CAG: Magufuli na Mwakyembe wawajibishwe

CAG: Magufuli na Mwakyembe wawajibishwe

ninyi watanzania ttzo upeo wa mtoto wa form one china nisawa na upeo wa profesa tanzania, uvivu wakusoma na kutafakari, upeo mdogo wa kudadis vinatumaliza
 
Ukitaka kuwaweza watazanzania ni kuwa na comfidance tuu!! sasa magufuli kinachombeba ni uwezowake wa kuzikariri vizuri data husika na kuzi prisent vyema lakini hiyo haimuondoi katika hatia kama atakua amehusika...CAG ata fanya verification itabainika tuu,sababu ni isue technical
 
nchi hii ya ajabu sana CAG kamtia mtu hatiani nyie mnatetea,mnajua kama ofisi ya CAG duniani kote ndio mwokozi wa upotevu wa fedha za umma?afu kumbukeni hapa tunaongelea kodi na mikopo sio pesa zake lazima tuhoji.
mwaka juzi waziri aliyefanya mapinduzi ya reli nchini China alishtakiwa na kuhukumiwa kunyongwa kwa ufisadi na katika china ndo waziri bora wa uchukuzi kuwahi tokea.acheni upuuzi hawa sio malaika
 
C.A.G yuko chama gan, hv mnahic haya maendeleo nisawa na lasilimali za hii nchi, kumbuka ni nchi ya 31:kwa ukubwadunian na nchi ya tatu kwa utajil wa atdhin dunian hebu mtafakari bojo milion kumi pesa ya mboga
 
Zitto naye ni mtu wa kujificha kwa wenzie, Ngelejakamtingisha kidogo tu juzi ameibukia kwa Maghufuli? Maghufuli tunaye na tutasonga naye mbele.

Mliyasema haya haya kwa S. Muhongo kwamba nchi itatikisika akiondolewa lakini hata majirani zake hawakujua kaondoka lini!!!!!!!! CCM mafisadi tu
 
Gazeti la mwananchi la leo (10/03 2015 limekuja na habari kuhusu ripoti ya CAG iliyoibua ufisadi mkubwa kwenye wizara ya ujenzi wakati waziri akiwa Magufuli na Mwakyembe akiwa Naibu wake.

Kwa mujibu gazeti hilo, ripoti ya CAG iliyotokana ukaguzi maalum uliofanywa baada ya kuombwa na kamati husika ya Bunge. Taarifa hiyo ya CAG imeibua ufisadi wa kutisha. Habari ya ufisadi huu ni ndefu lakini kwa ufipi iko hivi:

Magufuli na Naibu wake mwakyembe (wakisaidiwa na Lukuvi wakati wa kujibu hoja za wabunge Bungeni) waliripoti Bungeni kuwa Bil 252 zilizohojiwa na Wabunge zilitumika kwenye miradi ya bara bara. Hata hivyo, taarifa ya CAG baada ya kufanya ukaguzi maalum inathibitisha kuwa Mawaziri hawa walidanganya Bunge. Fedha hizo nyingi zilifisadiwa kama ifuatavyo.

A) Kuna Sh Bil 3 hazikuweza kujulikana matumizi yake kabisa wala maelezo yo yote.

B) Kati ya Bili 175 zilizopita kwenye akaunti ya TANROAD Sh Bil 3.04 hazikuweza kutolewa maelezo ya kutosha kuhusu matumizi yake.

C) kati ya Bill 77 zilizopita Benki kuu kwa ajili ya kuwalipa wakandarasi au washauri, gavana wa BOT amekana Sh Bil 30.6 kuwa hazikupita BOT, kwa hiyo, CAG anaripoti kuwa zimefisadiwa.

D) Gavana wa BOT ameshindwa kuthibitisha matumizi ya Bil 47 sawa 61% ya pesa zilizopita BOT kama yaliwafikia walengwa waliotajwa kwa sababu Gavana alimkatalia CAG kuwa yeye hawezi kutoa siri za wateja wake. Kwa hiyo, CAG alishidwa kujua kama pesa hizo ziliwekwa kwenye akaunti ya makandarasi wahusika au la.

D) Ukaguzi ulibaini kuwa Sh Bil 13 zilutmika kujenga Bara bara binafsi au za Halmashauri ambazo kiutaratibu zimeshatengewa fungu tofauti na zinasimamiwa na Halmashauri husika.

E) Ukaguzi huo ulibaini ufisadi wa Sh 36.6 Bilioni ambazo hazikutolewa taarifa kwenye ripoti za Makandarasi au Washauri hivyo kuna uwezekano mkubwa wa Serikali kuwalipa makandarasi mara mbili na kuwaumiza wananchi.

