CAG: Magufuli na Mwakyembe wawajibishwe

CAG: Magufuli na Mwakyembe wawajibishwe

ccm mmechanganyikiwa kweli, mpaka kupost vipande vya magazeti kwenye mtandao, sisi tutajua ni gazeti gano hilo, uhuru, mzalendo au kiu, mwananchi..lakini mbona hamtaki kueleza magufuli na vision na mossion gano na ncho au alikirupushwa tu, hakujiandaa

acha pupa
 
Hakuna mtu msafi ndani ya ccm, Nape mwenyewe kachakachua matokeo ya kura za maoni. Matokeo yake wanachama wamejitoa
 
Unaambiwa nyoka ni nyoka tu ,hata awe mdogo vipi ni nyoka tu sumu ni ileile hivyo sitegemei na tusitegemee jipya kutoka ccm
 
Kama hiyo tuhuma ni genuine kampeni ya Magufuli itakuwa ngumu. Anaweza kujiweka kufuli moja kwa moja.
 
hata waseme nini...kazi ya magufuri imeonekana...hili zengwe la kualazimisha halina nafasi
 
Dah huyu naye basi LUMUMBA kwisha kabisa kwel mtoto wa nyoka ni nyoka hata awe mdogo vp
 
Hao wawili wasingekuwepo ccm na serikalini sura ya chama na serikali ingekuwa mbaya zaid kuliko ilivyo sasa hvi.
Hao wawili ndio mtaji wa ccm na serikali
 
Magufuli ana kazi ngumu sana ya kuzishikilia imani za wanaccm waliobaki ili waendelee kubakia.
Ufisadi kwenye wizara alizowahi kuziongoza ni wa kutisha na aibu kwa wanaomuunga mkono.
Ona wale samaki, ona barabara zilvyochakachuliwa na ona ardhi inavyogawiwa na dhuluma za viwanja mijini. Namwonea huruma sana kwani hata timu aliyoundiwa imejaa makapi ambayo hayafai hata kulishia mifugo kwa kukosa ladha ya maadili.
 
Kumbe na yeye Magufuli ni fisadi namna hiyo??? BASI NIMEAMINI CCM HAINA MSAFI HATA MMOJA.
 
Back
Top Bottom