Call ya house girl kwa mume wangu

Call ya house girl kwa mume wangu

Story yako yote hakuna inapoonesha mwenye hatia zaidi ya wivu wako na hisia za kijinga ... sehemu zote ulizotakiwa kutafuta uthibitisho umeukosa sasa umebaki na ''nimesikia sauti kama ya dada''. Suala la wewe kufanya kazi, ulitaka nani akufanyie ilhali uliokuwa unawahudumua ni watoto wako?

Tatizo kubwa sasa lipo kwa akili yako iliyojaa wasiwasi na hofu, yote uliyoyafanya amini usiamini yatakurudi na ukiendelea mumeo ''ATAKUCHAPA'' ... hakuna mwanaume anayetaka kutoaminiwa na kupekuliwa pekuliwa kama unamtafuta kupe, eti ''nipo naye huyu mtu miaka 6 - Mumeo unamuita huyu mtu? Sijawahi kusikia hilo kutoka kwa mke wa NDOA.

Jirekebishe na jiamini vinginevyo, yatakayo kukuta yako.
 
Mwongozo ninaokupa ni kwamba, usifanye jambo baya. Tumia ukomavu na busara kulifuatilia swala hili. Pia sio vizuri kwa wanandoa wa umri wenu kukaa na housegirl wa umri mkubwa namna hiyo. Hg mzuri anayekufaa ni yule mwenye miaka 14-18, by the time anajitambua na wewe utakuwa 'umeshamtumia' vya kutosha so unampa kam taji kama kiinua mgongo akaanze ka biashara na maisha ya kujitegemea...
 
Amkanye mume nani kakuambia mwanaume anatishiwa poooo,chamsingi dada mwenye mume abadilike afundwe kwanza namna yakudili na mwanaume,sasa siata mama yake atamuonea wivu kama akija na akiwa karibu na mume wake,acha kutafuta ushauri kwa walioshindwa kwenye ndoa zao,mtangulize MUNGU MKUU ndio jawabu kubwa,umeniuzi sana ningekuwa karibu kadi nyekundu,nakuambia Leo kbsa,usiombe ushauri Wa mapenzi yako na mume wako kwa wanawake Wa rika lako,tafuta ata kwa wanaume warika lako watakupa majibu mema kwani sisi tunajuana tulivyo,watakupoteza hao wanasichana wenzako ambao kwao yamewashinda
Hizo ni tamaa tu za jamaa kwa huyo beki 3 mambo mengine ni aibu kuyafanya au kama umeona hyo ni kawaida sawa,hakuna mambo ya kutishana hapo hivi mkeo akilala na house boy utachukulia hivo??
 
Habari zenu wanaJF,

Ijumaa nikiwa ofisini dada angu wa kazi alinitumia msg akiniomba nimtumie vocha anataka kuwasiliana na kwao, nikamjibu mazingira ya ofisini hapa hakuna duka hivo nitakununulia nikiwa narudi home na nitakuletea jioni.

Tukiwa njiani tunarudi home niko na mr simu yake iliita akaipokea sasa ilikuwa na sauti ya kusikika as if kaweka loud, sauti ya house girl wangu iliuliza uko wapi sasa hivi? Mr akajibu nipo njiani narudi nyumbani, yule dada akamwambia simu yangu haina pesa nashindwa kuwasiliana na nyumbani, mr akajibu sawa na simu ikaishia hapo, alipokata tu nikamuuliza mr. uliongea na nani? Akaniambia na watu ambao walinibebea mizigo leo kutoka bandarini, nikamwambia ok, naomba simu niangalie akagoma kutoa simu.

Nilikuwa naendesha mimi so nikapark maana tulikuwa mtaani tu uko ambako uko free kupark popote, nikamuomba tena naomba simu niangalie, akafungua mlango wa gari na kushuka, kwa kawaida ikitokeaga issue kama hiyo anatoaga simu fasta bila shida akijua hakuna shida, same kwangu mimi nikiongea na mtu akitaka kujua ni nani uwa nampa simu aangalie.

