Calculator nyingi ni za uongo hebu angalia hii hesabu

Kwenye hesabu yako kuna alama mbili (kuzidisha na kujumlisha) wewe Umeanza na kujumlisha badala ya kuzidisha. Hivyo mpaka hapo ni upo kinyume na kanuni za hesabu za MAGAZIJUTO. Na ndio maana umepata jibu tofauti na halisi

huwa tunaenda ivi
MAGAZIJUTO
Mabano
Gawanya
Zidisha
Jumlisha
Kutoa

Fuata huo mpangilio utapata jibu kama la calculator ya kwenye simu yako.
labda kasoma kizungu, BODMAS.
 
View attachment 2616288

Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.

Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
Hiyo calculator ipo sahihi, we ndo hujui..
 
View attachment 2616288

Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.

Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.

Shuleni ulienda kusomea ujinga? Umejianika jinsi ulivyo mweupe kichwani.
 
View attachment 2616288

Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.

Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
Calculator haikosei wewe ndiye haujajuwa settings zake. Mara nyingi huwa zinaweka Kumbukumbu na kama usipofuta hiyo Kumbukumbu kila ukifanya operation italeta jibu tofauti na la kwanza. Hii ni kwa sababu inachukua thamani za namba zilizo kwenye Kumbukumbu na kuziongeza kwenye mahesabu yako. Hivyo wewe ndiye hujui namna ya kuitumia hiyo calculator ya simu. Pole!!!!
 
View attachment 2616288

Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator zitawatajirisha watu ila zitawaacha wengi makalio matupu.

Embu fikiria kikawaida tu unatafuta hela kwa shida halafu unakuja kupoteza kwenye calculator.
we jamaa hujui hesabu, usiisingizie calculator
 
Kwenye hesabu yako kuna alama mbili (kuzidisha na kujumlisha) wewe Umeanza na kujumlisha badala ya kuzidisha. Hivyo mpaka hapo ni upo kinyume na kanuni za hesabu za MAGAZIJUTO. Na ndio maana umepata jibu tofauti na halisi

huwa tunaenda ivi
MAGAZIJUTO
Mabano
Gawanya
Zidisha
Jumlisha
Kutoa

Fuata huo mpangilio utapata jibu kama la calculator ya kwenye simu yako.
Sawasawa
 
Back
Top Bottom