Calling Jesus God is it a sin? Or an act of devish?

Why does anyone think Jesus Christ is God when he said it is evil thing to say ?

Matthew 9:3-4 (CEV)
3 Some teachers of the Law of Moses said to themselves, "Jesus must think he is God!"
4 But Jesus knew what was in their minds, and he said, “Why are you thinking such evil things?

Mark 10:18 ""Why do you call me good (agathon)?" Jesus answered. "No one is good--except God alone."

So from people who opposed and followed Jesus, some from both sides thought he was claiming to be GOD Almighty. Jesus absolutely rejected this blasphemy and misunderstanding!
Jesus was also called slave of GOD many times. There for in support of the holy scripiture Trinity is a lie from Hell.
Mwanao akiitwa covax kuna ubaya gani? nani ata muuliza??? hata kama muulizaji anamjua fika huyo covax mwenyewe asilia??.....ngoja nikupe huu mfano; Nyerere ni jina la baba yake mzazi kabisaaa!! aliitwa, Nyerere Burito,

lkn weye na watanzania weengi huyo babake Nyerere MKubwa humjui wala hujawahi kumuona hata kaburi sasa, asiitwe ivo?? kuna ubaya gani mtu akiitwa jina la baba yake Mzazi??? nakuuliza??....kuna dhambi yeyote? hiyo ni mifano ya kidunia tu!!

Ni kawaida ya Dunia yoooote!! hata Obama japo ni mzungu nusu lkn Obama ni jina la Baba yake Mkenya! wala haoni aibu kuitwa ivo!!! kwani baba yake obama ulimuona???.......yaani kwanza huko kwa Yesu umeenda mbali sana mie hapa nasema na natamka kifua mbele

bila kumung'unya maneno kuwa ''' Mie smaki ni Mungu'' sababu ni Babangu yule kabisaaa!! .shida iko wapi!!...kanishtaki utolew baru!!
 
Wakristo karibu wote wanaabudu miungu watatu.View attachment 2127415
Mchoro huu unatoka kwenye kiti cha enzi cha Shetani,it has nothing to do with God.It has two symbologies of Satan:the Pyramid and the Sun.

Halafu kwa kuwa FIKRA zenu zimepofushwa na baba yenu Shetani,ni vigumu sana kuu-appreciate ukweli.Ni hivii,Mungu ni mmoja,ila ana office tatu:he works as the Farther,but also works as the Son and the Holy Spirit.Mbona Samia anafanya kazi Kama Rais,Mwenyekiti wa Chama na Amiri Jeshi Mkuu na ni mtu mmoja, lakini hamshangai,au kwa vile ana mwili mnamuona,so it is easy to understand.But remember that we are also have a Soul and Spirit,only that we have a body!
 
Mfano wako hauna logic kwa kutumia maandiko ya haya biblia kama ifuatavyo;

Mathayo 24:36

“Lakini, juu ya siku au saa hiyo, hakuna mtu ajuaye itakuja lini; wala malaika wa mbinguni, wala Mwana; Baba peke yake ndiye ajuaye.

Kwenye andiko la hapo juu tunaambiwa sio malaika wala mwana anaijua saa ila baba peke yake. Ni sawa na kusema Samia akiwa rais wa nchi haifahamu Katiba ya CCM hadi awe mwenyekiti wa chama.

Yohana 5:30

30 Mimi siwezi kufanya jambo lo lote kwa mamlaka yangu mwenyewe. Mimi nahukumu kufuatana na jinsi Mungu anavyoniambia. Na hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sitafuti kufa nya nipendavyo, bali nafanya mapenzi yake yeye aliyenipeleka.”

Hapo kwenye andiko la juu, inaonesha Yesu kuna mtu aliyempeleka imetumika neno yeye nafsi ya tatu wakati Yesu katumia mimi nafsi ya kwanza.

Marko 10:18

Yesu akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake.

Hapo kwenye andiko la juu amekataa kuitwa mwema ila Mungu peke yake.

Yohana 14:28

28 Kumbukeni nilivyowaambia, ‘Ninakwenda, na nitarudi.’ Kama kweli mngalinipenda mngefurahi, kwa kuwa nakwenda kwa Baba; na Baba yangu ni mkuu kuliko mimi.

