CAG: Magufuli na Mwakyembe wawajibishwe

CAG: Magufuli na Mwakyembe wawajibishwe

Huyu dogo Maghufuli akiacha u-arrogance wake ni kiongozi mzuri. Haya mengine ni ajali kazini. Barabara zilijengwa makandarasi hawakulipwa katika mwaka wa fedha husika. Hivyo bajeti iliyofuata ilibidi ihusike na kulipa, isingewezekana atoe mfukoni kwake
 
Mpaka huu uchaguzi upite, watanzania wengi tutakuwa tumeyumbishwa sana na hawa wanasiasa. Wengine wanatumwa humu kuwachafua wenzao na wengine wanatumwa kuwajenga wenzao. Kazi ipo. Chamsingi ni kutumia akili zetu zaidi na sio yanayosemwa na watu. Ukianza kuwachambua wanasiasa wengi wanaosemwa kugombea urais hakuna msafi. si wasisiem, si wachadema wala cuf. Wengine ni kwasababu hawajapata tu hayo madaraka.
 
nakumbuka jinsi Magufuli alivyojitetea kwa mbwe mbwe na kupigiwa makofi ya pongezi wa makada wa CCM waliopo bungeni kwa style ya aina yake. maswali yote ya upinzani akiwepo Mnyika, Mdee na wengine yalimalizwa kijanja na kuwekwa shinikizo bajeti yake ipitishwe ujenzi wa barabara uendelee kwa kasi.
na alikuwa anataja barabara mbalimbali za nchi yetu kama kasuku au mtoto wa shule aliyemezeshwa materials
 
Huyu mzee ziro tuu anajua kucheza na akili za watanzania vilaza eti akileta zile hesabu za samaki trilion blah blah blah vilaza wana,uona anaakilii
Kumbe bure huyu si aliwaambia wananchi wa kigamboni wapige mbizi
Kisha wenye malori wayachemshe
Hana tofauti ma chenge
Kauli za kijingajinga kwa wananchi wanaolipa kodi na hazikubbaliki mxxxx

I wish Tanzania ingekuwa na vichwa kama hvi, hawa wapuuzi puuzi wengekuwa waliisha kula kona zamani sana! tungekuwa na tamzania mpya safi na makini! bravo!
 
Hii ni dhahiri walio yafanya yanapaswa kuchunguzwa kwa jicho la tatu, nchi imejaa viongozi wanafki , wezi na wabadhirifu na wanao simamia ukweli wanasulubiwa bila hatia.

Maamuzi magumu na sahihi ndio pekee ya kutuvusha hapa 2015. Tujiandikishe tukafanye maamuzi.
 
Attachments

  • 1426598321827.jpg
    1426598321827.jpg
    101.3 KB · Views: 372
This is a joke, inachukua watanzania wangapi wa kipato cha chini, magari mangapi yapite bandarini hili kupata sh/80bn which is an accounted for huko TANROAD halafu watu waachwe hivihivi.

Watu hawewezi kuwa wanapita wakiwashawishi watanzania walipe kodi kama uzalendo hili hela isaidie jamii directly na miradi ya jamii halafu kuna watu wanaachwa kwa kutumia hovyo kodi za watu ambayo wanadai itasaidia kuendeleza jamii.

Hiyo 80bn ni vitanda vingapi au hospitali ngapi za ngazi ya tarafa kama kuna mtu kweli anakerwa akina mama kulala chini au wawili wawili.

Kuna watu wengi sana wanafuja hela za serikari wakati serikari inalazimisha wananchi kulipa kodi, this is not even a chicken and egg conundrum dhibiti matumizi yako ujue ulipo kabla ya kubuni kodi kwa watu ambao hawana tena cha kutoa bila ya kupunguza their quality of life ingawa unalazimisha.
 
[video]https://m.youtube.com/watch?v=9SOTVAOSyIE[/video]​
 
mamb yanajieleza
 
Attachments

  • 1440093722169.jpg
    1440093722169.jpg
    56.3 KB · Views: 1,879
ccm mmechanganyikiwa kweli, mpaka kupost vipande vya magazeti kwenye mtandao, sisi tutajua ni gazeti gano hilo, uhuru, mzalendo au kiu, mwananchi..lakini mbona hamtaki kueleza magufuli na vision na mossion gano na ncho au alikirupushwa tu, hakujiandaa
 
Back
Top Bottom