gold kufikia Usd 1500 ktk miaka 10 ijayo.
Inauma sana ukijua sisi tumeingiza kaisi gani toka 2006...
Hatupaswi kukata tamaa kwenye vita hii kubwa ,ila naamini kuwa kuna siku tutaibuka washindi wa vita hivi, they can win a battle but not a war ...this is a war.
Tanzania, Canada To Hold Talks Later This Mo On Mining Invest
..
...