Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
Kwa kizazi chetu wahenga...lakini wa miaka hii kizazi cha facebook...closeness na mama mpaka dogo anafika form 4 (kama picha inavyojieleza ndivyo life ya siku hizi inakwenda mpaka kijana anakuwa mkubwa)...maana kuna tofauti kati ya KUFUGA na KULEA ...kwa miaka hii ni kama TUNAFUGAA lot of good men out there were raised by single moms.
Kua mwanaume bora kwa mwanamke wako hakutokani na malezi ya baba na mama tu, kuna sababu nyingi.
Unaweza kulelewa na mama peke yake au baba peke yake au wote baba na mama na ukawa mwanaume bora au kinyume chake pia ni sahihi.