CAG: Magufuli na Mwakyembe wawajibishwe

CAG: Magufuli na Mwakyembe wawajibishwe

kwani tatizo lako nini hasa kwake? kuswali tu? au kuna jingine? kuswali kwake kunakugarimu shilingi ngapi? au kuna ligarimu taifa kiasi gani? naziona chuki zako tu. ndo mnavyofundishwa chuki huko kwenye madhabahu yenu?

Huyu C.A.G toka aonyeshe nia ya Kujenga Msikiti Ofisini,nimemdharau sana.
 
kwani tatizo lako nini hasa kwake? kuswali tu? au kuna jingine? kuswali kwake kunakugarimu shilingi ngapi? au kuna ligarimu taifa kiasi gani? naziona chuki zako tu. ndo mnavyofundishwa chuki huko kwenye madhabahu yenu?

Mambo ya Dini yatofautishwe na Serikali.Hawa ndio uzao unaohitaji Mahakama ya Kadhi ianzishwe na Serikali wakati hawaitambui BAKWATA iliyoanzishwa na Serikali.
 
Hamjui tu,Magufuli ni JOKA JINGINE LA MAKENGEZA YA PESA.Kujibu kwa kujiamini na kutojipenda sana ni kinga ya kuficha madhambi yake.Kwanza hata kauli zake huwa za ajabu ajabu sana kwa watu wa chini.
 
Mambo ya Dini yatofautishwe na Serikali.Hawa ndio uzao unaohitaji Mahakama ya Kadhi ianzishwe na Serikali wakati hawaitambui BAKWATA iliyoanzishwa na Serikali.
mambo ya bakwata na kadhi yametoka wapi tena kwenye post husika? nilichokiuliza tatizo ni nini? Prof. Asad kuswali au nini? kuswali kwake kunawagharimu nini nyei watu? au kuna ligharimu taifa kiasi gani?
 
Narudia tena.Mambo ya Dini yasichanganywe na ya Serikali.Kitendo cha kutaka kujenga Msikiti kwenye Eneo la Ofisi ya Serikali ni Udini uliokubuhu.Nimemdharau sana huyu Jamaa.Kama wote wenye mamlaka wakifanya kama yeye mbona hata Parking zitakosekana.Nashukuru Mungu baada ya kutikisa Kibiriti,amekikuta kimejaa akarudi nyuma.
 
Ccm ukoo wa panya! Hili lijadiliwe kwa hati ya dharura mbungeni. Tundu Lissu tusaidieni watanzania.
 
Ccm ukoo wa panya! Hili lijadiliwe kwa hati ya dharura mbungeni. Tundu Lissu tusaidieni watanzania.

Ms Bawafe unawajua panya au unaimba ngonjera za wenzako.ulimbukeni haujengi. HALAFU Lissu unamkokotaje humu?
 
Narudia tena.Mambo ya Dini yasichanganywe na ya Serikali.Kitendo cha kutaka kujenga Msikiti kwenye Eneo la Ofisi ya Serikali ni Udini uliokubuhu.Nimemdharau sana huyu Jamaa.Kama wote wenye mamlaka wakifanya kama yeye mbona hata Parking zitakosekana.Nashukuru Mungu baada ya kutikisa Kibiriti,amekikuta kimejaa akarudi nyuma.
Tujadilin rport ya CAG na Wizi wa hiyo WIZARA
 
Ungeandika tu kama ulivyianza mpaka mwisho. . . . .watu wangepima ila ulipoingiza mambo ya ugombea unaonekana una hoja yako na sio maslahi mapana ya umma

Kitu kwa iyo mkuu, nakubaliana na wewe asilimia 100
 
Huyo magufuli ndiye mwenye afadhari huko ccm na mkianza tena kwa huyo ccm watajuta mwaka huu.
ZZK wa siku hizi mmmhhh,hapo yeye kamaliza kazi yake

Kitu kaa iyo.........
 
Kila kunapokucha Taifa letu linaendelea kuingia katika giza tororo hasa kutokana na baadhi wa wale walioaminiwa na Raisi kuhakikisha kuwa wanaendelea kuziacha Wizara zikiwa hoi kutokana na Ufisaidi wa kutisha.