Sasa hii ya juzi imenishangaza, niliamua kuondoka na nikafika nyumbani tu nikamuita dada, nikamwambia dada naomba simu nikuunge na kifurushi, dada akanipa simu, nikakagua simu yake hakukuwa na mawasiliano, japo namba zingine alizopiga zilikuwepo, ikumbukwe kwamba sio dada mshamba, ni dada wa kujielewa tu alieishi mjini na kijijini ana 20 yrs (hapa mr aliposhuka nilimuona anapiga simu wakati naondoka bila shaka akimwambia futa hizo calls) huyu dada mpaka hiyo friday alikuwa na siku 3 tu maana alikuja j5, niliona nisiishie hapo.

Usiku watoto walipoenda kulala nikawaita wote dada na mr. Nikamuuliza dada una ukaribu upi na baba hapa ndani mpaka unampigia simu na kumuuliza yuko wapi na kuomba vocha wakati mimi ulishaniomba? Dada akasema mi sijampigia baba, nilimpigia siku nakuja tu kwa vile ndie alikuja kunipokea, nikamwambia dada umempigia baba nina uhakika sipendi hii tabia ukiwa na tatizo wa kuniambia ni mimi, nikamwambia na mr kuwa hii tabia siipendi, naomba uniheshimu kama ninavyokuheshimu tukamaliza hapo.

Siku ya pili dada akaniita ana shida anataka tuongee, nikamsikiliza akaniambia yeye imemuumiza sana kilichotokea hivyo anaona bora aondoke maana asije akaleta shida zaidi baadae, hajisikii amani, nikamuuliza na vipi ukiondoka utajisikia amani? Akasema hapana ila tu nakuhofia wewe maana utakuwa na wasiwasi na mimi, nikampigia kaka yake ambae alinipa huyo dada, nilipompigia na yule dada alikuwa ameshamtumia msg yule kaka yake kumwambia kilichotokea, hivyo yule kaka akaniuliza mimi kuwa sasa naamua vipi?

Nikamwambia dada amekataa kuwa yeye hajafanya hivyo na sio mfanyaji wa hayo kama anakiri maneno yake mi sina maneno ila pia kama anataka kuondoka pia sina maneno, yule kaka akamwambia dada yake kwa vile hapo haujafukuzwa mi naomba ukae, ila kaa kwa heshima, usije kunitia aibu mimi nilokuleta uko, kama haujafanya na una hakika hautafanya hayo basi kaa, kama unaona linaweza kutokea hili jambo basi unaweza kuondoka, dada akasema basi nitakaa kaka.

Mdada yupo home namuongelesha vizuri tu, ila nina hasira mno na huyu mr. tumekaa bila msichana 3 weeks hapo nyuma nimehangaika sana kuhudumia familia unarudi umechoka, unapika, unafua uniform za watoto, unanyoosha, unaosha vyombo unapanda kitandani saa 6 kasoro na saa kumi na moja umeshaamka, tunapata dada mchapakazi yeye analeta upuuzi, huyu mwanaume hajasema lolote mpaka sasa kuhusiana na hili na hapa tunapishana tu ndani.

Hivyo ubabe huu anaojitika ni wa nini? Niko nae huyu mtu 6 yrs now mambo haya sijawai yaona ndio kwanza kwa house girl huyu ila in short ukisikia wadogo zake kwao wana kesi na wake zao basi ni za kutoka na mahouse girl wao, hivi ni pepo au wapuuzi?

Naombeni ushauri wenu maana nimechoka moyo wangu unavonituma naona naweza kufanya jambo baya nipeni mwongozo.
Mkebora hawagi na punic kama zako! Hivi leo umehisi tu house girl kamuomba credit mumeo (huna uhakika by the way) unapunic kiasi hiki JE SIKU UKISIKIA MUMEO KAZAA NA YULE KHADIJA WA MTAA WA PILI SI UTAFARIKI WEWE? Wewe unakichaa cha ndoa, ila good enough hujachelewa, cha kwako kiko stage ya pili so still unaweza kupona.
Ushauri wa bure, mpende mumeo mama na penda familia yako. Muamini mumeo na hata kama kuna kitu unahisi fanya uchunguzi bibieee sio kukurupuka kama ulivyofanya!hahaha!Kwa taarifa yako basi ukute mumeo keshatembea na house girl wako ila kwa roho yako nyepesi kama unyoya wa ndege umeharibu ushahidi !! Being a storng woman is not easy mama, yataka uwe na akili za kike!!Yangu ni hayo tu.
 
