Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,567
Wanabodi,
Watu kama hawa, wa type ya CAG Prof. Mussa Assad, ambao siku zote husema ukweli daima, ndio watu watakaolisaiia taifa letu kusonga mbele.
Msikilize hapa akizungumzia jinsi taifa letu linavyoweza kujikwamua na kutuna kwa deni la taifa.
Wanasiasa wanajivumia ujenzi wa miradi mikubwa kwa kutumia fedha za ndani, halafu tunakopo kutoka non concession loans, kutoka mabenki ya ndani na nje ili kugharimia bajeti ya serikali, hapa CAG Prof. Assad amezungumzia athari za kiuchumi za serikali kukopa kutoka mabenki ya ndani na kukua kwa deni la taifa kutokana na kukopa non concession loans toka mabenki ya nje.
Ametoa solution ni tutumie a revenue driven budget and not expenditure driven budget.
msikilize mwenyewe.
P.