mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 845
- 675
Huyu akisikilizwa tutafika mbali sana...
Anashauri uwajibikaji katika kila sekta, matumizi mazuri na yanayoendana na viambatanisho..
Kifupi anasema ukipata sh. 100, usitumie yote kwa kwa kudhani kuna hela fulani itaingia sijuwi toka wapi, yaani tutumie vizuri, tuweke akiba, na tutumie tunachokipata bila kuwalaza watoto nyumbani njaa kwa visingizio tunafanya ujenzi na kuboresha miundo mbinu bomani....
Watoto wakila, wakivaa, wakisoma na malezi mazuri, hayo maujenzi watafanya wenyewe...