Mleta mada, hapo kwenye "mume akashuka, then mimi nikaondoka", mmmh. Kwa nini mlifanya hivyo? Nani mmiliki wa usafiri wenu, wewe au mumeo?
 
Nakereka sana na Wanawake wa dizaini yako aiseee, nimeshampiga stop mke wangu kushika simu yangu. Haimhusu, ukiona una mke wa dizaini yako ujue una hasara, kumbuka uaminifu haujengwi kwenye simu, haya sasa umenyimwa simu kule nako kwa yule binti umekosa uhakika, Binti anataka kuondoka huoni kwamba umejidhalilisha mwenyewe? yaani umemsaidia HG kujua kuwa hamuaminiani ndani ya nyumba moja na kitanda kimoja?? Sijawahi kupokea simu ya mke wangu na hua hapokei simu yangu.

Kwahio tukio hilo limethibitisha kuwa Simu si chochote wala lolote... Muombe MUNGU akutunzie ndoa yako na sio kuacha simu ikutunzie Ndoa yako
Jamani maswala ya simu nafikiri hayo ni makubaliano yao Na mmewe,ndo maana kasema hata mmewe hua anashika simu yake.
Sasa mnataka waishi kama muishivyo ninyi Na wake zenu? Nafikiri cha muhimu nikumshauri kile alichokileta hapa.
 
Ushahidi wa sauti hali hio jee uwakute kitandani?? Mimi ushauri wangu kwanza tulia tafuta ushahidi kamili hapa huna uhakika wowote hofu yako imekuja kutokana na hao ndugu wa mumeo. Kuwa na uhakika kwanza nini kinaendelea ndio uombe ushauri
 
Kubali kushuka we ni mke na mmeo ndie kiongozi wako, furaha ya ndoa yenu iko mikononi mwako. Ndoa mmefunga acha kutafuta ufunguo kwenye simu hizi.
 
Habari zenu wanaJF,

Ijumaa nikiwa ofisini dada angu wa kazi alinitumia msg akiniomba nimtumie vocha anataka kuwasiliana na kwao, nikamjibu mazingira ya ofisini hapa hakuna duka hivo nitakununulia nikiwa narudi home na nitakuletea jioni.

Tukiwa njiani tunarudi home niko na mr simu yake iliita akaipokea sasa ilikuwa na sauti ya kusikika as if kaweka loud, sauti ya house girl wangu iliuliza uko wapi sasa hivi? Mr akajibu nipo njiani narudi nyumbani, yule dada akamwambia simu yangu haina pesa nashindwa kuwasiliana na nyumbani, mr akajibu sawa na simu ikaishia hapo, alipokata tu nikamuuliza mr. uliongea na nani? Akaniambia na watu ambao walinibebea mizigo leo kutoka bandarini, nikamwambia ok, naomba simu niangalie akagoma kutoa simu.

Nilikuwa naendesha mimi so nikapark maana tulikuwa mtaani tu uko ambako uko free kupark popote, nikamuomba tena naomba simu niangalie, akafungua mlango wa gari na kushuka, kwa kawaida ikitokeaga issue kama hiyo anatoaga simu fasta bila shida akijua hakuna shida, same kwangu mimi nikiongea na mtu akitaka kujua ni nani uwa nampa simu aangalie.

