General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,301
- 23,025
Pascal maswali yawe short and clear,
Naona km unamtafutia Prof cha kusema
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona km unamtafutia Prof cha kusema
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bahati mbaya sana, Sheria na vifungu vya Katiba vya namna ya kumpata CAG tayari watakuwa wanafikiria namna ya kubadilisha... Bulldozer halitaki obstacle yoyote MBELE.Pascal maswali yawe short and clear,
Naona km unamtafutia Prof cha kusema
Sent using Jamii Forums mobile app
Paschal huo mkono wako wa kushoto umelemaa, mbona hauna movement kabisa?
Akihojiwa na Pascal MayalaHayo kayasema kwenye kamati ya maadili ya bunge wakati anajitetea au.......?!!
Kwa hiyo utapelekwa muswada kwa hati ya dharula ili kumng'oa meno CAG,Kwa bahati mbaya sana, Sheria na vifungu vya Katiba vya namna ya kumpata CAG tayari watakuwa wanafikiria namna ya kubadilisha... Bulldozer halitaki obstacle yoyote MBELE.
Umeuonaje na hapa hakuna picha? Au una maana nyingine?Paschal huo mkono wako wa kushoto umelemaa, mbona hauna movement kabisa?
Wanabodi,
Watu kama hawa, wa type ya CAG Prof. Mussa Assad, ambao siku zote husema ukweli daima, ndio watu watakaolisaiia taifa letu kusonga mbele.
Msikilize hapa akizungumzia jinsi taifa letu linavyoweza kujikwamua na kutuna kwa deni la taifa.
Wanasiasa wanajivumia ujenzi wa miradi mikubwa kwa kutumia fedha za ndani, halafu tunakopo kutoka non concession loans, kutoka mabenki ya ndani na nje ili kugharimia bajeti ya serikali, hapa CAG Prof. Assad amezungumzia athari za kiuchumi za serikali kukopa kutoka mabenki ya ndani na kukua kwa deni la taifa kutokana na kukopa non concession loans toka mabenki ya nje.
Ametoa solution ni tutumie a revenue driven budget and not expenditure driven budget.
msikilize mwenyewe.
P.

Siyo lazima iwe kikao hiki ila dalili zinaonesha hivyo au laa, awekwe mtu anayelinda maslahi ya "tafsiri ya kilichotokea juzi" time is what we call our story—telling agent...Kwa hiyo utapelekwa muswada kwa hati ya dharula ili kumng'oa meno CAG,
petty dictotors wana taabu sana
He should use the proper channels at his disposal to educate and make other decision makers understand his concepts. Kusema nje ya channels kunaleta tension zisizo na sababummh huyu proffesor anatumia vyema elimu ake... hanania mbaya na taifa kama baadhi wanavyoanza kumdhania