Watu Wana roho mbaya hahaha, yaaani jamaa ana 55.5 kaachwa ( NOT SELECTED) kachukuliwa wa 56 wameshindwa hata kuaproximate haha
Nina C1 mkuu
Mdada kwani nina tatzo la kuona?Umeangalia vizuri au!!!
Wote TPA na TAA wameniitaUna C1 na umeitwa usaili wa TPA au TAA mkuu...?
C1 inakuwa ni kwa PSV si ndio bro...?
Wote TPA na TAA wameniita
inasoma 84, kwani wewe unaleseni gani na cheti gani cha udereva.?Daaaaah mi sjui kwa nini hawajaniita kwani kwenye kujaza dashboard yako imesoma % ngapi baada ya kuweka details zako kwenye portal mkuu...?
inasoma 84, kwani wewe unaleseni gani na cheti gani cha udereva.?
Hongera sana mwamba,nakumbuka tulikuwa wote ngorongoro.Dah.. Kama naliona geti namba 3 Bandari
Mungu atusaidie tutoboe ngwe ya pili hii. [emoji120][emoji123]
Oral yenu lini??hivi wale wa security waliopigwa kwata wamekadiriwa marks kwa kwata au walifanya na writtenDah.. Kama naliona geti namba 3 Bandari
Mungu atusaidie tutoboe ngwe ya pili hii. [emoji120][emoji123]
Wew n overqualified Kwaiyo Uwezi itwaMi inasoma 87% mkuu.
Nna A, A2, B, C1, C2, C3, D na E. Nna VIP Driving Certificate ya NIT kiongozi.
Hahahahaha we jamaa banaWew n overqualified Kwaiyo Uwezi itwa
Kwa hizo sifa kama hawajakuita basi kutakua na tatizo katika profile yako au uandishi wa barua.Mi inasoma 87% mkuu.
Nna A, A2, B, C1, C2, C3, D na E. Nna VIP Driving Certificate ya NIT kiongozi.
Oral yenu lini??hivi wale wa security waliopigwa kwata wamekadiriwa marks kwa kwata au walifanya na written
Pamoja broSecurity majibu yao sjayaona kwenye hili tangazo mkuu, halafu hawana written, majibu yao ya kwata yakitoka wanaenda oral straight..
Sisi oral mpaka tarehe 10 June
Kwa hizo sifa kama hawajakuita basi kutakua na tatizo katika profile yako au uandishi wa barua.