Sasa hii ya juzi imenishangaza, niliamua kuondoka na nikafika nyumbani tu nikamuita dada, nikamwambia dada naomba simu nikuunge na kifurushi, dada akanipa simu, nikakagua simu yake hakukuwa na mawasiliano, japo namba zingine alizopiga zilikuwepo, ikumbukwe kwamba sio dada mshamba, ni dada wa kujielewa tu alieishi mjini na kijijini ana 20 yrs (hapa mr aliposhuka nilimuona anapiga simu wakati naondoka bila shaka akimwambia futa hizo calls) huyu dada mpaka hiyo friday alikuwa na siku 3 tu maana alikuja j5, niliona nisiishie hapo.

Usiku watoto walipoenda kulala nikawaita wote dada na mr. Nikamuuliza dada una ukaribu upi na baba hapa ndani mpaka unampigia simu na kumuuliza yuko wapi na kuomba vocha wakati mimi ulishaniomba? Dada akasema mi sijampigia baba, nilimpigia siku nakuja tu kwa vile ndie alikuja kunipokea, nikamwambia dada umempigia baba nina uhakika sipendi hii tabia ukiwa na tatizo wa kuniambia ni mimi, nikamwambia na mr kuwa hii tabia siipendi, naomba uniheshimu kama ninavyokuheshimu tukamaliza hapo.

Siku ya pili dada akaniita ana shida anataka tuongee, nikamsikiliza akaniambia yeye imemuumiza sana kilichotokea hivyo anaona bora aondoke maana asije akaleta shida zaidi baadae, hajisikii amani, nikamuuliza na vipi ukiondoka utajisikia amani? Akasema hapana ila tu nakuhofia wewe maana utakuwa na wasiwasi na mimi, nikampigia kaka yake ambae alinipa huyo dada, nilipompigia na yule dada alikuwa ameshamtumia msg yule kaka yake kumwambia kilichotokea, hivyo yule kaka akaniuliza mimi kuwa sasa naamua vipi?

Nikamwambia dada amekataa kuwa yeye hajafanya hivyo na sio mfanyaji wa hayo kama anakiri maneno yake mi sina maneno ila pia kama anataka kuondoka pia sina maneno, yule kaka akamwambia dada yake kwa vile hapo haujafukuzwa mi naomba ukae, ila kaa kwa heshima, usije kunitia aibu mimi nilokuleta uko, kama haujafanya na una hakika hautafanya hayo basi kaa, kama unaona linaweza kutokea hili jambo basi unaweza kuondoka, dada akasema basi nitakaa kaka.

Mdada yupo home namuongelesha vizuri tu, ila nina hasira mno na huyu mr. tumekaa bila msichana 3 weeks hapo nyuma nimehangaika sana kuhudumia familia unarudi umechoka, unapika, unafua uniform za watoto, unanyoosha, unaosha vyombo unapanda kitandani saa 6 kasoro na saa kumi na moja umeshaamka, tunapata dada mchapakazi yeye analeta upuuzi, huyu mwanaume hajasema lolote mpaka sasa kuhusiana na hili na hapa tunapishana tu ndani.

Hivyo ubabe huu anaojitika ni wa nini? Niko nae huyu mtu 6 yrs now mambo haya sijawai yaona ndio kwanza kwa house girl huyu ila in short ukisikia wadogo zake kwao wana kesi na wake zao basi ni za kutoka na mahouse girl wao, hivi ni pepo au wapuuzi?

Naombeni ushauri wenu maana nimechoka moyo wangu unavonituma naona naweza kufanya jambo baya nipeni mwongozo.
Huwezi kumlinda mumeo zidi ya uasherati, kabidhi hiyo kazi kwa Mungu.
 
Me msichana wangu Wa kazi sikuelewa toka alivyo kujaga kwangu baada ya wiki moja simu yangu haikua na Salio nikamwomba Mr nimpigie kila nikipiga sim bizze ila nika weka vocha nikipiga kwa simu yangu inaita anapokea tulivyo rudi home tukamuuliza mbona tukipiga kwa simu ya baba upo bizze akasema me sijui ndo kuchukua simu yake nikakuta ka blacklist Mr nikamuuliza kwann umemblock kasema ajui basi ata Mr akafuta no yake mpaka Leo akuna mwenye no ya mwenzie japo sikutaka kuchunguza kiundan chanzo
 
