CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

Kazi ya kudhibiti huwa anaifanya lini?
Kiswahili ndiyo inayokusumbua . Mwenye vyombo vya dola na vya maamuzi ni Rais na amekabidhiwa report.

Bunge chombo cha wananchi chenye uwezo wa kuiambia serikali hatua hizi zichukuliwe wanazo report. Huo ndiyo udhibiti. CAG hana vyombo vya dola na vya maamuzi

Odhis *
 
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.

Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.

Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Nilidhani u mjuzi na mbobezi katika sheria na siasa, kumbe debe tupu. Hivi hujui katiba inamlinda CAG, hivyo hawezi kutoka au kuondolewa kirahisi hivyo kwa matamko.
Soma ibara ya ya 143 kuhusu majukumu ya CAG na ibara ya 144 kuhusu kuondolewa CAG madarakani
 
Naona hivi:

1) Yeye anaexercise udhibiti baada ya matumizi na siyo kabla. Ingekua anaexercise kabla maana yake ofisi ya CAG ingekua the busiest office in our country.

1-a- Atapokea mipango ya utekelezaji miradi kutoka chini kabisa mpaka juu.

-b- Apitie bajeti, malengo ya miradi yote kisha atoe go ahead.

-c- Aangalie utangazwaji na ugawaji wa tenda.

-d- n.k.

Miradi ingekua inapitia urasimu usio wa lazima. In fact tungeweza sikia kuna mradi umekwama kwa miaka 4 kwakua CAG anaupitia kwanza.

Hivyo udhibiti wa CAG hua unakuja kwa wakati ujao as in, anatoa mapendekezo ya kilichoharibika sasa hivi tukifanyeje kiende vyema. Anatoa mapendekezo ya wataalamu na utaalamu unaohitajika (ATCL) sehemu ya mradi kuwepo (Magufuli Bus Terminal) n.k.

Ingawa kama udhibiti wake ungekua kabla ingeweza kusaidia nafikiri.
 
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.

Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.

Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za SERIKALI.
Kudhibiti maana ni kuzuia madudu yasitokee yeye anakagua baada ya mahesabu kuletwa na kuona ubora wa kile kilicholetwa je kinachotakiwa kufanywa kwa weledi?
Sasa yeye anashauri serikali nini kifanyike ili madudu yasijirudie ndo maana Magufuli alipomteua Kichere alimwambia usiende kujifanya mhimihili.
Yeye hana polisi kwamba ukikosea akushike na bunduki hiyo kazi ni ya polisi,Takukuru na mwendesha mashtaka wa polisi au mkurugenzi wa makosa ya jinai.
 
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.

Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.

Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Hata akitimuliwa still bado ya awamu iliyopita hayajifichi.
 
Yale mabulungutu aliyotembea nayo mfilisi wa wanyonge Ili kudraw attention za futureless people yalitoka kwenye fungu lipi.
 
Nchi ilianza kwenda vizuri na Wananchi tukaanza kuelewa maana ya CAG na kumuheshimu wakati wa Utou hata Assad tulikuwa tumeshaanza kustaarabika na kujua na kuona umuhimu wa CAG.

Wapori pori walipoingia madarakani hata heshima ya Majaji na Mahakama haipo tena HAKIM anawapiga faini Chadema million 370 kwa kesi ya kubambikizwa mauaji bila kumleta muuaji aibu ya karne nahaita sahaulika milele Agullina Rip
Tulifika pabaya Sana aisee KILA hakimu alijitahidi kumfurahisha jiwe kwa kuwanyima Dhamana wapinzani ikiwemo kuwafunga pasipo ushahidi lengo tu wazawadiwe ujaji na jiwe.Lkn Mungu ni mwema.
 
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.

Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.

Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Mtasema yote lakini ukweli utabaki kuwa shetani mtu kafa!
 
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.

Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.

Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Sukuma gang kama ingekuwa ni wagonjwa wa ukimwi nyinyi mngekufa mapema,mnatakiwa mkubaliane na hali kwamba zamu yenu imepita,

Wakati ule mnatuburuza sisi tulikubali,mmeua biashara zetu,mmetubambia makodi ya hovyo,mmetupiga faini zakionevu,mmefungia vyombo vya habari,mmejiajiri wenyewe sisi mkafunga ajira,mmepeleka miradi yaupendeleo Chato,yote tulikubali kwenu ugumu uko wapi?
 
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.

Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.

Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Sheria zinasemaje, kwa maoni yangu nadhani ukaguzi ufanyike kila mwezi ndipo unaweza dhibiti
 
Usijefikiri kila mtu humu hajui na hana elimu, sio lazima ww unijue but hayo maumiv ya mtima wako baki nayo au kama vp chukua nafas ya CAG if you can handle that. Hii biashara ya ushabiki wa vyama mbele bila kuangalia professional ya mtu acheni. Unaongea kama upo on top for auditing than Mr kichere
Hii mada iko juu ya uwezo wako wa akili kaa nayo mbal
 
Back
Top Bottom