Hapo juu kwenye andiko hili amenukuu mwenyewe anaenda kwa baba ambaye ni mkuu kuliko yeye. Ukisema Yesu ni Mungu inamaana yeye na baba Kwa maneno yake wamezidiana.

Kwenye maandiko ya juu unaweza kusingizia alikuwa kama anawafundisha kama binadamu. Vipi kwenye haya maandiko ya chini yupo yeye peke yake analia kwa baba?​

Mathayo 26:39

Basi, akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akasali: “Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki kinipite; lakini isiwe nitakavyo mimi, ila utakavyo wewe.”

Mathayo 27:46

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
 
We unathibitisha vipi miungu ipi ni ya kweli kwa kutumia kitabu kilichotungwa na wakoloni?
Huku ni kumpinga Mungu wa kweli.Lakini Mungu anasemwa hivi kuhusu uovu huu katika kitabu cha Warumi 1:18-32
"18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.
19 Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
20 Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru;
21 kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
22 Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
23 wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.
24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao."
 
Why does anyone think Jesus Christ is God when he said it is evil thing to say ?

Matthew 9:3-4 (CEV)
3 Some teachers of the Law of Moses said to themselves, "Jesus must think he is God!"
4 But Jesus knew what was in their minds, and he said, “Why are you thinking such evil things?

Mark 10:18 ""Why do you call me good (agathon)?" Jesus answered. "No one is good--except God alone."

So from people who opposed and followed Jesus, some from both sides thought he was claiming to be GOD Almighty. Jesus absolutely rejected this blasphemy and misunderstanding!
Jesus was also called slave of GOD many times. There for in support of the holy scripiture Trinity is a lie from Hell.
Wanaomuita Yesu kuwa ni Mungu ni wa kuwahurumia Tu.

Maana Bible imeandika kwa kumnukuu Yesu akisema "...mimi ni njia...", "...kama ulivyonituma nifanye nami nimefanya kadri ya maelekezo yako.."...

Washauri watu hao wakasome upya John 17. Itawafaa kumjua vema Yesu Kristo!
 
So who is Jesus to you.
 
Kama umeisukumia mbali Biblia,ambako ndiko Mungu alipojinua na kazi zake,ushahidi utaupata wapi?Wewe ni chumvi iliyoharibika,unahitaji tu neema ya Mungu.
Haya maajabu utayaona kwenu tu watu wa Dini Yaani Mungu anajiinua kwenye Biblia waliyoinakili kina Constantine pale Nicea committee Constantinople Uturuki?
Au kajiinua Kivipi Mimi hua naisoma ila sioni muunganiko wa Mungu mule zaidi ya hekaya za wayahudi na barua za kina Paulo Kwa waefeso na wagalatia Sasa hayo mambo ya wayahudi yanakuhusu Nini Wewe Mathanzua kutoka Katerero Bukoba?
 
Agano la kale ni la Wayahudi yes,lakini Agano Jipya ni la Wanadamu wote.
 
Haya maajabu utayaona kwenu tu watu wa Dini Yaani Mungu anajiinua kwenye Biblia waliyoinakili kina Constantine pale Nicea committee Constantinople Uturuki?
Au kajiinua Kivipi Mimi hua naisoma ila sioni muunganiko wa Mungu mule zaidi ya hekaya za wayahudi na barua za kina Paulo Kwa waefeso na wagalatia Sasa hayo mambo ya wayahudi yanakuhusu Nini Wewe Mathanzua kutoka Katerero Bukoba?
Huwa naamini kwamba ni upuuzi kubishania mambo ya imani,kila mtu ana uhuru wa kuamini anachotaka.Believe in Zeus,Apollo,Neptune,Krishna or whatever,ila at time " t" ukweli utajidhihirisha.

Even though the best way is obvious to the intelligent.Hivii, upo mahali ambapo kutoa watoto kafara si tatizo,ushirikina si shida,kunywa damu za watu si shida,child porn si shida,mauaji si shida, unscrupulous sex si shida,hela ya aibu si shida,rape ya vitoto si shida,ushoga, lesbianism si shida,kunywa damu za hedhi si shida,na uovu mwingine mwingi wa aibu unaofanana na huo si shida,halafu unaukandia ukristo na wewe unajiona upo sahihi na salama!!!!!Ajabu sana.Ni Mungu wa ajabu tu anayeweza kuvumilia ujinga na uovu huo.
 
