AsaadKwanini Asaad kulidhalilisha bungu ughaibuni iwe sahihi lkn yeye akidhalilishwa isiwe sahihi? Mungu mwenye haki zote ANAWAONENI
Asaad hajalidhalilisha bunge wala hilo Bungu ulilokusudia.Kwanini Asaad kulidhalilisha bungu ughaibuni iwe sahihi lkn yeye akidhalilishwa isiwe sahihi? Mungu mwenye haki zote ANAWAONENI
Mkuu Dyuteromaikota, you are right, sasa ni mwendo wa trust tuu, mambo ya transparency na uwajibikaji waachie wengine, ndio maana Tanzania tumejitoa kwenye ule mkakati wa open government Initiatives.Kwa hiyo sasa hivi inabidi tuongozwe kwa trust na sio uwazi na uwajibikaji!!?![]()
Brother how do you know kama yalitumika kwa makusudi yaliyokusudiwa kama hakuna nyaraka? Usitetee kubadilisha matumizi ya fedha kama eti yalikua na nia nzuri simply because Kuna jambo jema limefanywa Hilo jambo jema nani anajua gharama halisi? "Government works on paper" kama no ivo Kuna haja gain ya kuwa name mpango wa matumizi?Mkuu Abdul Nondo, kwanza asante kwa nondo hii, sidhani kama mtu mzima mwenye akili timamu kichwani kwake anaweza kumuita CAG ni muongo, ujue tuna vichaa wengi kuliko tunavyojijua.
Kwa vile humu sio members wote wanaweza kusoma kila kitu, ni vema pia ungeweka ref ya aliyemuita CAG muongo kama hivi
![]()
Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu
Waziri wa Mambo ya Ndani, Lugola amesema hakuna mtu muongo kama CAG na kwamba yupo tayari kuweka uwaziri wake rehani, ikiwa itabainika kuwa taarifa zake za ukaguzi kuhusu sare hewa za jeshi la polisi zilizogharimu Sh16bilioni ni ya kweli. Kutokana na ukaguzi alioufanya, Profesa Assad alisema...www.jamiiforums.com
Ila kwenye ripoti ya CAG, sio kila upotevu wa fedha za umma au matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi bila kufuata taratibu ni matumizi mabaya ya fedha za umma au ni ufisadi.
CAG anakagua kufuatwa kwa sheria taratibu na kanuni za matumizi ya fedha za umma. Hivyo kuna maeneo ni kweli sheria taratibu na kanuni zilikiukwa lakini fedha zikatumika vizuri kwa ajili ya manufaa ya taifa mfano mzuri ni fedha za kununua zile ndege mpya, hazikufuata mchakato wa manunuzi wala taratibu za matumizi ya fedha za umma, ikiwemo kupangiwa bajet, kuidhinishwa na Bunge, CAG kusaini etc, kwa vile tumefanya manunuzi kwa utaratibu mpya wa Rais Magufuli unaoitwa kupiga tanchi, hatimaye ndege zimekuja na tumezishuhudia.
Hata matumizi makubwa kwenye Vote 20, japo hayakuidhinishwa na Bunge, lakini ni matumizi mazuri tuu, sote tunashuhudia rais wetu katika ziara zake, anatembea na mabulungutu ya hard cash na kugawa kwa wananchi.
Pia kuna maeneo ya matumizi makubwa, sheria taratibu na kanuni zote zimefuatwa, lakini huko ndiko tunapigwa.
Ukaguzi huanza kwa Entrance Meeting na kumalizika kwa Exit Meeting, hivyo inawezekana hadi CAG anafanya exit meeting, hizi sare za Polisi zilikuwa hazijaingia, lakini baadae ziliingia na ni kweli ziko ndani ya makontena.
Japo Ripoti ya CAG sio Masahafu au Bible, ila kiukweli kabisa aliyemuita CAG muongo, sikuzote ni kama kituko fulani.
P
Tangu mwaka wa fedha 2015/2016, 2016/17 hadi 2017/2018 kumekuwa hakuna vielelezo!; Management responses za query hii hatuzijui na namna ya kuclear ni kuonyesha vielelezo vinavyotakiwa ni siyo vinginevyo. Naona kuna tatizo kubwa la kuchanganya siasa na uwajibikaji.Utetezi wa waziri bungeni hakufuti au kuondoa doa hili.Wewe nawe sijui nikuite Kilaza au nani!?!? Lugola kawa waziri wa mambo ya ndani tangu lini? Unabiwa ni issue ya 2015 November wakati hata serikali haijaanza kufanya kazi sawia. Muwe mnaficha ujinha wenu sometimes.
Ushauri mujarabu sana huu naona wanasubiri hadi mheshimiwa mmoja avue nguo hadharani ndio wajue umuhimu wa kupima akiliMimi niliwahi kushauri viongozi wetu wapimwe afya ya akili from time to time, wanaweza kuingia wakiwa timamu, halafu ukichaa ukawapata, namna rahisi ya kutambua mushkeli wa afya ya akili zao ni kwa maneno yao na matendo yao.
P
Copy n paste.Mkuu Abdul Nondo, kwanza asante kwa nondo hii, sidhani kama mtu mzima mwenye akili timamu kichwani kwake anaweza kumuita CAG ni muongo, ujue tuna vichaa wengi kuliko tunavyojijua.
