Camouflagers na informers

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
111,886
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
111,886 2,000
KISWAHILI ni wazugaji na wafichua habari
Ni watu maalum lakini wa kila jinsia umri na kaliba... Kati yao wapo mpaka wezi matapeli, wakabaji na wachawi.. Lakini kila walipo wapo kwa lengo maalum.... Kutoa taarifa ambazo zitasaidia kubaini waovu na kuzuia hatari ama kulinda usalama wa nchi raia ama viongozi....
Hawa watu hutumika kwa namna tatu
1. Kutoa taarifa muhimu za kihalifu zinazosaidia kuepusha janga fulani katika jamii... Iwe la kiongozi ama jumuiya
2.Hutumika kuwajenga viongozi na propaganda za kukubalika kwa kiongozi fulani katika jamii
3. Hutumika wakati wa hatari ya usalama wa nchi,mipango ya mauaji ya viongozi, mapinduzi ya kijeshi, maandamano migomo nk
Ni aina ya watu wenye elimu na waliopewa mafunzo maalum juu na namna ya kuvaa uhusika fulani bila kujulikana, namna ya kuongea, kuripoti na kutoweka eneo la tukio bila kuacha alama yoyote na kujulikana uhalisia....

Mfano wa kwanza
Kiongozi mkubwa anapotaka kutembelea eneo fulani, wazugaji na watoa taarifa za siri hufika wiki moja ama zaidi kabla ya ziara rasmi... Hapa hujigawa katika makundi mawili
. kundi la kwanza ni la kusoma hali ya hewa kiusalama na kukubalika kwa kiongozi.. Mambo mabaya yanayotendwa na viongozi wa eneo husika na maoni ya wadau
. kundi la pili ni wazugaji. Hawa ni wana kitengo cha propaganda ili kuonyesha kukubalika, kuaminika na kuungwa mkono kwa kiongozi na imani juu ya wale aliowatembelea.. Hapa si ajabu kumkuta kiongozi anakula chakula mtaani kwenye banda fulani bila hofu, kunywa kinywaji kama dafu ama kula kitu kama karanga tunda nk... Wauzaji wa vitu vyote hivi ni watumishi wake waaminifu

Mfano wa pili
Nchi inapopitia kipindi cha mashaka kama maandamano usaliti na mapinduzi..
Hapa huangaliwa kwanza maeneo yenye ushawishi mkubwa wa jambo husika.... Ndipo hupelekwa timu ya watu maalum!! Mfano anafika mtu wa kawaida kwenye bar ya kawaida mtaani, ambapo pembezoni kuna kijiwe na bodaboda nk.. Huyu aliyeko bar anakuwa busy na simu na kinywaji chake... Hana story na mtu... Kisha anakuja mwingine mzugaji kama machinga, anajifanya anauza keyholders kwa bei poa sana na kama huna hela anakukopesha...
Bila kujua zile keyholders zina mawasiliano ya moja kwa moja na jamaa aliyeko pale bar

Mfano wa tatu
Hatari ya kuvamiwa kijeshi... Hapa ni pakubwa na penye mengi lakini wanawake warembo hutumika sana kipindi hiki... N kundi lingine ni wazugaji wanaojifanya ni wafanyabiashara wakubwa na watafiti wanaotaka kuwekeza ama kutafiti....
Yote kwa yote jihadhari sana na mikusanyiko yenye dhumuni la maandamano hasa ya kisiasa ama kupinga jambo fulani kitaifa... Ukiachana na wale askari wa fanya fujo uone wenye mabomu ya machozi na risasi za mpira, huwa kuna mdunguaji mmoja tu hatari sana kwa ajili ya kumdungua kiongozi ama walio mstari wa mbele... Kimbia jifiche....

Unaposikia kiongozi kafika mahali na watu fulani wamewajibishwa kwa haki, tambua wazi ni kazi iliyotukuka ya wazugaji na wafichua habari
Unaposikia maandamano, mgomo ama mapinduzi fulani yameshindikana jua fika kwamba kuna kazi kubwa imefanywa na hawa jamaa
ILA unapoona mojawapo kati ya hayo niliyotaja yamefanikiwa vizuri, basi hawa jamaa ama wamefeli ama wanekengeuka miiko yao..!
Kamwe usiwaamini hawa watu hata kama ni ndugu yako... HAWATABIRIKI...!Jr
 
MIGUGO

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Messages
726
Points
500
MIGUGO

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2011
726 500
Binadamu unafanya yooote hayo upo zako bafuni unaanguka unapalarazi unakuwa kitandani wanakubadikisha pampers tu.

Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,460
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,460 2,000
Kama ni wanaridhaa(amateurs) wataacha alama ila kama ni wajuzi (professionals) kutrace alama zao ni kazi moja kubwa sana

Jr
Haipo crime mission duniani ambayo inaweza ikafanyika halafu ikawa 100% fool proof, na kama ikitokea hivyo basi ujue kuna interaction ya nature, kwamba wakati mission inafanyika, ilitokea natural incidence ika-coincide na tukio lenyewe na hivyo kulifanya lisiwezekane tena kutambulika kwa akili ya kibindamu. Tukio la D.B. Cooper, the SkyJacker ambalo FBI bado wanazungusha akili hadi leo, mimi nina-suspect kuwa linaweza kuwa katika aina moja ya matukio ninayoongelea hapa, kwamba wakati D.B. Cooper anatekeleza mission yake, lilikuja likatokea tukio natural ambalo hata yeye mwenyewe hakuwa amelitarajia, na hivyo kui-affect mission yake nzima na kumfanya aonekane kama alipanga tukio ambalo binadamu hawezi kuling'amua, kumbe hapa nature nayo iliingilia kati na kumfanya apate credit zaidi.
Kwenye lugha yetu kuna msemo ambao tafsiri yake kwa kiswahili inasema hivi: SISIMIZI HUTEMBELEA CHINI ARDHINI, ukiwa na maana kuwa unaweza ukafanya crime somewhere katika mazingira ambayo unakuwa uko peke yako kabisa na wala hakuna mtu anayekuona. Na si kwamba unakuwa uko peke yako kwa sababu unakuwa huwaoni watu wakati wapo hapo ulipo, hapana, yaani katika uhalisia ni kweli kabisa unakuwa uko peke yako na hakuna mtu anayekuona, lakini kile ulichokifanya kitakuja kujulikana na utadhani kuwa wakati unafanya tukio, kuna SISIMIZI alikuwa amekufuata mpaka eneo la tukio, ukafanya tukio akiwa anakuona na wewe ukiwa humuoni, na hatimaye SISIMIZI akarudi tena kule ulikotka naye na akaenda akatoa taarifa zote bila wewe kujua! Narudia tena, hakuna Crime mission unayoweza kufanya halafu ikawa 100% fool proof.
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,460
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,460 2,000
Usimwamini mtu yeyote, zaidi ya wewe mwenyewe, wapo kila mahali, na ni ngumu kuwatambua. Chunga sana ulimi.

Hata muokota makopo simuamini.
Lakini sasa na sisi binadamu, tuwe tunaishi maisha ya uhalisia wetu. Yaani inakuwa kama hawa watu wasingekuwepo, tungeweza kuwa tunasema chochote kile tunachoweza kusema, ila wao ndiyo wamesababisha tusifanye hivyo. Ukiona una tabia ya kuchunga sana ulimi wako, ujue una tatizo na inabidi ulifanyie kazi na inamaanisha kuwa ukiwa huru katika mazingira yako, unaweza kuwa criminal. Wazungu wana msemo wanasema kuwa MAN'S REAL CHARACTER IS "WHAT HE WOULD DO IF HE KNEW HE WOULD NOT BE FOUND". Binadamu tunatakiwa kuwa na tabia ambayo inabidi ufiche machache sana, na ikiwezekana yale ambayo ni ya maisha yako binafsi tu, na ambayo ni mema pia. Ukiona unaficha mengi sana na unachunga sana ulimi wako, ujue UKO NEGATIVE, KWAKO NA KWA WATU WENGINE PIA wakiwemo viongozi wako na ndugu zako pia!
 