We unathibitisha vipi miungu ipi ni ya kweli kwa kutumia kitabu kilichotungwa na wakoloni?
Sina muda mchafu wa kubishana na wewe.amini unalotaka kuamini,time will tell who is right.To the intelligent and rational however,the best way is obvious.
 
Wala hakuna aliyetaka uchafu. Mi nimetaka kusikia mantiki yako. Ila kwakua unaaamini mantiki ni uchafu. Basi usiku mwema.
 
Huwa naamini kwamba ni upuuzi kubishania mambo ya imani,kila mtu ana uhuru wa kuamini anachotaka.Believe in Zeus,Apollo,Neptune,Krishna or whatever,ila at time " t" ukweli utajidhihirisha.

Even though the best way is obvious to the intelligent.Hivii, upo mahali ambapo kutoa watoto kafara si tatizo,ushirikina si shida,kunywa damu za watu si shida,child porn si shida,mauaji si shida, unscrupulous sex si shida,hela ya aibu si shida,rape ya vitoto si shida,ushoga, lesbianism si shida,kunywa damu za hedhi si shida,na uovu mwingine mwingi wa aibu unaofanana na huo si shida,halafu unaukandia ukristo na wewe unajiona upo sahihi na salama!!!!!Ajabu sana.Ni Mungu wa ajabu tu anayeweza kuvumilia ujinga na uovu huo.
Mkuu Mathanzua, ni heri hata yule aliye na upofu wa kuutambua ukuu wa Kristo Yesu aliye Bwana na Mungu wetu, japo akaitambua nukuu hii ya maandiko matakatifu;

ZABURI 1

1 Heri mtu yule ambaye haendi katika shauri la watu waovu, wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, au kuketi katika baraza la wenye mizaha.

2 Bali huifurahia sheria ya Bwana, naye huitafakari hiyo sheria usiku na mchana.

3 Mtu huyo ni kama mti uliopandwa kando ya vijito vya maji, ambao huzaa matunda kwa majira yake na majani yake hayanyauki. Lolote afanyalo hufanikiwa

Mchango wako wa maonyo na mafundisho ya kiroho kwenye julwaa letu laJamii Forum ni wenye kutukuka mno. Ila natambua ya kuwa kuna siri hii ya kimbingu, wamepewa macho ila hawataweza kuona, wamepewa masikio wala hawawezi kusikia, wana akili na maarifa ya kibinadamu lakini hekima hiyo hawawezi kuitambua kwa kuwa wamelewa na kupumbazwa na falsafa za kibinadamu.

Ni vyema tuitafakari nukuu hii kutoka katika maandiko matakatifu;

MATHAYO 11

25 Kisha Yesu akasema, “Ninakusifu wewe, Baba, Bwana wa mbinguni na duniani. Ninashukuru kwa sababu umeyaficha mambo haya kwa wale wenye hekima na werevu. Lakini umeyafunua haya kwa watoto wadogo.

26 Ndiyo, Baba, ulifanya hivi kwa sababu hakika ndivyo ulivyotaka kufanya.

27 Baba yangu amenipa kila kitu. Hakuna amjuaye Mwana isipokuwa Baba peke yake. Na hakuna amjuaye Baba isipokuwa Mwana ndiye anayemjua Baba. Na watu pekee watakaomjua Baba ni wale ambao Mwana atachagua kuwaonesha.
 
Haya maajabu utayaona kwenu tu watu wa Dini Yaani Mungu anajiinua kwenye Biblia waliyoinakili kina Constantine pale Nicea committee Constantinople Uturuki?
Au kajiinua Kivipi Mimi hua naisoma ila sioni muunganiko wa Mungu mule zaidi ya hekaya za wayahudi na barua za kina Paulo Kwa waefeso na wagalatia Sasa hayo mambo ya wayahudi yanakuhusu Nini Wewe Mathanzua kutoka Katerero Bukoba?
Pole sana Dumas kama unaona Biblia ni hekaya za Abunuas,ila sio wewe.Hata hivyo mimi natimiza wajibu tu kama Mungu alivyoniagiza katika 2 Timotheo 2:24-26
24."
Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu;
25 akiwaonya kwa upole wao washindanao naye, ili kama ikiwezekana, Mungu awape kutubu na kuijua kweli;
26 wapate tena fahamu zao, na kutoka katika mtego wa Ibilisi, ambao hao wametegwa naye, hata kuyafanya mapenzi yake."

