CAG Prof. Mussa Assad, azungumzia jambo muhimu sana kutibu kupanda kwa deni la Taifa. Tutumie Revenue Driven Budget and Not Expenditure Driven Budget

Kwa bahati mbaya sana, Sheria na vifungu vya Katiba vya namna ya kumpata CAG tayari watakuwa wanafikiria namna ya kubadilisha... Bulldozer halitaki obstacle yoyote MBELE.
 
hiki kisiki kikanywagapo kitasambaratika au kitabakia imara au kitachipua upyaaa?
 
Attachments

  • kp19012019.jpg
    kp19012019.jpg
    21 KB · Views: 26
Kwa bahati mbaya sana, Sheria na vifungu vya Katiba vya namna ya kumpata CAG tayari watakuwa wanafikiria namna ya kubadilisha... Bulldozer halitaki obstacle yoyote MBELE.
Kwa hiyo utapelekwa muswada kwa hati ya dharula ili kumng'oa meno CAG,

petty dictotors wana taabu sana
 
Wanabodi,

Watu kama hawa, wa type ya CAG Prof. Mussa Assad, ambao siku zote husema ukweli daima, ndio watu watakaolisaiia taifa letu kusonga mbele.

Msikilize hapa akizungumzia jinsi taifa letu linavyoweza kujikwamua na kutuna kwa deni la taifa.
Wanasiasa wanajivumia ujenzi wa miradi mikubwa kwa kutumia fedha za ndani, halafu tunakopo kutoka non concession loans, kutoka mabenki ya ndani na nje ili kugharimia bajeti ya serikali, hapa CAG Prof. Assad amezungumzia athari za kiuchumi za serikali kukopa kutoka mabenki ya ndani na kukua kwa deni la taifa kutokana na kukopa non concession loans toka mabenki ya nje.

Ametoa solution ni tutumie a revenue driven budget and not expenditure driven budget.
msikilize mwenyewe.

P.

Halafu akitokea mtu akihoji uanzishwaji wa miradi mikubwa isiyo zingatia mipango ya maendeleo ya Taifa, anaitwa mara mchochezi, mara mzandiki, mara anatumiwa na mabeberu nk Kupanga ni kuchagua! Miradi kama kuhamia Dodoma, ununuzi wa ndege, SGR, Stiegler's Gorge nk ni muhimu sana kwa Taifa letu ila iingizwe kwenye mipango ya maendeleo na kutekelezwa awamu kwa awamu Kadiri ya vipaumbele!
 
Wanabodi,

Watu kama hawa, wa type ya CAG Prof. Mussa Assad, ambao siku zote husema ukweli daima, ndio watu watakaolisaiia taifa letu kusonga mbele.

Msikilize hapa akizungumzia jinsi taifa letu linavyoweza kujikwamua na kutuna kwa deni la taifa.
Wanasiasa wanajivumia ujenzi wa miradi mikubwa kwa kutumia fedha za ndani, halafu tunakopo kutoka non concession loans, kutoka mabenki ya ndani na nje ili kugharimia bajeti ya serikali, hapa CAG Prof. Assad amezungumzia athari za kiuchumi za serikali kukopa kutoka mabenki ya ndani na kukua kwa deni la taifa kutokana na kukopa non concession loans toka mabenki ya nje.

Ametoa solution ni tutumie a revenue driven budget and not expenditure driven budget.
msikilize mwenyewe.

P.

Wakuu wa nchi wajitafakari Hii statement 'Use Revenue Driven Budget and NOT Expenditure Driven Budget'
Kama wataelewa basi itawasaidia sana though it's too late Damage ni kubwa kuliko tunavyodhani
Haya makusanyo wanayohubiri kila siku wanafikiri wanawadanganya wananchi lakini wanajidanganya na kulidanganya Taifa

Someone has to step in and knock their heads for them to understand OUR country is in a big shit!
 
Kwa hiyo utapelekwa muswada kwa hati ya dharula ili kumng'oa meno CAG,

petty dictotors wana taabu sana
Siyo lazima iwe kikao hiki ila dalili zinaonesha hivyo au laa, awekwe mtu anayelinda maslahi ya "tafsiri ya kilichotokea juzi" time is what we call our story—telling agent...
 
mmh huyu proffesor anatumia vyema elimu ake... hanania mbaya na taifa kama baadhi wanavyoanza kumdhania
He should use the proper channels at his disposal to educate and make other decision makers understand his concepts. Kusema nje ya channels kunaleta tension zisizo na sababu
 
Back
Top Bottom