Calling Jesus God is it a sin? Or an act of devish?

Fanatism is an act of believing without reasoning.....how could one to understand a bible should have holy sprite? Did the Bible come for only those who are holy? Where do holy sprite got? This is another tricky used by Christian fanatics after failing to explain logic of their belief.....
 
Ni upumbavu na kama yesu ni mungu basi hata ebitoke aweza kuwa mungu.
 
Your logic does not match up to God's wisdom,so you can never understand God,his way of thinking and of doing things. He is simply too high for our brains to comprehend and understand,so we just have to accept that what He does is 100% correct.Why,because he loves us and has our best interests at heart.
 
So what was the logic en intention of God to reveal a book that we can't understand? Is God using the policy of you cant convince them confuse them?
 
Ni upumbavu na kama yesu ni mungu basi hata ebitoke aweza kuwa mungu.
Hivi huo ujasiri wa kutamka maneno makuu ya makufuru kiasi hiki dhidi ya Mungu aliye hai mnautoa wapi.Mungu awakemee na awafumbe vinywa vyenu kwa Jina la Yesu.
 
Hivi huo ujasiri wa kutamka maneno makuu ya makufuru kiasi hiki mnautoa wapi.Mungu awakemee na awafumbe vinywa vyenu kwa Jina la Yesu.
Mikwala hiyo akampige yehoshafati. Mimi msukulinyungu aniwache.
 
So what was the logic en intention of God to reveal a book that we can't understand? Is God using the policy of you cant convince them confuse them?
You don't understand the Bible because you have turned your back against God.Come back to Him,receive the Holy Spirit and you will understand the Bible.
 
Sijaona watu wanao amini Yesu ni Mungu wakijibu hapa jamaa umemaliza atae bisha aamue tu kukaza fuvu mwenyewe.
 
Hahahahahah all tricks and Contradictions in da Bible you need to read by using
Holly spirit and blaa blaa!

Hawa watu Wana vituko Sio kidogo,yaani wanaamisha vitu watu ambavyo hata wao ni ngumu kuviapply katika uhalisia!


Holly sprite sijui holly spirit etc
😁😁😁😁πŸ”₯
 
Sijaona watu wanao amini Yesu ni Mungu wakijibu hapa jamaa umemaliza atae bisha aamue tu kukaza fuvu mwenyewe.
Hapa keshaweka miwani ya mbao. Huwa wanakuja na porojo za hauwezi kuelewa hadi roho mtakatifu.
 
Yesu anasamehe dhambi ya ulimwengu.. kwani mtoto wa Mungu ni nani?

Yohana Mtakatifu 3:16
 
Hata wenyewe wanajua kwamba wanacho fanya sio ila kwasabb christinity and Bible has turned to be source of income to some lazy men, can't tell pple the truth, that Bible is full of contradictions.
 
Hapa keshaweka miwani ya mbao. Huwa wanakuja na porojo za hauwezi kuelewa hadi roho mtakatifu.
Hawa watu ni waongo wakubwa hakuna holly spirit Wala holly sprite,nilishawahi ishi na mjomba mlokole nimemaliza kidato Cha nne tu nikaenda kwake kupumzika Ili nirefresh mind basi Kwa sababu Mimi nilikua Sina Imani na Hizi Abrahamic Religion since nipo kidato Cha pili ila yeye Alikua hajui nilivyo,
Jumamosi Moja akanambia aaah unajua kanisa letu Lina upako Sana na inabidi twende kwenye ibada ya maombezi,nilishindwa kumkatalia na kumuweka wazi juu nachokisimamia nilitaka bisha nikaona nitamdisapoint basi
Tukaondoka mapema pamoja na binadamu mpaka church
Kufika pale watu wamefurika Hata Kwa kukaa shida basi tukapata siti pale kibishi tulikuta wanaita kusifu na kuabudu kumeanza,
Baasi mchungaji akaingia akafungua ibada ya kukemea mapepo pale ila nikaona wanawake ndio wengi Sana wenye frustration zao wakianguka na kugala gala chini nikawa nazoom tu ule usanii
Mchungaji akaita hivyo holly spirit kwangu sikuona connection yoyote zaidi ya michosho tu

