Call ya house girl kwa mume wangu

Call ya house girl kwa mume wangu

Mama mwenye nyumba ana umri gani!? Mi naona hajielewi kabisa! Na hata hajui anataka nn!, ni ktk wale ambao wanajua saaana, labda ye ndo anaendesha familia nk. Ona sasa kamshusha mumewe njiani! Na wala hajali" na kawaita kikaoni! Eti wamepigiana cm!? Kesha mpigia cm kakaake! He...!? Mume kanyamaza" hivi anajielewa huyu!?
 
Mama mwenye nyumba ana umri gani!? Mi naona hajielewi kabisa! Na hata hajui anataka nn!, ni ktk wale ambao wanajua saaana, labda ye ndo anaendesha familia nk. Ona sasa kamshusha mumewe njiani! Na wala hajali" na kawaita kikaoni! Eti wamepigiana cm!? Kesha mpigia cm kakaake! He...!? Mume kanyamaza" hivi anajielewa huyu!?

Husiejielewa wewe, maana umeperuzi tu hujasoma, rudi kasome tena utaelewa na utajua uzungumze nini? eti kamshusha mumewe njiani, umesoma uko juu?? ata ulichoandika hakieleweki sio kila mada lazima ucomment ikikupita kushota nawe pita kushoto
 
Ninacho kiona, hiyo HG wako ana kauzuri flani ambacho kime kufanya utembee na kivuli chake akilini. Ndiyo maana hata kabla ya kupata ushahidi wa kutosha mawazo yaka kupeleka kwa HG. Inawezekana jamaa ana mchepuko mwingine ambao uli mpigia simu ila ww akili yako ina muwaza HG tu. Punguza papara ita kusaidia kujua mambo kwa undani zaidi na kuchukua hatua stahiki
 
dah MTU huna ushahidi una unaendesha case, Wanawake wengine!!!


Ulikuwa unategemea kupata ushahidi upi zaidi ya hapo? ushatishiwa kuuwawa huendi police unasubiri kuuwawa kwanza? kuna mambo mengine sio ya kuyasubiria sana kwasababu unapoyasubiria yanaweza kuleta madhara makubwa zaidi
 
Kaeni kama familia mzungumze muwe kitu kimoja kama zamani. Ukiona dalili ya kuibiwa tunda lako una haki ya Ku react. But be patient. Ongeeni kwa upendo muyamalize....ni changamoto za kawaida .relax
 
Kaeni kama familia mzungumze muwe kitu kimoja kama zamani. Ukiona dalili ya kuibiwa tunda lako una haki ya Ku react. But be patient. Ongeeni kwa upendo muyamalize....ni changamoto za kawaida .relax

Asante kwa ushauri ndugu
 
hizi simu hizi
bora tungebaki na sanduku la posta tu
pole,mpe somo mumeo coz kubadili dada wa kazi haitakuwa suluhisho
 
Yaani Evelyn si unajua kupata binti ilivo shida sasahivi, sijui naanzia wapi kwakweli najisikia kuumia mno, binti ni mchapakazi, anaamka mapema, anafanya kazi zake vizuri na anaelewa alafu unakuja kumuharibu, wanaume tuhurumieni jamani
Acha kulalamika hapa ovyo, Mara ya mwisho kumkanda mumeo mgongo lini? Maana Kuna wanawake mkiisha kuwa na watoto na ubiz wa kaz mnajisahau mume anahitaji nn?
 
Tafuta binti mwingine, huyo mrudishe ukae kwa Amani......
Wanaume wengine jamani eeeh
Etii wanaume wengine hiviii nyie mnaoliwa na bodaboda, wabeba mizigo na vijimtu vya ajabu huwa na nyie nini jamani...!
 
Tena wakati mie mama hajawai ata kunipigia simu, ata hio kuniomba vocha aliomba kwa msg tu, ni ukaribu upi unaopelekea kumuuliza mr uko wapi? maana angempigia tu nakumuomba vocha ingekuwa pia tofauti na kuanza kumuuliza uko wapi? hivo wakaka upo na mkeo shamba boy anampigia simu anamuuliza uko wapi? naomba uninunulie vocha mtanyamazia tuu? na bado wife unamuuliza kakupigia nani hakuambii ukweli, utakuwa na hisia ipi?
Haya mambo ni kuomba Kiongozi wenu awe ni Mungu tu. Yanafikirisha sana hata hivyo sometimes uwe na Positive attitude in negative situations
 
Kosa unaloendelea kufanya ni kuendelea kupisha ndani kimyakimya, kosa ulilofanya ni kurauka mapema, ungevuta subira ukafanya upelelezi wako ungefikia pazuri. Ongea na mumeo muombe akwambie mapungufu yako uyafanyie kazi usinune, kama kuna kipindi ambacho mwanaume anawaza kuchepuka ni nyakati za ugomvi ndani ya nyumba, mshukuru Mungu kwa ishara ulizoziona ili uzifanyie kazi kupunguza mpasuko badala ya kiburi.
 
Na wewe kiherehere kimezidi, achana na simu ya mumeo. Inawezekana kakuchoka una kimbelembele. Uangalie simu ya mumeo ili iweje wakati umemsikia akiongea?
 
Dada i can assure u hata mdogo wako wa kike akija anaweza kuwa bize na mumeo kuliko wewe, since mwanaume na mwanamke they know to handle each other friendly, ni kweli mumeo na hyo dada inawezekana wanachart muda tu since ndio yeye aliyeenda kumpokea stand,

cha msingi ufurahi umeweza kukomesha mazoea mapema lakin pia ongera kupata msichana anayefanya kazi maana sikuiz wafanyakazi ni hatari, tatizo lenu wanawake hamjui kujaliana mwenzio alivyoombwa vocha akaenda kufata dukani course anamthamini hyo dada wa kazi anayekaa na watoto wake,

kingine wala usimfukuze maana kama wanataka kuwa pamoja ndio utawapa uhuru zaid. Kingine usijaribu tena kumuweka kiti moto mumeo na house girl hasa kama huna ushaid kwamba wanatoka kimapenzi.
Hawezi kukuelewa huyo mapenzi yake yapo kwenye mtandao tuuu
 
Back
Top Bottom