Zuriel_cfc

Zuriel_cfc

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
3,372
Points
2,000
Zuriel_cfc

Zuriel_cfc

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
3,372 2,000
Hapana kuna baadhi ya habari zimepewa hadhi ya classified INFO hizi huwa haziandikwi hata mitandaoni.... Pamoja na uhuru wetu wa kuhabarishana kuna habari hazipaswi kamwe kuandikwa huku mitandaoni..
Unaweza kujikuta kwenye matata makubwa kwa kuulizwa ulijuaje?
Unatoa siri za watu eeh!
So yule mama aliyemuuzia anko magu matunda kule bandarini alikuwa mzugaji?
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,460
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,460 2,000
Maswali ya msingi ya kujiuliza ...
1. Utawajuaje?

2. Wapi huchukua hayo mafunzo?

Nikipata majibu ya hayo maswali nitaongeza mengine ..
Nimeuliza maswali haya kwa sababu zifuatazo ...
Ninapoishi kuna ofisa mmoja .. nilimpa habari za uhakika .. akabeza na kuniuliza kuwa nimepataje taaarifa muhimu kama hizo kabla yake .. nilimjibu apige simu kwa yeyote aliyeko kwenye kituo chake cha kazi ili apate uhakika. Kabla hajapiga nilimeongezea habari kuwamuda mfupi gari litapitisha wahusika wakipelekwa panapohusika.
Alipopiga simu aliambiwa kuwa habari ni za kweli ...
Mpaka leo huwa hataki tukae sehemu moja, nikiingia sehemu alipo lazima yeye atoke. Akinikuta sehemu atasalimia na kuondoka tu.
Hisia zangu zinanituma kuwa nahisi mimi ni aina ya hao watu wakati mimi siko kabisa kwenye kazi za ajabu-ajabu kama hizo.
Macho na masikio kwako wewe ulosoma hii chango yangu.
Inasemekana kuwa wanawake wawili waliosababisha kifo cha mdogo wa Mh. Rais wa Korea ya Kaskazini kwa kumpaka sumu usoni akiwa uwanja wa Ndege, hawakujua kuwa walichokuwa wanampaka usoni ni ilikuwa ni na sumu ambayo ingeweza kusababisha kifo chake; na wala pia hawakuwa na nia ya kuondoa uhai wake, ila inasemekana kuwa walikuwa kwenye michezo yao ya kuigiza or something similar!
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,460
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,460 2,000
Nimekua na rafiki yangu kwa muda mrefu kidogo, bahati mbaya ni yatima.Nimesoma nae advance huko pomerini iringa. Alikua mtu wa kusoma sana novel,alikua na kipaji cha kushawishi mnoo, yani akikaa na wewe ukawa unaamini katika jambo flani,basi akianza kujenga hoja lazima mwisho wa siku unakubaliana nae,kimsingi ana sifa za kipekee sana,ni mkimya kama mimi, but ukimya wake nilikua nauona kama sio ukimya as ukimya tu! ila alikua kama ni mtu anaechakata vitu flani katika akili yake,ofcoz ni miongoni mwa watu wenye iq kubwa kuwahi kukutana nao,digrii yake kasoma sauti mwanza, na misimu yote akiwa anasoma pale nilikua nakutana nae sana tu, ingawaje kuna vipindi kadhaa naeza kuwa kwenye mihangaiko mikoa mingine ghafla nakutana nae stand, ukimuuliza anakwambia natoka kwa shemeji yako sehemu flan (mkoa).na kwakweli huyu bwana alikua mtu wa totozi sana. aliwahi kufanya field office mbili za mambo ya kisheria na mabosi wote wa office zile ni wanawake na alifanikiwa kuwanyanyua (Fu£$%&),nilikua namuuliza unawezaje kufanya hivyo? alikua ananijibu tu,ni kazi rahisi sana ,moja kati ya vitu vilivyokua vikinishangaza ni lifestyle yake,hakua mtu wa kupata shida ya kipato kabisa, nilikua nikimchunguza sana mienendo yake lakini sipati jibu. Baada ya kumaliza chuo mwaka mmoja mbele nakuja kukutana nae morogoro. akanipeleka kwake katika appartment flan ni mkabala na fieldforce morogoro, alikua vizuri sana. usafiri mzuri nk.nk nikamdadisi lkn majibu mafupi tu. kilichotokea baada ya hapo ni kwamba yule bwana hakutaka mawasiliano na mimi tena,ila ni baada ya kumchana kwa kumwambia nimekuelewa wewe ni nani. nikafuta na namba yake...
Ulifanya blunder ni utoto! Next time ukaona kitu kama hicho, kaa kimya!
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,460
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,460 2,000
Absolutely.