Wote mna matatizo,iweje kwa muda mchache hivyo umuhisi Mr wako kwa jambo zito namna hiyo? Na kama ni kweli basi kuna kitu hakipati kwako ila amekiona kwa dada.Pia punguza kuwa sensitive sana kwa kila jambo kulipa tafsiri hasi...naturally sisi (me) hatupendi kuulizwa ulizwa kila kitu.Ulikosea sana kumweka kiti moto Mr wako na Dada wa kazi kwa jambo ambalo mwishoni umeshindwa kuthibitisha,ndo maana jamaa hajaongea chochote.
 
Una ushahidi gani wa moja kwa moja kwamba Ni dada?




Habari zenu wanaJF,

Ijumaa nikiwa ofisini dada angu wa kazi alinitumia msg akiniomba nimtumie vocha anataka kuwasiliana na kwao, nikamjibu mazingira ya ofisini hapa hakuna duka hivo nitakununulia nikiwa narudi home na nitakuletea jioni.

Tukiwa njiani tunarudi home niko na mr simu yake iliita akaipokea sasa ilikuwa na sauti ya kusikika as if kaweka loud, sauti ya house girl wangu iliuliza uko wapi sasa hivi? Mr akajibu nipo njiani narudi nyumbani, yule dada akamwambia simu yangu haina pesa nashindwa kuwasiliana na nyumbani, mr akajibu sawa na simu ikaishia hapo, alipokata tu nikamuuliza mr. uliongea na nani? Akaniambia na watu ambao walinibebea mizigo leo kutoka bandarini, nikamwambia ok, naomba simu niangalie akagoma kutoa simu.

Nilikuwa naendesha mimi so nikapark maana tulikuwa mtaani tu uko ambako uko free kupark popote, nikamuomba tena naomba simu niangalie, akafungua mlango wa gari na kushuka, kwa kawaida ikitokeaga issue kama hiyo anatoaga simu fasta bila shida akijua hakuna shida, same kwangu mimi nikiongea na mtu akitaka kujua ni nani uwa nampa simu aangalie.

Sasa hii ya juzi imenishangaza, niliamua kuondoka na nikafika nyumbani tu nikamuita dada, nikamwambia dada naomba simu nikuunge na kifurushi, dada akanipa simu, nikakagua simu yake hakukuwa na mawasiliano, japo namba zingine alizopiga zilikuwepo, ikumbukwe kwamba sio dada mshamba, ni dada wa kujielewa tu alieishi mjini na kijijini ana 20 yrs (hapa mr aliposhuka nilimuona anapiga simu wakati naondoka bila shaka akimwambia futa hizo calls) huyu dada mpaka hiyo friday alikuwa na siku 3 tu maana alikuja j5, niliona nisiishie hapo.

Usiku watoto walipoenda kulala nikawaita wote dada na mr. Nikamuuliza dada una ukaribu upi na baba hapa ndani mpaka unampigia simu na kumuuliza yuko wapi na kuomba vocha wakati mimi ulishaniomba? Dada akasema mi sijampigia baba, nilimpigia siku nakuja tu kwa vile ndie alikuja kunipokea, nikamwambia dada umempigia baba nina uhakika sipendi hii tabia ukiwa na tatizo wa kuniambia ni mimi, nikamwambia na mr kuwa hii tabia siipendi, naomba uniheshimu kama ninavyokuheshimu tukamaliza hapo.

Siku ya pili dada akaniita ana shida anataka tuongee, nikamsikiliza akaniambia yeye imemuumiza sana kilichotokea hivyo anaona bora aondoke maana asije akaleta shida zaidi baadae, hajisikii amani, nikamuuliza na vipi ukiondoka utajisikia amani? Akasema hapana ila tu nakuhofia wewe maana utakuwa na wasiwasi na mimi, nikampigia kaka yake ambae alinipa huyo dada, nilipompigia na yule dada alikuwa ameshamtumia msg yule kaka yake kumwambia kilichotokea, hivyo yule kaka akaniuliza mimi kuwa sasa naamua vipi?

