CAG: Hakuna ufisadi NSSF

CAG: Hakuna ufisadi NSSF

Hahahaha, we kweli juha.

Huo ndiyo ufisadi wa Dau?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
1461734148494.jpg
 
si ajabu CAG kusema NSSF safi. hicho kipindi kinachosemwa kina ufisadi huyu mkaguzi wa hesabu za serikali alikuwa katika bodi ya NSSF
 
Nina wasiwasi sana na taarifa ya CAG, Prof Assad, kwamba hakuna ufisadi NSSF wa Dau.

Ukweli watu wengi wasioujua ni kwamba Prof Assad na Dau ni marafiki wa karibu sana, tangu wote wawili wakiwa wakufunzi pale UD wakati huo ikiitwa Faculty of Commerce. There is no way CAG Prof. Assad angeweza kumwangusha Dau. Piga ua Assad atam-support Dau.

Labda kwenye hili wamtafute independed auditor, lakini sio Assad kwa Dau. Hapo ni sawa na kusema kesi ya nyani aamue ngedere.
 
Nina wasiwasi sana na taarifa ya CAG, Prof Assad, kwamba hakuna ufisadi NSSF wa Dau.

Ukweli watu wengi wasioujua ni kwamba Prof Assad na Dau ni marafiki wa karibu sana, tangu wote wawili wakiwa wakufunzi pale UD wakati huo ikiitwa Faculty of Commerce. There is no way CAG Prof. Assad angeweza kumwangusha Dau. Piga ua Assad atam-support Dau.

Labda kwenye hili wamtafute independed auditor, lakini sio Assad kwa Dau. Hapo ni sawa na kusema kesi ya nyani aamue ngedere.

Na Utuoh kabla ya Dau?

Usikute ni shemeji yake!

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Sasa bwana mdogo, tuamini sasa usemacho ni kweli, kwamba gazeti ni la ZZK na MCHANGE ndie msimamizi.
RIPOTI YA CAG NAYO NI YA ZITO NA MCHANGE ANAISIMAMIA!!!!????

Wasamehe hawa BAVICHA mkuu ni akili za viloba tu hizo. Wanazungusha mikono badala ya akili
 
Sababu ya kumsafisha inajulikana huyo CAG alikuwa kwenye bodi ya NSSF wakati huu ufisadi ukifanyika. Wote ni majipu hao.
 
Ukiipata taarifa ya ukaguzi uliofanywa na Ernist & Young utapata kile ambacho mkaguzi amegundua ile iliyotelewa pale bungeni ni summary ameeleza madudu yote yaliyofanyika na hasa ktk mradi wa Arumeru, Mwanza, Mzizima na Mradi wa nyumba Kigamboni. Amefafanua na kueleza kabisa watu wachukuliwe hatua, ukisoma juujuu hiyo summary huwezi jua kwamba kuna ubadhirifu, ameeleza mpaka madhaifu ya kiuongozi na jinsi ya kuondoa udhaifu, ametaja mpkaka tatizo lilopo la idara ya mipango na uwekezaji na idara ya manunuzi kwamba zinaongozwa na mume na mke , amezitaja kampuni ambazo Ana wasiwasi nazo ambazo ni Azimio Housing Estate ltd, ZUK Solution na Hifadhi Builders jinsi zilivoingia mikataba tata na kulipwa mabilioni ya pesa hivo si kweli kwamba amembeba ila ni kwamba ukipata hiyo summary inabidi upate na taarifa yenyewe inayohusu hilo shirika, si vitu vyote vinatakiwa viingie kwenye summary
 
Apa ndipo Magufuli anapopoteza credibility yake kwa ukurupukaji uliotukuka...Watu km wakina Dr Dau hao ndo engines za mabadiriko ya TZ sasa unapokurupuka kwa mihemuko ya kipuuzi bila kutumia report sawa ni kuwarudisha nyuma wa TZ...Apa JPM kaaibika sana Laiti mie ndo ningekua Dr Dau Siku nateuliwa ubalozi bubu namshukuru Rais ila namwambia sitaweza kutumikia hicho cheo wapewe waTZ wengine
 
Hahahaa!!!

Jamani watu walishupalia suala la Dr. Dau utadhani kitu gani sijui.

Kiko wapi sasa walichodai juu ya 'ufisadi wa Dr. Dau?'

Mambo ya ubishi wa sokoni usiokuwa na support ya reliable source ndio haya!!!

Poor us!!!

Pole sana Dr. Dau. Mwenyezi Mungu kakulinda dhidi ya matope ya wabaya wako.

Endelea na maisha yako Dr. Wasamehe bure, hawakujua wanachokisema.
 
Someni ripoti ya mashirika ya umma NSSF ni uchafu mtupu kama ulivyokuwa reported na Media miradi ya ARUMERU....KIGAMBONI nk imesemwa .....
 
Ripoti ya CAG iliyotengenezwa na Ernest and young iliyovuja kabla board haijaipitia maana wangeinyofoa baadhi ya mambo bahati nzuri JPM akalijua hilo na kuitumbua
wewe malughuuni mbona chuki zako haziishi? sasa umetoka kwa Dr. Dau na kuhamia kwa Prof. asad? Nenda kajinyonge ili uridhike.
 
Back
Top Bottom