F) Kuna Sh Bil 2 zililipwa kwa makandarasi ambao hawakuoneshwa katika orodha ya madeni yaliyowasilishwa Bungeni.

G) Kuna malipo ya Sh 6.6 bilioni yaliyokwishalipwa yaliombewa kulipwa tena.

Kwa ufupi huu ndo ufisadi ulioibuliwa na CAG kwenye wizara ya Magufuli akisadiwa na Mwakyembe wizarani yaani majembe ya CCM aka Magamba.

Usisahau kuwa Magufuli, naye kati majembe ya CCM na anapigiwa debe kwenda magogoni kwa sababu ni mchapa kazi na msafi kwa miwani za wanaccm.

NB: Kumbe inawezekana huko CCM Lowasa anayetuhumiwa kwa ufisadi kila siku anaweza kuwa nafuu mara mia kuliko haya majembe mengine yanayodhaniwa kuwa ni watakatifu na wachapa kazi.

Tuwe wakweli ccm wamechafuka wote, hawana mgombe urasi msafi, hivyo kubalianeni na ukweli huu kuwa ccm wote ni mafisadi na mashushushu wa CCM msinitafute ili kunitoa bali jiandaeni kuondoka magogoni kwa amani.
2015 ni mwaka wa CHADEMA aka UKAWA.

Nawasilisha
Mikael Aweda.
 
Uzi huu umekaa kifitina fitina
 
Kila kunapokucha Taifa letu linaendelea kuingia katika giza tororo hasa kutokana na baadhi wa wale walioaminiwa na Raisi kuhakikisha kuwa wanaendelea kuziacha Wizara zikiwa hoi kutokana na Ufisaidi wa kutisha.

Kabla hata swala la Escrow halija futika katika mioyo na fikra za Watanzania jambo ambalo limepelekea baadhi ya Mawaziri kuwajibishwa sasa limeibuka lingine kubwa na la aibu.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali amependekeza hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya Dkt. John Pombe Magufuli (Waziri wa Ujenzi) na Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Naibu Waziri) kutokana na Ufisaidi unaofikia kiasi cha Shilingi Bilioni 256.

Hoja hii ilishawahi kuibuliwa Bungeni ila kama kawaida yake Magufuli aliizima kiujanja ujanja jambo ambalo sasa limeibuka upya na CAG kujiridhisha kuwa majibu waliyoyatoa Waziri hayakiwa na usahihi wowote hivyo alilidanganya Bunge na fedha hizo hazijulikani zilikopelekwa kwa kuwa hakukuwa na barabara mpya zilizojengwa na kama haitoshi madeni ambayo Magufuli alisema yamelipwa hayaendani ama kulingana na kiasi hicho cha zaidi ya Bilioni 256.

Akizungumza na Gazeti la Mwananchi Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya PAC Mhe. Zitto Zuberi Kabwe amesema huwa ana mashaka sana na majibu ya Magufuli manake kujiamini kwake hupelekea watu wengi kumwani hivyo hata anapofanya mambo ya hovyo watu hucheka na kumpigia magofi.... Hivyo yale majibu aliyoyatoa Bungeni kipindi kile hakuyaamini na kuamua kuendelea kulifuatilia jambo ambalo sasa limeibua ukweli kwamba Magufuli alilidanganya Bunge na hili halivumiliki hata kidogo lazma hawa mabwana sasa wakatujibu Bungeni na wajiandae kuwafuata wenzao kwa kuwajibika.

Itakumbukwa kuwa Magufuli amekuwa akitunukiwa jina la "The Chosen" kwamba ndiye anayetakiwa kumrithi JK baadhi ya watu wakisema kwamba huyu bwana ni msafi kumbe ndo yale yale waliwahi kuyasema wahenga Usilolijua ni kama usiku wa kiza........

Kama ilivyokuwa kwa Escrow sasa hili nalo Watanzania wanalisubiri kwa hamu kubwa.

Chanzo: Mwananchi

Zitto atahangaika sana lakini kwa Magufuli amekosa, majibu ya CAG kipindi hicho haya hapa.

[video]https://m.youtube.com/watch?v=9SOTVAOSyIE[/video]
 
Na wewe acha kujifanya umepona kichaa!! Hivyo ndivyo inavyosomeka sehemu ya ripoti ya CAG!! Sasa huo unafiki umeukalia wapi??mbele?nyuma?
Wewe huoni SIASA za kupunguzana kasi kuelekea mjengoni?fumbua macho
 
Back
Top Bottom