CAG Prof. Mussa Assad amjibu Spika Ndugai, Asema Katiba ya JMT haina kifungu kinachomtaka ajieleze

Kamusi ya Assadi ipo wapi? Utuoneshe maana ya neno Dhaifu. Assadi namfahamu sana, ni Kiburi sana, na kujifanya anasimamia misimamo isiyo na kichwa wala miguu. Aondoke kwenye utumishi wa umma, awe mwanaharakati, huko atafaa zaidi. Kwenye utumishi wa umma kuna taratibu zake, huwezi enda huko nje ya nchi ukadhalilisha nchi yako. Ajitathmini, na achie ofisin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu sana wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jicho pana Rais yupo nyuma ya Spika.

Mwaka jana alipokea Live ripoti ya CAG na kuichambua madudu kadhaa yaliyoainishwa.

Mwaka huu ni kama hajui kuna ripoti ipo, aliipokea kimya kimya na sekeseke linaloendelea ni kama hasikii.

Siku zote Rais tulie nae kitu anachopinga huwa hanyamazi maana hana kariba ya kujizuia. Ila kwa hili kanyamaza. Ipo sababu.

Hapa ndipo tunasema kwa jicho pana magufuli anamsapoti ndugai, maana madudu yote ni ya uongozi wake, 1.5 trilion, zisizofahamika matumizi ni awamu yake.

Manunuzi yasiofata sheria, zabuni na kadhalika, magufuli apendi kusemwa, anaamini yeye anajua kila kitu. Na ana uwezo wa kila kitu ilimradi tu yeye ni Rais. Kauli zake nyingi huthibitisha hilo.

Sasa anasaka kichwa cha CAG na uwezo wa kukipata hana. Sasa anamtumia yule dhaifu bungeni kufikia lengo.

Rudia kauli ya dhaifu jana. "Eti" CAG akajisalimishe kwa Rais. Na ajiuzuru. Hii ndio nia ya Dhati ya Magufuli, Assad aondoke maana ni kikwazo kwake

Magufuli hapendi kukosolewa wote mnajua ya Lissu, wote mnajua ya Wapinzani leo, wote mnajua kilichompata msajili wa hazina alipotoa maoni ya wazi clouds 360 kuwa kuweka fedha za umma bank kuu kutapunguza mzunguko wa fedha na si kosa kisheria kuweka katika mabenki ya kawaida, aliliwa kichwa.
Dumelang
I don't think so.
Ukisikiliza tone na maneno ya Ngudu ya jana unaona ni kama anajikomba kwa mkuu hii inaashiria mkuu hayupo nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii isomwe in Maguvanga voice...
Msema kweri ni mpenzi wa Mungu na CAG amesema ukweri tatizo watanzania tulizoea kusifiana tuuu hata vitu vya uongo,kama sikumfukuza bashite na kelele za wengi mnadhani nitamtumbua huyu siieigii.badala wafanyizie kazi ripoti wanazurura mara Doha,mara naskia yuko swideni tena kwenye limerii eti anafungua mkutano,mara anakimbilia waandishi dar tumepoteza milionzi ofu mane wewe unanguvu za kusafiri hovyohovyo. mimi nimekataa mikutano mingapi kwaajili ya kazi za watanzania ifike mahali viongozi tumtangulize Mungu mbere na tuwe na uzalendo! Mimi nimewahi kuita watu vilaza mbona sijajiuzulu,niliwaambia viongozi wastaafu wanawashwa-washwa kwahiyo nijiuzulu,nimesema hata sisiemu kuna majizi hilo neno ni gumu lakini ndiyo ukweri wenyewe. Wakaangalie kwenye kamusi udhaifu na majizi lipi neno laini nalipi zito. Mmezoea maneno malainii mimi kipindi changu nataka maneno magumu tena sieijii akitoa ripoti yake mwakani awe amevuta kabangi kake polepoooole ili awatandike vizuri!! tunawalipa mamilioni wanakaa vikao kurushiana vijembe huo ni uzaifu jamani au tuuite uzinifu? Haya tuchape kazi tuache maneno.hapa kazi tuu,natumbua watu wezi na wasioweza kazi siyo walioongea sijui nini mtu akachukia!! Siunywe maji utatulia au ulivyoenda uko katari ungekunywa kawaini kidogo ukasahau.
Hahaha
Wanawashwa washwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napendekeza huu mtanange uendelee kwa hoja,kanuni na sheria mpaka mshindi apatikane ki halali.
Wasirushiane ngumi wala kudhalilishana kama ya yule mbunge wa ATOWN.
Maboyoyo yatajulikana mwisho wa siku,na hapo ndipo tutanza kupata maendeleo na uchumi utakuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unataka kila jambo yeye alizungumzie,CAG anaugomvi na muhimili mwingine kabisa na sio na rais na ndio maana kawaachia wenyewe akiingilia mijineno mtakayotoa sio ya nchi hii.Embu muachane bwana.

Mbona ndugai kamuingiza rais eti CAG akamuombe radhi? Acha unafiki wewe buku 7
 
ELIMU ELIMU ELIMU.Bunge lina sehemu kuu mbili;Ya kwanza ni Rais na ya pili ni Wabunge. Rudi shule.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
uko sawa mkuu sasa turudi sehemu iliyo semwa kuwa na udhaifu ni ipi? ya raisi ama ya wabunge (yenye kutakiwa kuisimamia serikali)

Na kwa nini ndugayi kaihususisha sehmu ya raisi na udhaifu huu
 
Anasema kikatiba hakuna mtu wa kumwambia ajielezee kwa mtu mwingine iwe rais au nani. Kama Ndugai anavotaka akajieleze kwa rais.

Zaidi iundwe tume ya kuchunguza.

Ngoma nzito hii. Ndugai ataumbuka
tatizo sio CAG tatizo ni dini yake. anaandamwa kwakua bi MUISLAMU Basi
 
Usimuhusishe mpendwa wetu katika hili, hawezi kuingilia jambo dogo kama hili hawezi kuingia mtego wa kubishania neno dhaifu tena katika nchi ya watu maskini na wanyonge. Yuko busy tuletea maendeleo wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi mbona aliingilia kati mgogoro wa Paul Makonda na Ruge Mutahaba?
Naona ipo haja ya kuwatafutia suluhu watu hawa wawili
 
Anasema kikatiba hakuna mtu wa kumwambia ajielezee kwa mtu mwingine iwe rais au nani. Kama Ndugai anavotaka akajieleze kwa rais.

Zaidi iundwe tume ya kuchunguza.

Ngoma nzito hii. Ndugai ataumbuka
Zile transistor za ubongo zilizobaki India zimemuathiri sana huyu jamaa!
 
Back
Top Bottom