Kabla hata swala la Escrow halija futika katika mioyo na fikra za Watanzania jambo ambalo limepelekea baadhi ya Mawaziri kuwajibishwa sasa limeibuka lingine kubwa na la aibu.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali amependekeza hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya Dkt. John Pombe Magufuli (Waziri wa Ujenzi) na Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Naibu Waziri) kutokana na Ufisaidi unaofikia kiasi cha Shilingi Bilioni 256.

Hoja hii ilishawahi kuibuliwa Bungeni ila kama kawaida yake Magufuli aliizima kiujanja ujanja jambo ambalo sasa limeibuka upya na CAG kujiridhisha kuwa majibu waliyoyatoa Waziri hayakiwa na usahihi wowote hivyo alilidanganya Bunge na fedha hizo hazijulikani zilikopelekwa kwa kuwa hakukuwa na barabara mpya zilizojengwa na kama haitoshi madeni ambayo Magufuli alisema yamelipwa hayaendani ama kulingana na kiasi hicho cha zaidi ya Bilioni 256.

Akizungumza na Gazeti la Mwananchi Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya PAC Mhe. Zitto Zuberi Kabwe amesema huwa ana mashaka sana na majibu ya Magufuli manake kujiamini kwake hupelekea watu wengi kumwani hivyo hata anapofanya mambo ya hovyo watu hucheka na kumpigia magofi.... Hivyo yale majibu aliyoyatoa Bungeni kipindi kile hakuyaamini na kuamua kuendelea kulifuatilia jambo ambalo sasa limeibua ukweli kwamba Magufuli alilidanganya Bunge na hili halivumiliki hata kidogo lazma hawa mabwana sasa wakatujibu Bungeni na wajiandae kuwafuata wenzao kwa kuwajibika.

Itakumbukwa kuwa Magufuli amekuwa akitunukiwa jina la "The Chosen" kwamba ndiye anayetakiwa kumrithi JK baadhi ya watu wakisema kwamba huyu bwana ni msafi kumbe ndo yale yale waliwahi kuyasema wahenga Usilolijua ni kama usiku wa kiza........

Kama ilivyokuwa kwa Escrow sasa hili nalo Watanzania wanalisubiri kwa hamu kubwa.

Chanzo: Mwananchi

Huu ni uhuni wa kisiasa na unachezwa na Zitto aka Kunguru hafugiki (Kafukuzwa CHADEMA RASMI), kwa sababu serikali ilishatolea majibu kuhusu hizi hela na sehemu ya ripoti hiyo hii hapa:

View attachment 233489
View attachment 233492
View attachment 233493
View attachment 233494
833d7d3085845cb57c1d629e3de8acbb.jpg
6835392204e5a60e162c12bc835eead5.jpg
8a737c82277f81d7c269202f8d1c8ffc.jpg

Chanzo:Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovic Utoh
 
Nchi imeshakuwa shamba la bibi kila mtu anavuna anavyotaka .lakini watanzania tukitaka kuondoa ufisadi nchi tuiondoe kwanza serikali ya ccm madarakani.Magufuli ni mbunge wa ccm niliyekuwa namkubali sana kwenye utendaji wake wa kazi kumbe naye ni fisadi wa kutisha bilioni 252 wamezililamba yeye na Mwakyembe inasikitisha .
 
Da hebu jamani muache uchaguzi upite kisha ndo muibue hayatena, maana sioni jambo la ESCROW lime kwenda kwendaje pesa hawajarudisha, ulikua ukienda fb escrow,twita escrow sasa leo tena... tupatekwanza matokeo ya escrow.
 
Huu ni uhuni wa kisiasa na unachezwa na Zitto aka Kunguru hafugiki (Kafukuzwa CHADEMA RASMI), kwa sababu serikali ilishatolea majibu kuhusu hizi hela na sehemu ya ripoti hiyo hii hapa:

Chanzo:Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovic Utoh

Tatizo ya hayo majibu ni kuwa TANROADS walizitumiaje hizo fedha mbali ya kuwa hiyo siyo taarifa ya CAG ila PAC.
 
Back
Top Bottom