Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake litukuzwe.
Ushoga tena!!?? mbona unaharibu mambo sasa
mkuuuu huyu jamaa ni nani na anakaa sehemu gani huku rombo??? Mamsera mwika megwe,tarakea au wapi mkuuu???? Niudhurie mazishi huku rombo
Unajua hilo swali lake ukilitohoa kwa kiingereza litakuwa: "What is he?". Sasa kiswahili kina maana moja tu ya "What is he?" na "Who is he?".si umeshaambiwa ni Calvin Francis........
Ngoja na mimi nigonge kipuri sikio la kulia.
Kwa hiyo alikuwa hotelia?kama sijakosea huyu dogo nilishawahi kufanya nae kazi alikuwa field student pale Ubungo Plaza...RIP Calvin...
kwa hiyo alikuwa hotelia?
Unataka kunambia alikuwa hapa s.....s?it technician
YES!! He's an IT Personnel..akapata kazi JMall pale..ni kweli amefariki bana!it technician
Kwa hiyo alikuwa hotelia?
Bwana ndio kamuua???Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake litukuzwe.
Yo too jumpy..nimecheka na ukurupukaji wako!
Nakuunga mkono hiyo salama na amani unatakiwa uiingie ukiwa hai.
Qur'an 2:208 O ye who believe! Enter into Islam (Peace) whole-heartedly; and follow not the footsteps of the evil one; for he is to you an avowed enemy.