Nikamwambia dada amekataa kuwa yeye hajafanya hivyo na sio mfanyaji wa hayo kama anakiri maneno yake mi sina maneno ila pia kama anataka kuondoka pia sina maneno, yule kaka akamwambia dada yake kwa vile hapo haujafukuzwa mi naomba ukae, ila kaa kwa heshima, usije kunitia aibu mimi nilokuleta uko, kama haujafanya na una hakika hautafanya hayo basi kaa, kama unaona linaweza kutokea hili jambo basi unaweza kuondoka, dada akasema basi nitakaa kaka.

Mdada yupo home namuongelesha vizuri tu, ila nina hasira mno na huyu mr. tumekaa bila msichana 3 weeks hapo nyuma nimehangaika sana kuhudumia familia unarudi umechoka, unapika, unafua uniform za watoto, unanyoosha, unaosha vyombo unapanda kitandani saa 6 kasoro na saa kumi na moja umeshaamka, tunapata dada mchapakazi yeye analeta upuuzi, huyu mwanaume hajasema lolote mpaka sasa kuhusiana na hili na hapa tunapishana tu ndani.

Hivyo ubabe huu anaojitika ni wa nini? Niko nae huyu mtu 6 yrs now mambo haya sijawai yaona ndio kwanza kwa house girl huyu ila in short ukisikia wadogo zake kwao wana kesi na wake zao basi ni za kutoka na mahouse girl wao, hivi ni pepo au wapuuzi?

Naombeni ushauri wenu maana nimechoka moyo wangu unavonituma naona naweza kufanya jambo baya nipeni mwongozo.
 
HG kuongea na mume siyo issue...ila kuomba ela za matumizi binafsi wakati wewe upo ni tabia mbaya...
Mdada ana tabia mbaya...kwa nini amefuta simu aliyopigiwa...
Tafuta dada mwingine ... pole sana

Ila na huyo mume naye ni noma...kujizoelesha kwa HG ndio nini hadi wanaombana ela???
Mwanaume hata kama ni dhaifu unatakiwa kujali na ku protect familia...uchafu wako fanyia mbali basi
 
Hawa wasichana wa kazi watu muhimu sana kwenye nyumba na inatakiwa uwatengenezee mazingira ya kuaminiana. Ina wenye nyumba wengi wanawachukulia poa.

Unaenda zako kazini unamuacha peke'ke na watoto na bado anakupikia chakula. Anaweza kufanya kitu chochote kibaya kwenye chakula au kwa watoto au kwa familia nzima. Na akasababisha maafa makubwa kuliko hilo la kumhofia kukuibia mume.
 
Kumuondoa huyo dada siyo suluhisho. Tatizo liko kwa mumeo. Mume kama hajiheshimu tatizo litaendelea hata kama utaleta mwingine labda ukae bila housegirl. Hakuna msichana anayezoeana na mwanaume kama mwanaume mwenyewe hajakaribisha kuzoena naye. Mumeo akiwa serious sidhani kama kuna msichana atakaye msogelea.

Utamchunga mumeo dhidi ya housegirl, Je; na huko barabarani au mtaani au ofisini utaweza kumchunga kote huko? Punguza munkari endeleeni kuaminiana maisha yasonge.

Halafu kaa na mumeo muulize ni kitu gani anachomiss kutoka kwako mpatie. Unaweza kuta ni kitu kidogo tu kinamtwist mumeo ambacho ungeweza kumfanyia mumeo akasahau kabisa hayo maujinga ya housegirl/wadada wa huko mtaani. Wanaume wengi ni wagumu sana kuwaambia wake zao kitu wanachohitaji kufanyiwa ili waridhike.

Nakutakia kila la heri kwa hili uweze kulitatua kwa kutumia busara.
Wako mtiifu katika ujenzi wa Taifa.
 