Dumas wewe upo kwenye mtego wa yule Asi,yaani Shetani,kwa hiyo hatuna budi kukusaidia.Katika hali ya kawaida haiwezekani mwanadamu aliyeumbwa na Mungu kukataa mafundisho yenye uzima,lakini najua huu ndio muda wa tabia hizo kwa wanadamu.Katika kitabu cha 2Timotheom 4:3 tunaona maneno haya,
"3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
5 Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako."

Dumas,akili za Mungu ziko juu sana,na wakati mwingine hatutaelewa what he puts accross to us.Ndio kuna mambo kwenye Biblia ambayo hata mimi sielewi,nikitumia my logic.Lakini hekima ya mwanadamu ni upumbavu the Bible says.Busara na hekima ingekuwa hivi,Mungu yuko sahihi,I am wrong.To me,if the Bible is wrong,nothing is right,huu ndio misimamo wangu.
 
Wala hakuna aliyetaka uchafu. Mi nimetaka kusikia mantiki yako. Ila kwakua unaaamini mantiki ni uchafu. Basi usiku mwema.
Human being mimi nafanya Mungu alichoniagiza katika 2 Timotheo 2:24-26,
ni mtumwa nisiye na faida.2Tim2:24-26
inasema,"24Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu;
25 akiwaonya kwa upole wao washindanao naye, ili kama ikiwezekana, Mungu awape kutubu na kuijua kweli;
26 wapate tena fahamu zao, na kutoka katika mtego wa Ibilisi, ambao hao wametegwa naye, hata kuyafanya mapenzi yake."

Human being wewe upo kwenye mtego wa yule Asi,yaani Shetani,kwa hiyo sina budi kukusaidia.Katika hali ya kawaida haiwezekani mwanadamu aliyeumbwa na Mungu kukataa mafundisho yenye uzima,lakini najua huu ndio muda wa tabia hizo kwa wanadamu.Katika kitabu cha 2Timotheom 4:3 tunaona maneno haya,
"3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
5 Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako."

Human being,akili za Mungu ziko juu sana,na wakati mwingine hatutaelewa what he puts accross to us.Ndio kuna mambo kwenye Biblia ambayo hata mimi sielewi,nikitumia my logic.Lakini hekima ya mwanadamu ni upumbavu the Bible says.Busara na hekima ingekuwa hivi,Mungu yuko sahihi,I am wrong.To me,if the Bible is wrong,nothing is right,huu ndio misimamo wangu.
 
Humn being Mimi nafanya Mungu alichoniagiza katika 2 Timotheo 2:24-26
24."
Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu;
25 akiwaonya kwa upole wao washindanao naye, ili kama ikiwezekana, Mungu awape kutubu na kuijua kweli;
26 wapate tena fahamu zao, na kutoka katika mtego wa Ibilisi, ambao hao wametegwa naye, hata kuyafanya mapenzi yake."

Dumas wewe upo kwenye mtego wa yule Asi,yaani Shetani,kwa hiyo hatuna budi kukusaidia.Katika hali ya kawaida haiwezekani mwanadamu aliyeumbwa na Mungu kukataa mafundisho yenye uzima,lakini najua huu ndio muda wa tabia hizo kwa wanadamu.Katika kitabu cha 2Timotheom 4:3 tunaona maneno haya,
"3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
5 Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako."

Dumas,akili za Mungu ziko juu sana,na wakati mwingine hatutaelewa what he puts accross to us.Ndio kuna mambo kwenye Biblia ambayo hata mimi sielewi,nikitumia my logic.Lakini hekima ya mwanadamu ni upumbavu the Bible says.Busara na hekima ingekuwa hivi,Mungu yuko sahihi,I am wrong.To me,if the Bible is wrong,nothing is right,huu ndio misimamo wangu.
Hivi kwanini most of you fanatic believers hide the weakness of the contradictions in the bible, for wisdom? God can't reveal a book for humans to read en then make it complicated no way, the Bible has been interpolated en extrapolated by humans that explain the numerous contradiction of the current Bible.
 
The Bible is complicated?It's not.You find it complicated because you do not have the Holy Spirit and therefore not a child of God.It's the Holy Spirit who enables you to understand the Bible.

And what do you mean by being a fanatic.If believing in God and loving him is being fanatic,let it be so,and I am glad,and yes, I am a fanatic.
 
Back
Top Bottom