Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Bado hamjajua kuna Spika kubwa sana mithili ya zile za kwenye mikutano ya injili zimefungwa Dodoma na Mic ipo Mkoa mmoja Mashariki ya Tanzania?Hizo hoja za CAG ziko wapi hapo?
Anyway, Ndugai hajui maana ya Separation of power, asijaribu kuuingiza mhimili wa serikali katika hili suala.
CAG hakusema Rais ni dhaifu alisema "Bunge lina udhaifu" na wala hakusema bunge ni dhaifu.
Ndugai apambane na hali yake!. Asitafute huruma ya Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app