Kwa ujumla umefanya makosa mawili kwa mpigo. Kwanza umemhisi mumeo kuwa na mahusiano na binti wa kazi. Kama aliyezungumza naye kwenye simu siye? Hapa ulionyesha papara. Ulipaswa kuchunguza kabla ya kumshambulia mumeo kwa maneno.
Pili kumkalisha mumeo na binti wa kazi na kuwasema ilikuwa kosa kubwa sana. Kwa hali ya kawaida ni kuwa umemshusha kwenye 'levo' za binti wa kazi. Kwa hili baadhi ya wanaume lazima wakupe adhabu na adhabu ni kutembea na huyo binti vinginevyo amani haitarudi mapema.
Kwa hiyo suluhisho ni kumwondoa huyo binti wa kazi kwani ameshajua udhaifu wako halafu uangalie namna ya kurekebisha mambo na mume wako. Pia punguza wivu na ikiwezekana kila mtu awe na 'privacy' na simu yake..
 
po
Habari zenu wanaJF,

Ijumaa nikiwa ofisini dada angu wa kazi alinitumia msg akiniomba nimtumie vocha anataka kuwasiliana na kwao, nikamjibu mazingira ya ofisini hapa hakuna duka hivo nitakununulia nikiwa narudi home na nitakuletea jioni.

Tukiwa njiani tunarudi home niko na mr simu yake iliita akaipokea sasa ilikuwa na sauti ya kusikika as if kaweka loud, sauti ya house girl wangu iliuliza uko wapi sasa hivi? Mr akajibu nipo njiani narudi nyumbani, yule dada akamwambia simu yangu haina pesa nashindwa kuwasiliana na nyumbani, mr akajibu sawa na simu ikaishia hapo, alipokata tu nikamuuliza mr. uliongea na nani? Akaniambia na watu ambao walinibebea mizigo leo kutoka bandarini, nikamwambia ok, naomba simu niangalie akagoma kutoa simu.

Nilikuwa naendesha mimi so nikapark maana tulikuwa mtaani tu uko ambako uko free kupark popote, nikamuomba tena naomba simu niangalie, akafungua mlango wa gari na kushuka, kwa kawaida ikitokeaga issue kama hiyo anatoaga simu fasta bila shida akijua hakuna shida, same kwangu mimi nikiongea na mtu akitaka kujua ni nani uwa nampa simu aangalie.

Sasa hii ya juzi imenishangaza, niliamua kuondoka na nikafika nyumbani tu nikamuita dada, nikamwambia dada naomba simu nikuunge na kifurushi, dada akanipa simu, nikakagua simu yake hakukuwa na mawasiliano, japo namba zingine alizopiga zilikuwepo, ikumbukwe kwamba sio dada mshamba, ni dada wa kujielewa tu alieishi mjini na kijijini ana 20 yrs (hapa mr aliposhuka nilimuona anapiga simu wakati naondoka bila shaka akimwambia futa hizo calls) huyu dada mpaka hiyo friday alikuwa na siku 3 tu maana alikuja j5, niliona nisiishie hapo.

Usiku watoto walipoenda kulala nikawaita wote dada na mr. Nikamuuliza dada una ukaribu upi na baba hapa ndani mpaka unampigia simu na kumuuliza yuko wapi na kuomba vocha wakati mimi ulishaniomba? Dada akasema mi sijampigia baba, nilimpigia siku nakuja tu kwa vile ndie alikuja kunipokea, nikamwambia dada umempigia baba nina uhakika sipendi hii tabia ukiwa na tatizo wa kuniambia ni mimi, nikamwambia na mr kuwa hii tabia siipendi, naomba uniheshimu kama ninavyokuheshimu tukamaliza hapo.

Siku ya pili dada akaniita ana shida anataka tuongee, nikamsikiliza akaniambia yeye imemuumiza sana kilichotokea hivyo anaona bora aondoke maana asije akaleta shida zaidi baadae, hajisikii amani, nikamuuliza na vipi ukiondoka utajisikia amani? Akasema hapana ila tu nakuhofia wewe maana utakuwa na wasiwasi na mimi, nikampigia kaka yake ambae alinipa huyo dada, nilipompigia na yule dada alikuwa ameshamtumia msg yule kaka yake kumwambia kilichotokea, hivyo yule kaka akaniuliza mimi kuwa sasa naamua vipi?

