Hii inaonyesha wazi kwamba humjui Mungu.Yeye hakuna linalo mshinda,Yeye sio mwanadamu,akili zake ziko juu mno na hazichunguziki.Tatizo lako ni kwamba unamlinganisha Mungu na mwanadamu,they are incomparable.
What is your basis for saying this,because Christians do not do this.Kwa Mkristo kitendo cha kutoa kafara ni kinyume cha mapenzi ya Mungu.Naomba ufafanuzi katika tuhuma hizi please.Freemasons na other underground societies including the Vatican,ndio wanaotoa makafara watu na vitoto vichanga on a regular basis.
Sipendi Kubishana lakini ningependa unipatie tafsiri za haya maneno ya Yesu mwenyewe👇
John 10:30
New International Version
30 I and the Father are one.
Matthew 28:19
“Go therefore and make disciples of all the nations, baptizing them in the name of the Father and the Son and the Holy Spirit . . .”
John 15:26
“When the Helper comes, whom I [Jesus] will send to you from the Father, that is the Spirit of truth who proceeds from the Father, He will testify about Me . . .”
Kwanza kabisa Yesu ana mamlaka ya Kusamehe dhambi na hili alilifanya waziwazi....
Matthew 9:5-7
New International Version
5 Which is easier: to say, ‘Your sins are forgiven,’ or to say, ‘Get up and walk’? 6 But I want you to know that the Son of Man(A) has authority on earth to forgive sins.” So he said to the paralyzed man, “Get up, take your mat and go home.” 7 Then the man got up and went home.
Nafikiri hapo kwenye swala la dhambi umeelewa
Kama ni ngumu soma na hii👇
Msingi wa Thread ni Yesu ni Binadamu / Mungu ambapo Jibu ni 100% Both..God the Son died according to his human nature. Hakuna binadamu anaweza shinda umauti Lakini Yesu alifufuka baada ya Siku tatu sababu ya Kuwa Mungu 100% Kujibu hili tumekwisha toa vifungu kuprove Uungu wa Yesu ( Rudi nyuma kasome)
Swali lako la mwisho limekufunua kama mfuasi wa mtume ( Ni swali la kizembe sana ) Vinginevyo uendelee kukaza kichwa kukwepa ukweli wa Baba Mwana /Neno na Roho Mtakatifu....( Napo nimekwisha kukupa kifungu )
Niseme tu kwa kuprove yesu ni Mungu hayo maswali yote yanafika mwisho.
In fact many historical facts prove the Bible to be true and unchanged.
There are archeological findings like Dead Sea Scrolls which are the earliest Christian manuscripts, the content in these manuscripts is the same as that in the BIBLES we have today.
Unaurgue kwa mihemuko
Hatuamini miungu watatu tuanaamini Mungu Mmoja ambae ni TRIUNE.
FORGIVEN BY WHO??
Mathew 9:6
But so that YOU MAY KNOW THAT THE SON OF MAN HAS AUTHORITY ON EARTH TO FORGIVE SINS”—then He said to the paralytic, “Get up, pick up your bed and go home.”
Unaurgue kwa mihemuko
Hatuamini miungu watatu tuanaamini Mungu Mmoja ambae ni TRIUNE.
FORGIVEN BY WHO??
Mathew 9:6
But so that YOU MAY KNOW THAT THE SON OF MAN HAS AUTHORITY ON EARTH TO FORGIVE SINS”—then He said to the paralytic, “Get up, pick up your bed and go home.”
Kwanza kabisa Yesu ana mamlaka ya Kusamehe dhambi na hili alilifanya waziwazi....
Matthew 9:5-7
New International Version
5 Which is easier: to say, ‘Your sins are forgiven,’ or to say, ‘Get up and walk’? 6 But I want you to know that the Son of Man(A) has authority on earth to forgive sins.” So he said to the paralyzed man, “Get up, take your mat and go home.” 7 Then the man got up and went home.
Nafikiri hapo kwenye swala la dhambi umeelewa
Kama ni ngumu soma na hii👇
Hii injili ya mathayo iliandikwa na nani? Maana anaesimulia habari hizi za kubumba sio mathayo mwanafunzi wa Yesu...ni nani aliyeibuni hii?
Mathayo9:9
Yesu aliondoka hapo, na alipokuwa anakwenda zake, alimwona mtu mmoja aitwaye Mathayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Basi, Yesu akamwambia, “Nifuate.” Naye Mathayo akainuka, akamfuata

“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu.
Kwa mujibu wa Yesu, aliwafundisha wanafunzi wake kuwa anayesamehe dhambi ni MUNGU wa mbinguni tu.