Umenikumbusha mbali sana.

"Locard Exchange Principle".

Trace huachwa ili kutumika ku-track jambo lililolengwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi sana locard's principle inadai hivyo na ......
Proudly sponsored by
RUDI NYUMBANI KUMENOGA!
Kama hili hapa chini kwenye youtube:
Jamaa aliondoka kwenye crime scene na jani la mti lilidondokea kwenye cabin ya pick-up yake. Na hili wanakiri kuwa ni tukio ambalo kwa mara ya kwanza DNA ya mti ilitumika kama ushahidi mahakamani na kumtia hatiani mtuhumiwa. Kabla ya hapo, DNA ya mti ilikuwa haijawahi kutumika, isipokuwa ya binadamu tu. Hawa jamaa huwa wanatumia akili kubwa hadi huwa inanipa maumivu mwilini nikianza kufikiria wanavyofanya kazi! Acha kabisa

Kaparo

Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
1,606
Points
2,000
Kaparo

Kaparo

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
1,606 2,000
Kama ya tukio hili hapa chini kwenye youtube:
Jamaa aliondoka kwenye crime scene na jani la mti lilidondokea kwenye cabin ya pick-up yake. Na hili wanakiri kuwa ni tukio ambalo kwa mara ya kwanza DNA ya mti ilitumika kama ushahidi mahakamani na kumtia hatiani mtuhumiwa. Kabla ya hapo, DNA ya mti ilikuwa haijawahi kutumika, isipokuwa ya binadamu tu. Hawa jamaa huwa wanatumia akili kubwa hadi huwa inanipa maumivu mwilini nikianza kufikiria wanavyofanya kazi! Acha kabisa

Kutokana na forensic science niliyoipitia,
Kuna case study moja niliicheki jamaa alifanya mauaji ya mwanamke na kwenda kumtupa kwenye majalala huko eneo jingine.
E.g Kwa mkoa wa mara tarime ina ardhi tofauti na Musoma Manispaa,
Hivyo katika uchunguzi wa gari ulipofanyika kwa suspect wa mauaji alikutwa katika gari lake tyres zina udongo (soil sample tofauti na ya eneo husika)
Katika soil sample analysis (evidence) iliyofanyika kwenye eneo la mauaji ili match na ile iliyoko kwenye tyres za gari lililokamatwa la suspect.
Hapa unaona hata udongo pia unaweza kutumika..
- Kuna trace evidences kama hair,blood stain, saliva n.k
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,460
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,460 2,000
Kutokana na forensic science niliyoipitia,
Kuna case study moja niliicheki jamaa alifanya mauaji ya mwanamke na kwenda kumtupa kwenye majalala huko eneo jingine.
E.g Kwa mkoa wa mara tarime ina ardhi tofauti na Musoma Manispaa,
Hivyo katika uchunguzi wa gari ulipofanyika kwa suspect wa mauaji alikutwa katika gari lake tyres zina udongo (soil sample tofauti na ya eneo husika)
Katika soil sample analysis (evidence) iliyofanyika kwenye eneo la mauaji ili match na ile iliyoko kwenye tyres za gari lililokamatwa la suspect.
Hapa unaona hata udongo pia unaweza kutumika..
- Kuna trace evidences kama hair,blood stain, saliva n.k
Kwenye huo unaouiita ujinga ujinga, ndiyo huwa kuna siri za mambo makubwa yamejificha humo! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye mambo makubwa, huwa yanajifificha kwenye vitu vya kijinga kijinga ili akili kubwa itumike kuweza kuyaona!. Kwa mfano, kuna real story ya jamaa mmoja aliwahi kufukua maiti halafu akaenda akaichoma kwenye gari lake, ili ionekeane kuwa amepata ajali yeye mwenyewe akiwa anaendesha gari, ili mke wake alipwe LIFE INSURANCE, hatimaye yeye akawa amebadilisha identity baada ya muda, ikaonekana ni mchumba mpya wa yule mwanamke aliyepoteza mme wake kwa ajali ya gari,..., ili wale bata vizuri! Kumbe polisi walishauona mchoro kwenye scene ya ajali kwa vitu viwili vidogo tu, cha kwanza "there was no skidding marks on the road" ambazo zingethibitisha kuwa ilikuwa ajali iliyopelekea gari kuungua, na cha pili, dereva akipata ajali akaungua ndani ya gari alilokuwa akiendesha, kiti cha dereva huwa hakiteketei chote. Kwa case ya huyu jamaa kwa sababu alienda akafukua maiti ya miezi kadhaa na kuiweka kwenye gari ahalafu akaitia kiberiti, kiti cha dereva kilikuwa kimetekea chote! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye vitu vikubwa sana, in most cases!
Acha uongoo mkuu ajali ngapi tumeziona zikiteketea kwa moto na dereva akiwepo kwenye kiti vyote vinakuwa majivu...?
Tembea uone achana na story
Bora tumekupata mtaalamu. Kuna ubishi uliwahi kutokea humu siku za nyuma. Huyu jamaa hapa aliwahi kunibishia, anaweza kuwa yuko sahihi? Nilishamjibu na nikamwekea na ushahidi huu hapa:

Kaparo

Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
1,606
Points
2,000
Kaparo

Kaparo

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
1,606 2,000
Mkuu Makanyaga

Wachunguzi kabla ya ku employ advanced technics katika kusolve crimes huanza na basics ambazo huwa kama hivi,

1. Deductive Reasoning
Hapa wachunguzi hutumia viashiria (clues) na visababishi (leads) kufikia kutoa hitimisho (conclusion) through d.reasoning.
Mara nyingi polisi hawafuati mpangilio wa matukio katika kufikia hitimisho la uchunguzi wa kesi husika. Eg. 7,2,5,4....
Hizi clues and leads huchukuliwa randomly Mpaka pale ushahidi mpya utakapopatikana ndipo utaongezwa katika viashiria (clues) za kesi.

Baada ya ushahidi kwa kiwango kikubwa kupatikana, Ndipo hapo sasa huanza ku organize clues katika mpangilio sahihi e.g 1,2,3...

Kinachofuatia ni wachunguzi kuangalia vitu ambavyo vinavyoweza kuwa havihusiani na eneo husika la tukio na kuchukua details za hapa na pale.

- Mashahidi huanza kuhojiwa na washukiwa (wa kesi kama wapo) wakiwa wamehusihwa kwa namna moja au nyingine.
Hapa pia kuna hitimisho hufikiwa kwa wakati ambapo uchunguzi unakua unaendelea kufanyika

Kwa wakati huo autospy na lab reports zinakua studied na kuchunguzwa kwa kina katika kuhakikisha wanapata maana hasa ya viashiria vilivyopatikana kwenye kesi husika.
A cimbination of these actions helps the investigators to know what CLUES mean.

Bora tumekupata mtaalamu. Kuna ubishi uliwahi kutokea humu siku za nyuma. Huyu jamaa hapa aliwahi kunibishia, anaweza kuwa yuko sahihi? Nilishamjibu na nikamwekea na ushahidi huu hapa:

Nitakuja kuendelea baada ya muda fulani.. Na nitaisikiliza video kwa makini okwa maana bado sija settle kwa hapa nilipo.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
111,886
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
111,886 2,000
Mkuu Makanyaga

Wachunguzi kabla ya ku employ advanced technics katika kusolve crimes huanza na basics ambazo huwa kama hivi,

1. Deductive Reasoning
Hapa wachunguzi hutumia viashiria (clues) na visababishi (leads) kufikia kutoa hitimisho (conclusion) through d.reasoning.
Mara nyingi polisi hawafuati mpangilio wa matukio katika kufikia hitimisho la uchunguzi wa kesi husika. Eg. 7,2,5,4....
Hizi clues and leads huchukuliwa randomly Mpaka pale ushahidi mpya utakapopatikana ndipo utaongezwa katika viashiria (clues) za kesi.

