Can You Break A Broken Heart?

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Baba Enock anapenda kufahamu kama inawezekana "kuvunja moyo ulokwisha vunjika"?

Hili swali alilipata katika pitapita zake mitaa ya Mbagala akiwa na wadau...

Naomba kuwasilisha...
 
Ni jambo gumu na lisilofikirika kuvunja moyo uliokwishavunjika,hakuna kitu kama hicho.
 
mkuu yes you can!!!

its just breaking into smaller pieces and that is very possible, because every broken heart has hopes of healing, so killing those hopes is breaking the heart into smaller pieces
:cell:
 
Kiongozi,

Najaribu kufikiria, healing process ya "broken heart" looks like a life time process - right?
 
that's correct.
 
Kiongozi,

Najaribu kufikiria, healing process ya "broken heart" looks like a life time process - right?
very true dude... but its healing too... kama tungeacha broken heart i-run maisha yetu basi tungekua tunamalizia life mawodini mkuu
 
Kiongozi,

Najaribu kufikiria, healing process ya "broken heart" looks like a life time process - right?

sidhani kama ni life time process. Nafikiri pale ambapo unapata mwenzi mpya na anajitahidi kukusahaulisha mabaya yote uliyofanyiwa katika previous relation. Wengine husahau kabisa.
 
Kuna mioyo mingine inavunjwa into tiny pieces...actually beyond repair....its almost impossible to turn things around.....
 
nafikiri maneno hayo yanatumika kwenye muktadha mbili tofauti. broken heart inahukuliwa kama moyo uliojeruhiwa na penzi. kuvunja moyo ni simply kukatisha tamaa. sasa its possible kumkatisha tamaa mtu aliyejeruhiwa kimapenzi, kwani naye ni binadamu kama wengine na huhitaji penzi licha ya kumbukumbu ya kujeruhiwa ilimfikisha katika status ya brocken heart. ila kukatisha tamaa kunaweza hata kukafanya na mtu asiyehusika wala anayemtaka kimapenzi mfano wale waitwao vizabizabina wanwweza kumvuja moyo hata brocken heatrted anayeelekea revival kutokana na vinenoneno vyao
 
sidhani kama ni life time process. Nafikiri pale ambapo unapata mwenzi mpya na anajitahidi kukusahaulisha mabaya yote uliyofanyiwa katika previous relation. Wengine husahau kabisa.

sasa kabla ya kusahau wewe unauvunja tena("kuvunja moyo ulokwisha vunjika,) wee hapo patamu.mtu huyu hata umtume aende afganistan kupigana vita ataenda.
 
nafikiri maneno hayo yanatumika kwenye muktadha mbili tofauti. broken heart inahukuliwa kama moyo uliojeruhiwa na penzi. kuvunja moyo ni simply kukatisha tamaa. sasa its possible kumkatisha tamaa mtu aliyejeruhiwa kimapenzi, kwani naye ni binadamu kama wengine na huhitaji penzi licha ya kumbukumbu ya kujeruhiwa ilimfikisha katika status ya brocken heart. ila kukatisha tamaa kunaweza hata kukafanya na mtu asiyehusika wala anayemtaka kimapenzi mfano wale waitwao vizabizabina wanwweza kumvuja moyo hata brocken heatrted anayeelekea revival kutokana na vinenoneno vyao
Miz Judey kwa nahau ! Muktadha !! Senksi for ur useful post shosti.
Mhandisi
 
mkuu yes you can!!!

its just breaking into smaller pieces and that is very possible, because every broken heart has hopes of healing, so killing those hopes is breaking the heart into smaller pieces
:cell:

That is very true
 
Baba Enock anapenda kufahamu kama inawezekana "kuvunja moyo ulokwisha vunjika"?

Hili swali alilipata katika pitapita zake mitaa ya Mbagala akiwa na wadau...

Naomba kuwasilisha...

Mmmmm possible mkuu, manake ndo unakuta kuna jamaa amekuumiza hadi ukajuta kupenda, halafu unakutana na mwingine unadhani labda huyu ni afadhali, ndo anakutenda mpaka unajuta kuzaliwa. Mmmm eti WANAUME WOTE BABA YAO MMOJA. Huu msemo sijui ulitoka wapi.
 
Inawezekana sana, tena pale ambapo aliejeruhiwa moyo wake anaposhindwa kuwa na subira, nakuamua kutafuta mpenzi mwingine haraka ili amsahau yule wa mwanzo, kumbe huko alikoenda ndo karuka maji kakanyaga matope, anavunjika zaidi mpaka hatamani mtu tena. Na kama ni mdada ndo unakuta anaamua hata kuwa lesbian kwa vile tu, anahisi wanaume wote watamtenda the same way.
 
Mamushka unanitisha......unafikiria mpaka U-Lesbo...........icje ikawa unajiandaa wewe
 
Naheshimu michango yenu:

Sasa ni kitu gani mtu aliyeumizwa (broken-heart) anastahili kufanya ili aziumizwe tena?
 
Asubiri amepona kabisa moyo wake ndio aingie kwenye mahusiano mengine au atafute mtu wa kumpoza akiwa fully aware hata fall in love (rebound relationship) ... Kaazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom