shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,154
Jamaa alifanya copy and paste ya alichokifanya huko kwao, ikawa rahisi kunusa,Ila angekuja na approach nyingine may be angefanikiwa.
Kaka Mshana hivi unaweza eleza chochote kuhudu rais Nkurunziza wa Burundi aliponusulika na kupinduliwa nini kilifanya zoezi lile lililopangwa kwa msaada wa kagame ( inasemekana ) ku '' fail ''
je ni kweli kama inavyosemekana kua TISS ndio walio okoa jahazi na kumrudisha Pierre Bujumbura?
Na kama ni kweli walihusika ni kwa faida ipi?
Ukinijibu i ll feel proudly