uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 779
- 2,415
- Thread starter
- #21
Nimepata jibu ni kwanini waliosoma wengi huwa maisha yanawapiga chenga. Ni kwa sababu ya hizo hesabu za kijingarudi darasani mzee, uliruka magazijuto
Nimepata jibu ni kwanini waliosoma wengi huwa maisha yanawapiga chenga. Ni kwa sababu ya hizo hesabu za kijingarudi darasani mzee, uliruka magazijuto
labda kasoma kizungu, BODMAS.Kwenye hesabu yako kuna alama mbili (kuzidisha na kujumlisha) wewe Umeanza na kujumlisha badala ya kuzidisha. Hivyo mpaka hapo ni upo kinyume na kanuni za hesabu za MAGAZIJUTO. Na ndio maana umepata jibu tofauti na halisi
huwa tunaenda ivi
MAGAZIJUTO
Mabano
Gawanya
Zidisha
Jumlisha
Kutoa
Fuata huo mpangilio utapata jibu kama la calculator ya kwenye simu yako.
Ww ndio umeshindwa kupiga hesabu usilaumu device za watu laumu akili yako na familia kushindwa kukupa haki ya msingi au ulipewa ukazembea kuzingatia darasaniInamaana hiyo calculator imeshindwa kupiga hiyo hesabu hadi inidanganye
Hahaha.Hivi ww jamaa unaakili zote kweli ww
Hiyo calculator ipo sahihi, we ndo hujui..View attachment 2616288
Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.
Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
Umejumlisha kabla ya kuzidisha ( fuatilia vizuri sheria ya BODMAS.1300830
Calculator ipo sawa, tumia bodmas ! Kama hesabu zinakupiga chenga uwe unaingiza item Moja Moja1300830
View attachment 2616288
Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.
Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
una akili za kuvukia barabara na shule ulienda kusomea ujingaNimepata jibu ni kwanini waliosoma wengi huwa maisha yanawapiga chenga. Ni kwa sababu ya hizo hesabu za kijinga
Sasa kazi ya calculator itakuwa ni niniCalculator ipo sawa, tumia bodmas ! Kama hesabu zinakupiga chenga uwe unaingiza item Moja Moja
Calculator haikosei wewe ndiye haujajuwa settings zake. Mara nyingi huwa zinaweka Kumbukumbu na kama usipofuta hiyo Kumbukumbu kila ukifanya operation italeta jibu tofauti na la kwanza. Hii ni kwa sababu inachukua thamani za namba zilizo kwenye Kumbukumbu na kuziongeza kwenye mahesabu yako. Hivyo wewe ndiye hujui namna ya kuitumia hiyo calculator ya simu. Pole!!!!View attachment 2616288
Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.
Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
we jamaa hujui hesabu, usiisingizie calculatorView attachment 2616288
Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.
Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
Hio calculator ipo sawa, wewe unacholalamika ni nini sasa?Sasa kazi ya calculator itakuwa ni nini
SawasawaKwenye hesabu yako kuna alama mbili (kuzidisha na kujumlisha) wewe Umeanza na kujumlisha badala ya kuzidisha. Hivyo mpaka hapo ni upo kinyume na kanuni za hesabu za MAGAZIJUTO. Na ndio maana umepata jibu tofauti na halisi
huwa tunaenda ivi
MAGAZIJUTO
Mabano
Gawanya
Zidisha
Jumlisha
Kutoa
Fuata huo mpangilio utapata jibu kama la calculator ya kwenye simu yako.
🤣🤣🤣we jamaa hujui hesabu, usiisingizie calculator
Hajui hesabu 🤣🤣Iyo calculator mbona iko sawa kabisa. Kwani jibu lako umepata ngapi ?
Kwenye hesabu zako hakikisha unaZingatia MAGAZIJUTO mkuu.
Ila hata mm nimegundua watu wengi hawajui hesabuwe jamaa hujui hesabu, usiisingizie calculator
Haha Anajua bhana sema kapitiwa tuu 😀Hajui hesabu 🤣🤣