Can You Break A Broken Heart?

Kwanza ajue kilichosababisha akavunjwa moyo
Kama kosa lilikuwa lake, ajirekebishe kabla hajavunjwa vipande vya moyo (Kumbuka moyo ulishavunjwa)
Kama kosa si lake amuulize aliyemvunja moyo kwanini ameamua kumvunjia moyo wake,
Apime majibu ya mvunja moyo wake.

Ajiepushe asije akavunjwa vipande vya moyo kwa kuwakimbia wavunja mioyo (asiwe na mahusiano yoyote yanayosababisha uvunjikaji wa moyo)
Apige moyo konde na aamue kuwa sugu na kukubali kuvunjiwa vipande vya moyo, incase ikitokea (kama hawezi kutokuwa na mahusiano, kama mimi babu yenu nisivyoweza)

Ahsanteni kwa kunisikiliza, babu anarudi kitandani.

Babu ukiwa hujalamba ule ugoro wako huwa unakuwa na hekima zaidi.
 
Mi nshawahi kuvunjwa moyo sana. Ndio maana nampenda mwokozi wangu wa kutonifanya kreze: Alkoholi tokea Serengeti Lager / Valeur Brandy.
You break my heart, I drink them lots of alcohol....I break yours!

I think TBL, na SBL inabidi watoe tuzo za mwaka kwa watu kama wewe.
Yes it is possible to break a broken heart, only that the pain of the already broken heart wont be as serious as the pain of the unbroken heart
 
kwa mfano mimi,moyo wangu umeshabrekiwa KITAMBO SANA....!naamini hakuna mwanamama anaeweza kufanya kitu 'kipya'' kabisa katika maisha angu (including my wifey,na analijua hilo).....

sasa videm dem vya bongo mihuwa navishangaa,naviambia nimeoa na moyo wangu ulisha brekiwa tena kwa crusher ya kokoto et na vyenyewe vinataka kubreki my heart

KUDADADADEK
 
Mi nshawahi kuvunjwa moyo sana. Ndio maana nampenda mwokozi wangu wa kutonifanya kreze: Alkoholi tokea Serengeti Lager / Valeur Brandy.
You break my heart, I drink them lots of alcohol....I break yours!

Babu how can you break mine through that??? Is it not breaking yours again and again???
 
Babu ukiwa hujalamba ule ugoro wako huwa unakuwa na hekima zaidi.
Hahaha...we mshiki naona unapotea njia. Utakula BAN!
I think TBL, na SBL inabidi watoe tuzo za mwaka kwa watu kama wewe.
Yes it is possible to break a broken heart, only that the pain of the already broken heart wont be as serious as the pain of the unbroken heart
Mamaa la Carmel...welcome back.
Nasikitika kukufahamisha chama chako kimekufa na wanachawa wako wote wamehamia ISC.

Hakuna kuvunjana mioyo kwenye INFII thats where Infii is here to stay. You do me, I do you then kila mtu anachukua time yake. Yanini kuumizana mioyo kwenye maisha haya mafupi?
 
Babu how can you break mine through that??? Is it not breaking yours again and again???

Babu aint break his own heart....Babu anacrush moyo wa aliyemvunjia moyo... You break mine, I crush/eliminate/demolish yours!

Long Live Serengeti Lager and your Cousin Valeur!!
 
Babu aint break his own heart....Babu anacrush moyo wa aliyemvunjia moyo... You break mine, I crush/eliminate/demolish yours!

Long Live Serengeti Lager and your Cousin Valeur!!

And damaging yourself in the process......
 
mkuu wangu BE,

naamini kabisa uko sahihi......!lakin kumbuka kwamba ''A HUMAN IS A CHANGING BEING'' that's why watu hutofautiana kwenye kila idara (kimsimamo,fikra,etc).

kwa mfano nikiyazungumzia matukio yanayonihusu na niliyowahi kuyashuhudia:

-unaumizwa na mtu katika level ambayo mtu mwingine hata aje na manjonjo gaani ya kukuumiza inakuwa kama ni sehemu tu ya marudio.mtu kama huyo huwa haumii kabisa,anakuwa klonik.

yaani wewe leo umeamka vizuri sana unataka dhawadi gani
 
Hapa nina supagluu ya kuungia vipisi vya moyo........am becoming a fundi moyo....
 
Hahaha...we mshiki naona unapotea njia. Utakula BAN!

Mamaa la Carmel...welcome back.
Nasikitika kukufahamisha chama chako kimekufa na wanachawa wako wote wamehamia ISC.

Hakuna kuvunjana mioyo kwenye INFII thats where Infii is here to stay. You do me, I do you then kila mtu anachukua time yake. Yanini kuumizana mioyo kwenye maisha haya mafupi?[/QUOTE]

Babu leo uko njema big up naogopa kukubusu nimesikia (bibi atachungulia humu leo)
 
Back
Top Bottom