Basi Sasa kumbe mjomba Ile kunipeleka kwenye Lile kanisa lao alijua sijui nitakua na mapepo maaana binamu ndio alinifunulia Siri kusema eti kisa nimetoka Kwa bibi kijijini na bibi yangu namjua ana practice Sana tamaduni basi ankori akajua nitalipuka mapepooo niliyotoka nayo bush 😁😁πŸ”₯
Na ndio maana church alimwambia binamu akae karibu yangu maana lazima nitaanguka tu
Kile kitendo Cha Mimi kutoanguka na kua normal kama hakuna kitu limetokea kilimuudhi na kumdisapoint Ankori na kumkata mood Sana
Sasa Mimi nilivyogundua hivyo kesho yake jumapili tukaenda ibada kuu Ili nimuoneshe Mimi ni Mtu wa aina Gani ulivyofika Muda wa kumpandisha Roho mtakatifu nikasimama niki act kukemea mapepo Kwa Nguvu huku natembea tembea napishana nae nikimzoom naona ananiangalia na kupigwa na butwaa Sana

Tulivyo Rudi home akasema nimeona umempokea Roho mtakatifu mpaka unanena Kwa Lugha daa nimeshangaa nikamjibu aaaagh Mimi mbona niliokoka kitambo Sana na kule home nilipokua shule nilikua kiongozi wa maombi
Zote hizo zilikua ni fix na usaniitupu mpaka Leo anajua hivyo kunihusu ila ukweli naujua Mimi!
Covax
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯
 
Umeweka msimamo wa kuamini kila kilichoandikwa kwenye biblia.
Ambacho unasahau, biblia imeandikwa tu na watu. Wala hakuna uthibitisho kwamba waliandika wakitekeleza maagizo ya miungu.
Wala hakuna miungu iliyotuonesha kuwa inataka tufate biblia kama njia sahihi, ni wakoloni waliokuja Tanzania ndio waliamua haya yote na si miungu.
Unasoma biblia amabayo ni maneno na hadithi za wakoloni na si maneno ya miungu.
 
Hahaha ulimsanifu jomba ako kweli,
 
Hahaha ulimsanifu jomba ako kweli,
hahahah nikikumbuka Lile game nililomchezea Halafu kina mathanzua humu jamvuni ndio waje na bla bla humu kunambia sijui Holly sprite sijui holly spirit Ili kuniconvice nawozoom na kusema hiii bha ghoshaaaa!
😁😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯
 
Narudia tena,na naomba unielewe,yes Biblia imeandikwa na watu,lakini watu wenye uvuvio wa Roho wa Mungu,akiwaongoza kuandika waliyo andiko.Kwa sababu hiyo kila neno kwenye Biblia lina pumzi ya Mungu kwa hiyo linafaa kuwa-adabisha watu,kuwaongoza na kuwa-onyesha makosa yao,ili waweze kuishi sawa sawa na mapenzi ya Mungu,2Timotheo 3:16πŸ‘‡ "Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki."
 
Unathibitishaje wameandika wakiongozwa na Roho wa Mungu. Umeambiwa tu na wakoloni wakatili kwamba biblia ni maneno yenye pumzi ya Mungu. Umeambiwa tu
 
My simple question is here when was the bible revealed? en when was it written after its revelation?
 
Unathibitishaje wameandika wakiongozwa na Roho wa Mungu. Umeambiwa tu na wakoloni wakatili kwamba biblia ni maneno yenye pumzi ya Mungu. Umeambiwa tu
Wakoloni wepi mkuu,mnalishwa maneno na agents wa Shetani na ninyi mnaamini.Biblia haikuandikwa na wakoloni,imeandikwa na Waebrania.Kwahiyo hata Wazungu walipelekewa.Mathayo,Luka,Marko,Yohana,Paulo etc. sio Wazungu,hawa ni Waebrania.Hao unaowaita Wakoloni nao walipelekewa Injili na akina Paulo,Petro nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…