Can a single mother teach her son how to be a man?

Can a single mother teach her son how to be a man?

nimenuniwa kisa nilisema wewe unafuga watoto mpaka leo siongeleshwi ila kiukweli wazazi wengi wa sasa hudhani ndiyo malezi bora kumbe wanapoteza muelekeo wa mtoto
Ni mambo yapi yakifanyika tunaweza tukasema huyu mtu alei mtoto bali anafuga mtoto

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Kwani tatizo la single mothers ni lipi? Dhambi yao ni ipi?
Hamna dhambi ni uchaguzi tuu wa mtu. Ila tunajaribu kuangalia malenzi ya mzazi mmoja yatakua enough hasa kwa mtoto wa kiume?
 
Si mara moja naskia watoto wa kiume au wa kike wanakashfiwa.... nyie watoto mliolelewa na mama mnashida.

Ila nimekua na watoto wa aina hiyo mbona wapo poa.
Kwani kwa desturi zetu mama si ndio mlezi wa familia siku zote ? Mama ktk familia haijalishi baba yupo au hayupo ana nafasi kubwa sana ya kumuharibu au kumjenga mtoto wake wa jinsia yeyote
 
I have no doubt that I am the best man, responsible father and caring husband who raised-up by my mom only. My success is an outcome of her amazing teachings and care. Tabu zinazompata mamako katika kukukuza zinakufanya umuonee huruma na kuapa kutorudia makosa yaliyofanywa na babako katika kukutelekeza. There is a lesson to lean from this. So, yes, we are out there, a number of us.
Huo ndio uthibitisho tunaoutaka hapa sio wengine wanaleta siasa. Ila kwa mtazamo wako ungependa hilo suala lijitokee kwa mtoto wako ambaye huishi nae.
 
Watu maarufu waliolelewa na single mom bongo ni Diamond na Fid Q,
Wanamuziki weusi wa Marekani kama Diddy, 2 pac, Big Notorious, The game, 50 cent, wamelelewa na single moms kutokana na baba zao kuuwawa wakiwa wadogo au irresponsibility, jaribu kuleta sample ya waliolelewa na single wakageuka kuwa mashoga
 
hapana asee, nna mtoto wa bro. kalelewa na mamake tu akija home naona kabisa hakuna mwanaume pale.

mtoto anaogopa hata kukamata kuku, mtoto deko la kike kike tu. asee tukitia mimba na kupata watoto wa kiume tujitahidi kuwaoa hao wadada ama tulee pamoja
 
Hapana wengi wao wanakuwa kama mama zao
 
Kwani kwa desturi zetu mama si ndio mlezi wa familia siku zote ? Mama ktk familia haijalishi baba yupo au hayupo ana nafasi kubwa sana ya kumuharibu au kumjenga mtoto wake wa jinsia yeyote
mzazi/mlezi yeyote au hata jamii ikiamua kumharibu mtoto [anaharibika] tu.

Mtoto hakui kwa anayoambiwa ila pia kwa anayoyashuhudia iwe ndani au nje.


Labda haujanilewa, nimesema ni misemo ya jamii na sio yangu. Mimi nina rafiki yangu tumekua pamoja na shule tumesoma wote na mama yake ni single mom ila ni mwanaume mzuri saana.
 
Inaelekea mr van anaacha kodi ya meza tu anaondoka asbh anarudi usiku.

Mimi toka mwanangu alipozaliwa tupo bega kwa bega mpk mama yake alikuwa anasema namkuza mapema
Ni wewe na Mr Van ndo mko hivi. Na mimi nasemea general.
Japo baadhi mpo

Mrs Van
 
Watu maarufu waliolelewa na single mom bongo ni Diamond na Fid Q, jaribu kuleta sample ya waliolelewa na single wakageuka kuwa mashoga
Mie sina shida na malezi ya those days....ila kwa miaka hii naona kama the way watoto wanavyolelewa kidogo kuna utata kwa baadhi ya familia and of course nimeshuhudia pia humu humu kwenye mafamilia yetu
 
Nadhan wengi tunachanganya mambo hapa
Issue ya kumdekeza mtoto na kumfanya awe mayai mayai haijalishi kama analelewa na mama pekee yake au wazaz wote wawili.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto anakua vizur akiwa na mama,ila anakua vizur zaid akiwa na baba,sababu mama ni kama mwalimu na baba ni msimamizi,so akiwa na mama tu kuna vingi anakosa ambavyo atakuja kugundua ukubwan
 
Back
Top Bottom