- Thread starter
- #21
Kwani yesu alipenda kusulubiwa? Au ni hadisi za kutunga tu.Mnaopinga uungu wa Yesu mnajua kwanini alisulubiwa ?
Ni mashtaka gani yaliyopeleka Yesu kusulubiwa ?
Kwani yesu alipenda kusulubiwa? Au ni hadisi za kutunga tu.Mnaopinga uungu wa Yesu mnajua kwanini alisulubiwa ?
Ni mashtaka gani yaliyopeleka Yesu kusulubiwa ?
Nyie binadamu ni viumbe wa ajabu yaani kumbe Mungu wenu anasema?Huku ni kumpinga Mungu wa kweli.Lakini Mungu anasemwa hivi kuhusu uovu huu katika kitabu cha Warumi 1:18-32
"18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.
19 Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
20 Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru;
21 kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
22 Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
23 wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.
24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao."
Yes,this shows how uninformed you are about spiritual matters.Mungu ni Roho, kwa hiyo Yeye kama Mungu hawezi kuandika Biblia.How did He do it,He used the Holy Spirit to write the Bible.Roho Mtakatifu aliwa-vuvia watu and through the instructions of the Holy Spirit,Biblia ikaandikwa.Ni Kama vile Shetani anavyokutumia wewe kumpinga Mungu,the Spirit of the Devil is inside you.Nyie binadamu ni viumbe wa ajabu yaani kumbe Mungu wenu anasema?
Haya Tena Kwa maajabu unanunukuu
"Mungu anasema hivi katika kitabu Cha Warumi"
Ina maana huyo Mungu ndie aliandika kitabu Cha Warumi?
Haya ni maajabu Mungu ni mwandishi kumbe?
Mungu anaandika kitabu kinaitwa Warumi na wewe unakubali kabisa ni kweli,I think African tuna matatizo pahari
Hayo maneno ni mazuri Kwa kuadvice Morals and Dogma katika Jamii
Za Israelites na alitumia reference ya Mungu wao mwenye hasira na wivu anaeadhibu watu Kwa kuwachoma moto wakifanya maovuyaani Elohim/YWH ndivyo nijuavyo Halafu wewe unanambia Mungu aliandika Ina maana Poul ni Mungu?
Aaaah Bado Mathanzua huwezi niaminisha ujinga nikakuelewa seriously!
😁😁😁🔥
Scars pia ni Mungu najitofautisha na hao wengine kwakua sina vitabu na siwachaji hela ya kiingilio kwa jina la sadakaZeus ni Mungu
Horus ni Mungu
Rama ni Mungu
Dumas the Terrible ni Mungu
Case closed!
Hatujui na hata mantiki ya ujio wake bado haielewekiMnaopinga uungu wa Yesu mnajua kwanini alisulubiwa ?
Ni mashtaka gani yaliyopeleka Yesu kusulubiwa ?
Roho mtakatifu akiwashukia watu, watu hao huandika yale yaliyokusudiwa na Mungu au hujiandikia hata habari ambazo wanazijua wao?Yes,this shows how uninformed you are about spiritual matters.Mungu ni Roho, kwa hiyo Yeye kama Mungu hawezi kuandika Biblia.How did He do it,He used the Holy Spirit to write the Bible.Roho Mtakatifu aliwa-vuvia watu and through the instructions of the Holy Spirit,Biblia ikaandikwa.Ni Kama vile Shetani anavyokutumia wewe kumpinga Mungu,the Spirit of the Devil is inside you.
Na kuhusu Mungu wetu kusema,yes anasemwa,asiyesema labda wa kwenu,sasa Mungu asiyesema wa nini,he is a dead God,our God is alive.
Lakini Hakuwahi Kumkataza yeyote kumuita Mungu.Yesu siyo Mungu, wala hajawahi kusema yeye l
Inconsistencies unaziona kwa kuwa huna Roho Mtakatifu.Muamini Bwana Yesu ili uzaliwe mara ya pili,hutaona hizo inconsistencies unazo-ziona sasa.Roho mtakatifu akiwashukia watu, watu hao huandika yale yaliyokusudiwa na Mungu au hujiandikia hata habari ambazo wanazijua wao?
Nasema hayo kwasababu kuna inconsistency ambazo ukizipima zinaonesha hazijaandikwa kwa muongozo wa Mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na muweza wa yote
Kwa fact hiyo unafikiri utaweza kukosoa incosistencies ya maandiko kutoka dini zingine?Inconsistencies unaziona kwa kuwa huna Roho Mtakatifu.Muamini Bwana Yesu ili uzaliwe mara ya pili,hutaona hizo inconsistencies unazo-ziona sasa.
Mungu wenu anaweza Kila kitu anashindwaje andika Biblia na hapo hapo mnamuita muweza wa yote,huoni huyo Mungu ni wakutungwa tu na watu,Yes,this shows how uninformed you are about spiritual matters.Mungu ni Roho, kwa hiyo Yeye kama Mungu hawezi kuandika Biblia.How did He do it,He used the Holy Spirit to write the Bible.Roho Mtakatifu aliwa-vuvia watu and through the instructions of the Holy Spirit,Biblia ikaandikwa.Ni Kama vile Shetani anavyokutumia wewe kumpinga Mungu,the Spirit of the Devil is inside you.
Na kuhusu Mungu wetu kusema,yes anasemwa,asiyesema labda wa kwenu,sasa Mungu asiyesema wa nini,he is a dead God,our God is alive.
Sababu hakuna aliyemwita Mungu. Nipe hata mifano mitatu. Ye mwenyewe alisema, "Naenda kwa baba yangu na baba yenu. Mungu wangu na Mungu wenu."Lakini Hakuwahi Kumkataza yeyote kumuita Mungu.
