Can a single mother teach her son how to be a man?

Can a single mother teach her son how to be a man?

Big no, Single mothers are the one who made children to be stubborn and arrogant, They treat their sons just like their daughters or their friends at end this one raised to a single will have a big chance to become a Gay or not strong man, We are seeing result of being raised to a single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If his father wasn't a man enough to be with his family for better or for worse, how can his son be?

Like father like son. It's never otherwise.
Chukulia kuwa mwanamke amezaa na mme wa mtu
 
Mbaya ni mtoto wa kiume kulelewa na single mother halafu geti kali....ni hatari.

Ila kama sio geti kali ujue mtoto analelewa na mama yake plus jamii inayomzunguka hivyo hakutakuwa na tatizo sana na kama litakuwepo basi ni kwa kiasi kidogo.

NOTE: Kuna watoto pia wanalelewa na wazazi wote wawili lakini mzazi mmoja hasa baba akawa busy na mambo yake pasipo kupata muda wa ku interact na watoto wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa. Hatusemi hivi ili kuwamebehi single mother hapana manake naona kuna single mom wengi wanakuja na mtizamo tofauti hasa wa kuponda na kutoa povu. Tunasema haya ili kupata mawazo tofuti kisha liwe somo kwa watoto wa kike ambao wakiamua kuwa single mom wajue madhara yake hasa kwa mtoto manake kuna wengine huwa wanasema maisha sio kuolewa bali ni kuishi
 
Back
Top Bottom