Baada ya ushahidi kwa kiwango kikubwa kupatikana, Ndipo hapo sasa huanza ku organize clues katika mpangilio sahihi e.g 1,2,3...

Kinachofuatia ni wachunguzi kuangalia vitu ambavyo vinavyoweza kuwa havihusiani na eneo husika la tukio na kuchukua details za hapa na pale.

- Mashahidi huanza kuhojiwa na washukiwa (wa kesi kama wapo) wakiwa wamehusihwa kwa namna moja au nyingine.
Hapa pia kuna hitimisho hufikiwa kwa wakati ambapo uchunguzi unakua unaendelea kufanyika

Kwa wakati huo autospy na lab reports zinakua studied na kuchunguzwa kwa kina katika kuhakikisha wanapata maana hasa ya viashiria vilivyopatikana kwenye kesi husika.
A cimbination of these actions helps the investigators to know what CLUES mean.

Nitakuja kuendelea baada ya muda fulani.. Na nitaisikiliza video kwa makini okwa maana bado sija settle kwa hapa nilipo.
Dah.... Asante sana nimejikuta nakuwa mwanafunzi wa investigation cases.... Kuna vitu vipya nimejifunza... Nasubiri mwendelezo kwa hamu
 
Kaparo

Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
1,606
Points
2,000
Kaparo

Kaparo

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
1,606 2,000
Kwanini ajali zinachunguzwa?

"Ni kosa kutumia nadharia ikiwa bado hujapata ushahidi wa kile unachokichunguza. Hii huweka upendeleo katika lile uchunguzalo kabla ya kupata chanzo"

Mazingira/Crime scene

Katika ajali zinazotokea barabarani ni muhimu kurekodi iwapo kuna mvua, tope, vumbi ,barafu na pia shughuli zinzofanyika katika eneo la ajali vilevile na aina ya barabara eg. Highway

AINA YA GARI ILIYOHUSIKA KATIKA AJALI.
Katika case ni muhimu kutaja ni gari/magari ya aina ipi yamehusika katika ajali husika kwani husaidia kujua vizuizi vya usalama vinavyopatikana ktk gari husika eg. Restraint systems kama air bags, Seat belts zilizoko katika gari.
Au ajali ni kati ya gari kubwa vs dogo , dogo vs dogo, kubwa vs kubwa, ya mizigo vs abiria etc
Kama unavyolinganisha ukubwa wa gari bila shaka ni lazima utambue ni akina nani wamehusika katika ajali. Eg. Kijana vs mzee, mzee vs mzee, mzoefu vs asiyemzoefu
Pia kuna study zilishafanyika kujua ni seat gani ambazo ni most vulnerable katika gari.. Hivyo basi baadhi ya seat zikionekana haziko kama ilivyodhaniwa huleta wasiwasi katika uchunguzi.

Haishii hapo bali hata kwa dereva inategemea anayeendesha yuko katika shape ipi.
Eg. Mwanamke mwenye umbo dogo akipata ajali hata kama Air bags zake zinafanya kazi vizuri bado ana hatari ya kuumia katika maeneo ya uso, mkono na kesi za kuungua na joto linalotokea katika air bags (kwani air bags hujazwa kwa gas)

Unaanzaje uchunguzi?

Siku zote eneo la tukio huwa lina kila kitu kinachohitajika ili kukamisha kesi hiyo. The crime scene knows everything in detail.
Kama ni mchunguzi wa ajali maswali kama nini, kwanini, wapi, sangapi, nani, vipi ni maswali yanayokuwa ktk kichwa cha anayechunguza.

NJIA ZA KUCHUKULIA USHAHIDI
hapa utaangalia ni kipi hasa kinafaa kutokana na kesi husika na eneo husika.
Mfano, kama ushahidi umeachwa wa alama za miguu na kuna mvua inakuja yakupasa ufunike eneo kwani sio kila sample inapelekwa lab. sample ya ushahidi inaweza kupotea wakati wa kubeba/usafirishaji.
Kwenye kesi kama hiyo yakupasa upige picha, upate sketch ya eneo husika, videofootage kama zipo za eneo.