Kwa vile humu sio members wote wanaweza kusoma kila kitu, ni vema pia ungeweka ref ya aliyemuita CAG muongo kama hivi
![]()
Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu
Waziri wa Mambo ya Ndani, Lugola amesema hakuna mtu muongo kama CAG na kwamba yupo tayari kuweka uwaziri wake rehani, ikiwa itabainika kuwa taarifa zake za ukaguzi kuhusu sare hewa za jeshi la polisi zilizogharimu Sh16bilioni ni ya kweli. Kutokana na ukaguzi alioufanya, Profesa Assad alisema...www.jamiiforums.com
Ila kwenye ripoti ya CAG, sio kila upotevu wa fedha za umma au matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi bila kufuata taratibu ni matumizi mabaya ya fedha za umma au ni ufisadi.
CAG anakagua kufuatwa kwa sheria taratibu na kanuni za matumizi ya fedha za umma. Hivyo kuna maeneo ni kweli sheria taratibu na kanuni zilikiukwa lakini fedha zikatumika vizuri kwa ajili ya manufaa ya taifa mfano mzuri ni fedha za kununua zile ndege mpya, hazikufuata mchakato wa manunuzi wala taratibu za matumizi ya fedha za umma, ikiwemo kupangiwa bajet, kuidhinishwa na Bunge, CAG kusaini etc, kwa vile tumefanya manunuzi kwa utaratibu mpya wa Rais Magufuli unaoitwa kupiga tanchi, hatimaye ndege zimekuja na tumezishuhudia.
Hata matumizi makubwa kwenye Vote 20, japo hayakuidhinishwa na Bunge, lakini ni matumizi mazuri tuu, sote tunashuhudia rais wetu katika ziara zake, anatembea na mabulungutu ya hard cash na kugawa kwa wananchi.
Pia kuna maeneo ya matumizi makubwa, sheria taratibu na kanuni zote zimefuatwa, lakini huko ndiko tunapigwa.
Ukaguzi huanza kwa Entrance Meeting na kumalizika kwa Exit Meeting, hivyo inawezekana hadi CAG anafanya exit meeting, hizi sare za Polisi zilikuwa hazijaingia, lakini baadae ziliingia na ni kweli ziko ndani ya makontena.
Japo Ripoti ya CAG sio Masahafu au Bible, ila kiukweli kabisa aliyemuita CAG muongo, sikuzote ni kama kituko fulani.
P
Kwahiyo CAG kamuumbua tena kangi kwa kudanganya watanzaniaLugola alimsafisha Lugumi kuwa hana tatizo lolote lakini CAG kaja tena kumkaanga Lugumi kuwa hakufanya kazi aliyopaswa kuifanya ipasavyo.
Wamepewa kibali cha kuvuta bangi kwa siri.Mimi niliwahi kushauri viongozi wetu wapimwe afya ya akili from time to time, wanaweza kuingia wakiwa timamu, halafu ukichaa ukawapata, namna rahisi ya kutambua mushkeli wa afya ya akili zao ni kwa maneno yao na matendo yao.
P
Pascally unaibagaza tu taaluma yako ya uandishi kwa kusema kila akisemacho Rais ni kweli tupu, nae ni mwanadamu pia kama wewe anaweza asiseme kweli wakati fulani for a political circumstances,Kwa hiyo sasa hivi inabidi tuongozwe kwa trust na sio uwazi na uwajibikaji!!?![]()
Ndugu dawa yenuMkuu, huwa naamini sana katika busara zako ila hapa nadhani umepotoka au unataka kupotosha japo sidhani Kama una maslahi yoyote katika kufanya hivyo.
Unasema report ya CAG sio msahafu, hii ni kweli maana report inaweza kuwa na mapungufu kadha wa kadha. Ila ambacho sikubaliani na wewe ni hapo unapobariki manunuzi yasiyofuata kanuni, taratibu na sheria za fedha eti kwa kigezo kwamba manunuzi hayo yalifanyika kwa manufaa ya umma na umetolea mfano manunuzi ya ndege. Hii sio sawa mkuu.
Kama tuliweka taratibu/kanuni/sheria za manunuzi basi ni lazima zifuatwe na mtu akiacha kuzifuata anapaswa kuwajibishwa kwa maana kutofuata sheria halali zilizowekwa ni kosa kisheria na huwa tunasema no one is above the law, hata rais mwenyewe hayupo juu ya sheria.
Najua kuna ideology mbili katika kufanya maamuzi ambazo ni rule based na result based, wewe umebase kwenye result based, kwamba japo sheria hazikufuatwa ila results zimekuwa nzuri Sasa swali ni je vipi ingetokea result mbaya, mfano tungekuwa tumepigwa, ungekuwa na msimamo huo huo?
Halafu Kama unaongozwa na good will kwanini usifuate taratibu katika manunuzi? Watu wasio safi ndio mara nyingi huwa hawafuatwi sheria. Nahitimisha kwa kusema japo report ya CAG sio msahafu ila kwa kuwa nyaraka za manunuzi hazipo na taratibu zilisiginwa basi ni lazima watu wawajibishwe no matter results walizo deliver. Na hizo ndege naamini tumepigwa na ipo siku ukweli utaelezwa na inshaalah wote waliohusika watawekwa behind bars.