AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Watakuja kusema bosi wa NAO ni mwislamu mwenzeke hawaishiwi maneno
Akisaidiana na mzee wa gesi haitoki THE BIG SHOW bila kumsahau bi kiroboto
Hujui Tanzania ni ajabu lingineTeh teh teh...
Eti Ooooh Dr Dau ni mmiliki wa Newcastle United...!
Oooh Dau Dau ana utajir zaid wa Billgates...
Ukiwauliza chanzo chenu cha data ni kipi wanasema CAG Reports...
Afanaleeekiiii....!!
Wazandiki wakubwaaa
Nani mmliki wa hilo gazeti, maana liko kikazi zaidi tangu liingie sokoni.
Kweli hakuna ufisadi ila matumizi mabaya ya fedha na madaraka yalikuwa ya kupita kiasi