Nikamwambia dada amekataa kuwa yeye hajafanya hivyo na sio mfanyaji wa hayo kama anakiri maneno yake mi sina maneno ila pia kama anataka kuondoka pia sina maneno, yule kaka akamwambia dada yake kwa vile hapo haujafukuzwa mi naomba ukae, ila kaa kwa heshima, usije kunitia aibu mimi nilokuleta uko, kama haujafanya na una hakika hautafanya hayo basi kaa, kama unaona linaweza kutokea hili jambo basi unaweza kuondoka, dada akasema basi nitakaa kaka.

Mdada yupo home namuongelesha vizuri tu, ila nina hasira mno na huyu mr. tumekaa bila msichana 3 weeks hapo nyuma nimehangaika sana kuhudumia familia unarudi umechoka, unapika, unafua uniform za watoto, unanyoosha, unaosha vyombo unapanda kitandani saa 6 kasoro na saa kumi na moja umeshaamka, tunapata dada mchapakazi yeye analeta upuuzi, huyu mwanaume hajasema lolote mpaka sasa kuhusiana na hili na hapa tunapishana tu ndani.

Hivyo ubabe huu anaojitika ni wa nini? Niko nae huyu mtu 6 yrs now mambo haya sijawai yaona ndio kwanza kwa house girl huyu ila in short ukisikia wadogo zake kwao wana kesi na wake zao basi ni za kutoka na mahouse girl wao, hivi ni pepo au wapuuzi?

Naombeni ushauri wenu maana nimechoka moyo wangu unavonituma naona naweza kufanya jambo baya nipeni mwongozo.
pole na bwana akutie nguvu usamehe inawezekana hb alipanic kujua kwamba kama ukiona call ya dada utahisi wanawasilianaga na ni marafiki though it might be true or no na ndo mana aliidanganya bila kujua impact yake.so kama ulishakaa nao na kuwaonya wote je responce ya hb ilikuaje during kikao?then msamehe tu yaishe as long as hujawakuta kitandani ni just calls well pia anza kutafuta dada mwingine na umsaidie hb kwa maombi ili hiyo spirit ya kwao isifanye kazi kwake msogeze karibu sana na mungu kwa upendo wa tofauti then wote mtaongea lugha moja ,pia mfundishe mafundisho ya Mungu ili awe na hofu ya Mungu si akuogope wewe na hii itamsaidia yeye kukuheshimu popote na kuwa muwazi kwako you will live like friends nakwambia hivo ndo nilivofanya now am living peaceful na hb na kuheshimiana chochote anasema na uwe mwepesi ya kuyazungumza na yaishe mpigane na mabusu🙂🙂🙂🙂🙂🙂.goodluk.
 
Tuliwahi kuwa na dada wa kazi matata sana, sasa nyumba ya jirani Mtu na Kaka yake wakagombana kisa huyo dada mpaka mdogo akafukuzwa pale home.

Wife wa jamaa akaja kugundua ugomvi wa mume wake na shemeji chanzo ni mfanyakazi wetu, sasa ikabidi fitina zianze ili huyu mfanyakazi wetu afukuzwe ili kule jirani kuwe na amani.

Lilipigwa zengwe moja la mimi kusingiziwa eti nina dalili za kutembea na huyo dada yetu wa kazi, mara ooh, tukitoka anaingiza wanaume, mara ooh anapenda kujisafisha yeye tu badala ya kufanya kazi. Sasa wife akawa na dalili za kukubali yale majungu na siku moja akamhoji yule mtoto, yule mtoto hakusema chochote na alipoambiwa anafukuzwa akakubali tu bila hiyana.

Bahati yangu ni kuwa hata namba yake sikuwa nayo kwenye simu na mawasiliano yangu yote na yeye yalikuwa ayanakuwa yanapitia kwa wife.
kumbe shida ni kukubali maneno ya nje ya umbea umbea..hata mkibadilisha vipi ni yaleyale
 
Back
Top Bottom