Historia ya Biblia ( Maktaba ) imeainisha waandishi wote wa Biblia....Injili ya Mathayo imeandikwa na Mathayo mtoza ushuru mwenyewe kama ambavyo Yohana alivyoandika Injili ya Yohana Waraka wa Yohana pamoja na Ufunuo wa Yohana (Huku kwenye injili akijiandika kama mtu anayejitazama kwa nje)
👇👇👇👇
It has traditionally been attributed to St. Matthew the Evangelist, one of the 12 Apostles, described in the text as a tax collector (10:3). The Gospel According to Matthew was composed in Greek, probably sometime after 70 CE, with evident dependence on the earlier Gospel According to Mark.
Matthew, Mark, and John were disciples before his death. Matthew and John were chosen to be apostles, so they spent over 3 years with him.
Did any of the Gospel writers actually meet Jesus, which ones?
Answer
10
Follow
Request
More
Ad by Morning Brew
Find out why over 3 million people read this newsletter.
Morning Brew is the free daily email that delivers the latest news from Wall Street to Silicon Valley.
Sign Up
Matthew, Mark, and John were disciples before his death. Matthew and John were chosen to be apostles, so they spent over 3 years with him.
Mark on the other hand, may have been too young at the time to be selected as an apostle. He records the following incident in his book.
(Mark 14:50-52) 50 And they all abandoned him and fled. 51 However, a certain young man wearing only a fine linen garment over his naked body began to follow him nearby, and they tried to seize him, 52 but he left his linen garment behind and got away naked.
Only Mark records the above, and since like other writers of the Gospels, never named themselves in any events, neither did he. It would show that he must have followed Jesus and the apostles out to the garden, or saw the crowd that was headed there and tagged along.
Mark was a cousin of Barnabas. The house of his mother, Mary, was a meeting place for the apostles after Jesus’ death, so that indicates that both him and his mother were disciples of Jesus.
(Acts 12:12) 12 After he realized this, he went to the house of Mary the mother of John who was called Mark, where quite a few were gathered together and were praying.
Mark went with Barnabas and Paul later on the first missionary trip. for some reason, Mark had to return home. Later he worked again with Paul.
(Colossians 4:10) 10 Ar·is·tarʹchus, my fellow captive, sends you his greetings, and so does Mark, the cousin of Barʹna·bas (concerning whom you received instructions to welcome him if he comes to you),
(Philemon 23, 24) 23 Sending you greetings is Epʹa·phras, my fellow captive in union with Christ Jesus, 24 also Mark, Ar·is·tarʹchus, Deʹmas, and Luke, my fellow workers.
(2 Timothy 4:11) 11 Only Luke is with me. Bring Mark along with you, for he is helpful to me in the ministry.
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu.
Kwa mujibu wa Yesu, aliwafundisha wanafunzi wake kuwa anayesamehe dhambi ni MUNGU wa mbinguni tu.
Unachoendelea Kuuliza ni Ujinga kama umeshindwa kuelewa Kifungu kilichoelezea mamlaka aliyokuwa nayo Yesu kwenye kusamehe dhambi ...Haimaanishi biblia imejichanganya bali ni wewe na mirengo yako.
I'm sorry if I may offend you,
frankly speaking I read one of your thread and may I submit it to you that you one of the perplexed people in this forum.
1 Corinthians 2:14.
But a natural man does not accept the things of the Spirit of God, for they are foolishness to him; and he cannot understand them, because they are spiritually appraised.

No offence taken my brother its only love and knowldge. Because i am natural man and i am not created i am capable of expresing my inerstandings. As a free thinker i am destined to be misunderstood.
If something perplexes you, it confuses and worries you because you do not understand it. There are two type of people in this world those who are natural and those who are artificial product of adam and eve.
To answer your question beyond the balance of probability i shall give you a quotation from Plato “ those who are able to see beyond the shadows and lies of their culture will never be understood let alone be believed by the masses”
I am not an evil man as you think. Read me in an open minded way and thinking you will underatand me.
Hii injili ya mathayo iliandikwa na nani? Maana anaesimulia habari hizi za kubumba sio mathayo mwanafunzi wa Yesu...ni nani aliyeibuni hii?
Mathayo9:9
Yesu aliondoka hapo, na alipokuwa anakwenda zake, alimwona mtu mmoja aitwaye Mathayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Basi, Yesu akamwambia, “Nifuate.” Naye Mathayo akainuka, akamfuata
Kuna aina mbili za masamaha
1) Mathayo 6. -
mwanadamu kwa mwanadamu- pale mmoja anapomkosea mwenzie.
nikikusamehe makosa yako simaanishi nimekusamehe dhambi zake
2)Mathayo 9, Psalm 53.
Mungu kwa mwanadamu- huu ni msamaha wa dhambi, uovu na makosa unotolewa na Mungu kwa mwanadam, hata kama mwanadamu akikusamehe
Kwa point yako ni kwamba Yesu alimsamehe mtu yule alopooza kama mtu anomsamehe mwingine alomkosea.
Kama ni ivo basi mtu yule alimkosea Yesu? Jibu ni si kweli.
YESU anawezaje kusamehe dhambi za mtu asomkosea??.
Kwanza kabisa Yesu ana mamlaka ya Kusamehe dhambi na hili alilifanya waziwazi....
Matthew 9:5-7
New International Version
5 Which is easier: to say, ‘Your sins are forgiven,’ or to say, ‘Get up and walk’? 6 But I want you to know that the Son of Man(A) has authority on earth to forgive sins.” So he said to the paralyzed man, “Get up, take your mat and go home.” 7 Then the man got up and went home.
Nafikiri hapo kwenye swala la dhambi umeelewa
Kama ni ngumu soma na hii👇
Binafsi ningependa unieleweshe jambo moja ambalo linanisumbua sana.
Hivi hao wakina Luka, Mathew etc. Ndo waliokuepo wakati wa yesu na ndio walioandika hii biblia yetu?
Kuna aina mbili za masamaha
1) Mathayo 6. -
mwanadamu kwa mwanadamu- pale mmoja anapomkosea mwenzie.
nikikusamehe makosa yako simaanishi nimekusamehe dhambi zake
2)Mathayo 9, Psalm 53.
Mungu kwa mwanadamu- huu ni msamaha wa dhambi, uovu na makosa unotolewa na Mungu kwa mwanadam, hata kama mwanadamu akikusamehe
Kwa point yako ni kwamba Yesu alimsamehe mtu yule alopooza kama mtu anomsamehe mwingine alomkosea.
Kama ni ivo basi mtu yule alimkosea Yesu? Jibu ni si kweli.
YESU anawezaje kusamehe dhambi za mtu asomkosea??.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.