Serikali haitaki kutangaza mapumziko ya kitaifa?
Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini!
Wamefanya mgomo wa chini chini!
Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge, nashangaa hapa ofisini kumbe siyo Mimi tu ambao miili na molali wa kazi hakuna, ni Karibu wafanya kazi wote hapa ofisini hatujivunii kufanya kazi
CAG ukaguzi utaoufanya, Embu Tunaomba uainishe hasara inayopata serikali kwa siku hii moja ambapo kuna migomo inaendelea ya chini kwa chini huku wananchi wakiendelea kumkumbuka aliyekuwa Raisi wao kipenzi JPM
Tena vifo vikiongozana inabidi muwe likizoKwahiyo hii nchi tuseme kama ingekuwa imetawaliwa na maraisi 60 halafu maraisi 50 wakafa,kama taifa tutangaze mapumziko ya siku 50 katika mwaka wenye siku 360!!..yaani siku 50 bila uzalishaji hii ni hatari sana yaani..Kama taifa tukifuatilia mihemko kama hii ipo siku itatuponza
Autocratic leadership is more applicable in business rather than in politicsKwani sherehe za watu binafsi zinapelekea serikali itangaze mapumziko?
Tarehe 17/March kwa baadhi ya watu ni sherehe kusherehekea Taifa hili kunusurika kutoka ktk mustakbali mbaya sana
Huyo mzee ndio kipenzi cha Watanzania wa wapi labda wa CHATO huko, nani amkumbuke , aliwajali wafanyakazi wa wapi? Huyu alietawala kwa miaka 6 bila kujali kiasi ambacho wafanyakazi wa nchi hii walilipwa , shameSerikali haitaki kutangaza mapumziko ya kitaifa?
Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini...
CHIZISerikali haitaki kutangaza mapumziko ya kitaifa?
Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini!
Wamefanya mgomo wa chini chini!
Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge, nashangaa hapa ofisini kumbe siyo Mimi tu ambao miili na molali wa kazi hakuna, ni Karibu wafanya kazi wote hapa ofisini hatujivunii kufanya kazi
CAG ukaguzi utaoufanya, Embu Tunaomba uainishe hasara inayopata serikali kwa siku hii moja ambapo kuna migomo inaendelea ya chini kwa chini huku wananchi wakiendelea kumkumbuka aliyekuwa Raisi wao kipenzi JPM
HakikaIlitakiwa angalau kidogo tu kuweka kumbukumbu zake hata kama hakuna mapumziko unajua ni rais alietutoka akiwa madatakani.
HakikaIlitakiwa angalau kidogo tu kuweka kumbukumbu zake hata kama hakuna mapumziko unajua ni rais alietutoka akiwa madatakani.
Kabisa huu ni upumbavu kutumia rasilimali za Nchi kulazimisha kifo Cha Rais.Serikali haitaki kutangaza mapumziko ya kitaifa?
Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini...
Dalili za aliyeelimika ni zipi mkuu!Hapo kazini kwenu umekutana na wajinga wenzio wachache ndio mnatoa conclusion kwa nchi nzima!
Lakini kifo chake kilikuwa kama ukomboziIlitakiwa angalau kidogo tu kuweka kumbukumbu zake hata kama hakuna mapumziko unajua ni rais alietutoka akiwa madarakani.
Ni kuacha kuwa na mawazo kama yenu,hata Ujerumani hawaadhimishi kifo cha Hitler.Dalili za aliyeelimika ni zipi mkuu!
Ni mtukanaji siyo?