Kuna mtu yeyote ambaye ameishajaribu kutumia hizi card zilizo kwenye barners za hapa JF CallTanzania.Com?
Kama yupo naomba anisaidie yafuatayo, nataka kujua quality ya sauti na kama kweli rate hizo walizosema ziko sawa ama ni biashara ya kuvutia matangazo? Kuna kadi nyingine ukipiga baadhi ya mitandao connection inakuwa mbovu na credit inaliwa hata bila kuongea, je, hizi kazi zinatwanga mitandao yote ya Bongo?