Dumas Mungu halazimishi mtu yeyote kumuamini,so ameandika ili kila mtu aamue yeye mwenyewe,kuamini au kutoamini. Mimi nakusaidia tu kupatanishwa na Mungu ambaye ndiye aliyekuumbe.Lakini kwa vile umeshupaza shingo, na hata kufikia kiwango cha kumkebehi Mungu aliyekuumba,na kuabudu kiumbe alichokiumba Yeye,yaani Shetani,nakuacha,damu yako sidaiwi.Mungu wenu anaweza Kila kitu anashindwaje andika Biblia na hapo hapo mnamuita muweza wa yote,huoni huyo Mungu ni wakutungwa tu na watu,
Halafu uli ulahisishe mambo unasema Mungu ni roho na bla bla mara holy Spirit na takataka nyingi,
Huyo Mungu anashindwaje kuandika maneno na Sheria zake automatically katika mfumo wa ubongo wa binadamu kuliko kuwapa watu KAZI waandike na kuaminisha watu uwezo na Nguvu zake?
Yaani Mungu mjuzi wa yote Ili umjue inabidi umsome na kuambiwa na watu yaani hearsay ndio ujue kwamba yupo huoni huyo Mungu ni kikaragosi asiye na uweza wowote juu ya mambo?
😁😁😁🔥🔥🔥
hahahahha umeandika kinyonge Sana😁Dumas Mungu halazimishi mtu yeyote kumuamini,so ameandika ili kila mtu aamue yeye mwenyewe,kuamini au kutoamini. Mimi nakusaidia tu kupatanishwa na Mungu ambaye ndiye aliyekuumbe.Lakini kwa vile umeshupaza shingo, na hata kufikia kiwango cha kumkebehi hata Mungu aliyekuumba,na kuabudu kiumbe alichokiumba Mungu,yaani Shetani,nakuacha,damu yako sidaiwi.Mungu tunayemuabudu ni Mungu mwenye upendo sana,lakini for rebellious beings like you,hana huruma kabisa.
Sawa Dumas nakuacha,lakini utanikumbuka.
Mkuu sio vyema kukataa bila kufahamu jambo kwa Kina...Ok mfano wa kwanza👇Sababu hakuna aliyemwita Mungu. Nipe hata mifano mitatu. Ye mwenyewe alisema, "Naenda kwa baba yangu na baba yenu. Mungu wangu na Mungu wenu."
Naandika kwa unyonge kwa kuwa unanisikisha sana.Hata Shetani anakushangaa,kwa kuwa anajua kwamba huyu Mungu unamsukumia mbali ndiye aliyekuumba,na badala yake unamuabudu yeye ambaye ni kiumbe tu wa Mungu.Anyway narudia,utanikumbuka.hahahahha umeandika kinyonge Sana😁
Mkuu nipe ushahidi wa Mungu kuniumba Mimi,pia naomba unambie shetani ananitumiaje ni kiwa na maana
Mungu ni nani na shetani ni nani?
Mungu na Shetani mara nyingi hua unawaongelea Kwa mlengo wa ugomvi kwani walikosana Nini
Na kwanini huyo Mungu akosane na kiumbe chake
(maana ulinambia Mungu alimuumba shetani pia ila akaasi)
Naomba ufanunuzi wa maswali yangu natanguliza shukrani!
Sahihisho la Kwanza hadisi -hadithi.Kwani yesu alipenda kusulubiwa? Au ni hadisi za kutunga tu.
Mzee hizi nondo huyo jamaa haezi elewaBob acha kupotosha watu that verse doesn't say that and It doesn't mean that actually,
JESUS never called Scribers And Pharisees evil for calling him God, first thing first they didn't believe in Him and they were always opposing him.
The thought Jesus called evil was the thought that the Pharisees and Scribers said him to be blaspheming for Forgiving the sins of that paralytic man while it's only God who can forgive the sins of man.
They said him to be BLASPHEMING FOR EQUATING HIMSELF TO GOD AND CLAIMING THE ABILITY TO FORGIVE SINS.
MATHEW 9:1-7
9:1 Getting into a boat, Jesus crossed over the sea and came to His own city.
2.And they brought to Him a paralytic lying on a bed. Seeing their faith, Jesus said to the paralytic, “Take courage, son; YOUR SINS ARE FORGIVEN.”
3. And some of the scribes said to themselves, “This fellow blasphemes.”
4 And Jesus knowing their thoughts said, “Why are you thinking evil in your hearts?
5.Which is easier, to say, ‘Your sins are forgiven,’ or to say, ‘Get up, and walk’?
6. But so that you may know that the Son of Man has authority on earth to forgive sins”—then He said to the paralytic, “Get up, pick up your bed and go home.”
7.And he got up and went home.
uko sahaihi lkn mengi hayatakuelewa hapa ujue!!Hata mimi ni Mungu. Kuna shida!?
Kama umeisukumia mbali Biblia,ambako ndiko Mungu alipojinua na kazi zake,ushahidi utaupata wapi?Wewe ni chumvi iliyoharibika,unahitaji tu neema ya Mungu.hahahahha umeandika kinyonge Sana😁
Mkuu nipe ushahidi wa Mungu kuniumba Mimi,pia naomba unambie shetani ananitumiaje ni kiwa na maana
Mungu ni nani na shetani ni nani?
Mungu na Shetani mara nyingi hua unawaongelea Kwa mlengo wa ugomvi kwani walikosana Nini
Na kwanini huyo Mungu akosane na kiumbe chake
(maana ulinambia Mungu alimuumba shetani pia ila akaasi)
Naomba ufanunuzi wa maswali yangu natanguliza shukrani!