Can a single mother teach her son how to be a man?

Mie sina shida na malezi ya those days....ila kwa miaka hii naona kama the way watoto wanavyolelewa kidogo kuna utata kwa baadhi ya familia and of course nimeshuhudia pia humu humu kwenye mafamilia yetu
Malezi ya sasa naona ni bora kuliko ya zamani, zamani wazazi walikuwa wanazaa watoto wengi kwa kuacha space ndogo sana, kiasi mtoto ndogo hapati care ya kutosha, umasikini ulifanya mama awe busy na kutafuta chakula na kusahau matatizo ya mtoto,
ila sasa watoto wanalelewa vizuri ukilinganisha na enzi hizo
 
Malezi gani bora ?

haya ya kumpeleka mtoto akakulie kwenye day care

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Wazazi wote wana umuhimu mkuu

Japo mimi binafsi sjalelewa na wazazi wangu

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Sasa mmoja anapokuwa hayupo mwingine ni dhahiri hawezi kukamilisha ambacho ambaye hayupo angeweza kukiongeza kwa mtoto.

Mimi mwenyewe nimekua na Baba karibia maisha yangu yote.
 
Malezi ya sasa naona ni bora kuliko ya zamani, zamani wazazi walikuwa wanazaa watoto wengi kwa kuacha space ndogo sana, kiasi mtoto ndogo hapati care ya kutosha, umasikini ulifanya mama awe busy na kutafuta chakula na kusahau matatizo ya mtoto,
ila sasa watoto wanalelewa vizuri ukilinganisha na enzi hizo
Kwa mjini lakini na maeneo ambayo baadhi wameelimika...vingenevyo ukichukua kwa ujumla wake utaona watu bado wanafyatua kama kawa japokuwa angalau kwa kiasi flani hali imebadirika nakubariana na wewe
 
Ni vizuri mtoto apate malezi ya wazazi wake wote wawili , lakini katika uhalisia mwanamke anahusika sana katika maisha ya kila siku ya familia husika , kuanzia mume hadi watoto. Ndiyo sababu wahenga walisema " Asiyefunzwa na mama hufunzwa na ulimwengu" na siyo asiyefunzwa na Baba. Wapo watoto chungu nzima wamepata malezi ya mama pekee na wakawa na mafanikio maishani
 
Malezi ya sasa naona ni bora kuliko ya zamani, zamani wazazi walikuwa wanazaa watoto wengi kwa kuacha space ndogo sana, kiasi mtoto ndogo hapati care ya kutosha, umasikini ulifanya mama awe busy na kutafuta chakula na kusahau matatizo ya mtoto,
ila sasa watoto wanalelewa vizuri ukilinganisha na enzi hizo
Sijaona hoja zako na mifano halisi
 
Ana umuhimu kwa asilimia 85
Asilimia sina uhakika nazo...

Ila mzee nachoweza kusema mtoto anakua kwa malezi ya mama baba na jamii.

Kimojawapo kisipowajibika ipasavyo au kutokuwepo kabisa basi mapungufu yatakuwepo ila sio lazima yawepo kwa kila mtoto.
 
Sasa mmoja anapokuwa hayupo mwingine ni dhahiri hawezi kukamilisha ambacho ambaye hayupo angeweza kukiongeza kwa mtoto.

Mimi mwenyewe nimekua na Baba karibia maisha yangu yote.
Lakini malezi mazuri ya mtoto yanaenda mbali zaidi ya kulelewa na baba na mama, hata mazingira tunayoishi yana determine tuwe watu wa aina gani

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mjini lakini na maeneo ambayo baadhi wameelimika...vingenevyo ukichukua kwa ujumla wake utaona watu bado wanafyatua kama kawa japokuwa angalau kwa kiasi flani hali imebadirika nakubariana na wewe
That's my point, kuna improvement
 
Hapana kwa kweli. Siku hizi kuna vijana mashoga wengi ukichunguza utakuta wametola single mom
Ushoga umekuwepo miaka mingi sana na sio kweli kua sababu ni miaka ya hivi karibuni ya watoto kuzaliwa na kulelewa na mama peke yake.

Kuna sababu nyingi zinachangia mtu kua shoga na sio malezi peke yake, kuna hormonal imbalances ambazo hazitokani na malezi bali genetic disorder.
 
Lakini malezi mazuri ya mtoto yanaenda mbali zaidi ya kulelewa na baba na mama, hata mazingira tunayoishi yana determine tuwe watu wa aina gani

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Exactly.

Ndiyo maana ukimchukua kijana aliyekulia Kijenge na wa Sinza mori watu wawili tofauti kabisa [emoji3][emoji3]
 
Ushoga umekuwepo miaka mingi sana na sio kweli kua sababu ni miaka ya hivi karibuni ya watoto kuzaliwa na kulelewa na mama peke yake.

Kuna sababu nyingi zinachangia mtu kua shoga na sio malezi peke yake, kuna hormonal imbalances ambazo hazitokani na malezi bali genetic disorder.
Hapana Big No
 
Back
Top Bottom