Taarifa za kuangalia wakati ambao gari linakua limepata ajali (basics)
- Eneo ambalo gari imeegemea.
- Eneo walilopo majeruhi ikiwa ajali imetokea na watu wametoka ndani ya gari.
- Eneo la mabaki ya gari
- Eneo la mikwaruzo (skid marks) katika gari zilizohusika/iliyohusika.
- Vifaa vilivyokosa katika ajali husika
- Damage iliyotokea katika mazingira ya pembeni ya gari eg. Kugonga mti, nyumba, n.k

Kumbuka ajali hufuata sana newton's second law of motion

ANALYSIS PART.

Hapa unaangalia kwanini hiki kiko mahala hapa na nini chaweza kuwa kimesababisha mpaka kufikia hapa. Eg. Kiti cha dereva kung'oka na kuegemea upande wa nyuma wa abiria. Na kama imehusisha engine kupatikana eneo jingine lazima mjue kabla ya ajali hiyo wngine ilikua na madhaifu yapi .
Kiufupi kila kitu ambacho kiko displaced kinakuwa na maelezo na maswali yanayotaka majibu.

Nadhani kuna ile quote kwamba imagination is better than knowledge (sikumbuki aliyeisema) ila katika kesi zinazihusisha ajali ni moja ya vitu vinavyohitaji uwezo mkubwa wa kuimagine na ku visualise vitu katika mind yako kama vile imetokea ukiwepo ama wewe ni shuhuda.
Hii hufikia mpaka hatua ambayo mchunguzi hujiweka katika nafsi ya dereva na kuangalia possibilities zilizopo mpaka pale atakapoona moja wapo ina match na statements zilizopo. Kwani kwenye ajali kuna scenario tatu.
Precolission, collision (impact) na post collison.

Kwenye part ya impact hutegemea sana majeraha, au madhara yaliyopatikana kwenye wahusika wa ajali ambayo hupimwa kuona kama yanashahabiana na msuguano/mgongano uliopatikana ndani ya Gari husika.

LaKini kabla ya kutoa hitimisho yapaswa kujua kuwa
"sio kila ajali zinafanana, na kila ajali ina namna yake ya kuchunguza lakini namna ya kuchunguza ajali haiwezi kubadilika sana japokua ajali zinatofautiana"
Hii hutegemeana na nani ambaye anachunguza ajali husika, kwani kila mtu ana patterns anazoangalia katk uchunguzi wake.
 
Kaparo

Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
1,606
Points
2,000
Kaparo

Kaparo

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
1,606 2,000
Katika vehicular accident investigations and reconstructions
Ina ishu nyingi sana sana ambazo ukipitia kila moja moja ni mada kamili kwani nimebakisha,
- Kuna investigation zinazofanyika ktk fresh scenes (uchunguzi baada ya ajali kutokea, Stale or aged scene (kufanya uchunguzi baada ya eneo la ajali kupatikana baada ya siku nyingi,
Cc Makanyaga Mshanajr
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
111,886
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
111,886 2,000
Katika vehicular accident investigations and reconstructions
Ina ishu nyingi sana sana ambazo ukipitia kila moja moja ni mada kamili kwani nimebakisha,
- Kuna investigation zinazofanyika ktk fresh scenes (uchunguzi baada ya ajali kutokea, Stale or aged scene (kufanya uchunguzi baada ya eneo la ajali kupatikana baada ya siku nyingi,
Cc Makanyaga Mshanajr
Nitajifunza hii kitu for interest
 
Kaparo

Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
1,606
Points
2,000
Kaparo

Kaparo

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
1,606 2,000
Nitajifunza hii kitu for interest
Ni nzuri,
Binafsi nimeisoma darasani na sikutaka kuishia hapo japokuwa scope yangu iliishia kwenhe ishu za experiments zaidi.. (forensic chemistry) hivyo haifiki katika ishu za vehicles wala ballistics na weapons maana imeingia katika forensic physics japokua zote ni forensic science.
Huku nimejisogeza kwa sbabu ya kiu na curiousity tu.
 
Forum statistics

Threads 1,304,159
Members 501,282
Posts 31,504,846
Top