Yaani hii serikali ukishushwa cheo wewe kuwa mtulivu na fanya kazi, maana utapandishwa tena cheo usipovunjika moyo.Mimi binafsi nilijua this man hataishia uras tu.
Kama ni hivyo basi ni mbinu za kum-shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una-enjoy ukuu, ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyohojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.Ndiyo. Kapandishwa tena cheo baada ya kushushwa kutoka kamishna TRA na kapelekwa kuwa katibu tawala. Leo kapanda tena cheo na kuwa CAG.
Majina ya Charles yashaanza kurudi serikalini haha. Toka katibu tarafa to CAGRais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof Musa Assad #MwananchiUpdates
Huyu kawekwa kuficha uchafu. Hana ubavu wa kupingana na Ikulu. Ni kibaraka mwoga na usitegemee kitu.CAG wa Sasa awe na Kitengo Cha ujasusi wa maswala ya fedha, aweze kudetect mikono ya wasioonekana wakati wa kusema hela hazionkeani!
sana!Assad kastaafu kwa heshima
Kama ni hivyo basi ni mbinu za kum shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una enjoy ukuu ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyo hojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.
Prof Assad Mungu akubariki sana kazi uliyofanya wenye akili wameiona.
Eti Kichere CAG...such a coward person...nchi hii ni kituko sana...