CAG: Hakuna ufisadi NSSF

CAG: Hakuna ufisadi NSSF

Kama hakuna ufisadi safi sana.

Mi nalia na nssf. Magorofa yao hayazalishi, hela haizunguki,

Teh teh teh...

Eti Ooooh Dr Dau ni mmiliki wa Newcastle United...!

Oooh Dau Dau ana utajir zaid wa Billgates...

Ukiwauliza chanzo chenu cha data ni kipi wanasema CAG Reports...

Afanaleeekiiii....!!

Wazandiki wakubwaaa
 
Nani mmliki wa hilo gazeti, maana liko kikazi zaidi tangu liingie sokoni.
Tunahitaji Mamlaka ya kudhibiti bei za haya magazeti na vilevile hawa wauza magazeti nao watoe risiti...unakuta ka gazeti kana page 6 contents zake za kimbeambea alafu bei yake inalingana na ya magazeti kama Daily News, The Guardian, mwananchi n.k ....Daahh Inatia Hasira sana jamani😡😡
 
Waswahili wanasema ni vizuri tukawa tunaweka akiba ya maneno,ngoja niwaite wanajamvi wafuatao labda wanaweza kutusaidia kiduchu Mzee wa gesi haitoki THE BIG SHOW Dr Ritz Bi Kiroboto FaizaFoxy Ustaadhi wa mtaa wa Kipata Mohamed Said labda wanaweza kutusaidia kutudadavulia maana ya kusimamishwa kazi wakurugenzi na manaja wa NSSF.

Top NSSF executives suspended over graft allegations
Ngongo,
Mbona unatuita kwa matusi?
Mbona ndugu yetu unatuita katika mjadala kwa kejeli?

Mbona mimi nakuwekea heshima na staha yako?
Hata siku moja sijapatapo kukuvunjia heshima yako.

Hii chuki dhidi yangu ya nini ndugu yangu ilhali hii ni
baraza ya mazungumzo?

Hata kama tujaalie tunapenda kufanya mnakasha na
wewe mtu gani mwenye akili timamu anaweza kuifata
shari?
 
Mbona hakuna tusi hapo ?
 
Ustaadhi Mohamed Said heshima yako mkuu.Sijaona sehemu nilipokutukana mheshimiwa labda kama neno ustaadhi ni tusi basi unisamehee sana Sheikh wangu.
 
Bi Kiroboto nadhani ni kejeri na ustadhi wa kipata ni lugha ya kuudhi, ungemuita tu kistaarabu bila kuchanganya mara kiroboto mara kipata
 
Kipata siku hizi ni lugha ya kuudhi duh ipo kazi.
 
Ngongo,
Mbona unatuita kwa matusi?
Mbona ndugu yetu unatuita katika mjadala kwa kejeli?

Mbona mimi nakuwekea heshima na staha yako?
Hata siku moja sijapatapo kukuvunjia heshima yako.

Hii chuki dhidi yangu ya nini ndugu yangu ilhali hii ni
baraza ya mazungumzo?

Hata kama tujaalie tunapenda kufanya mnakasha na
wewe mtu gani mwenye akili timamu anaweza kuifata
shari?
Msamehe bure,ila funzo nadhani umepata kuwa tuwe na akiba ya maneno!
 
Ustaadhi Mohamed Said heshima yako mkuu.Sijaona sehemu nilipokutukana mheshimiwa labda kama neno ustaadhi ni tusi basi unisamehee sana Sheikh wangu.
Ngongo,
Ustadh si tusi ni cheo cha kisomi lakini bahati mbaya sifa hiyo sijafikia.
Ikiwa huoni matusi katika kauli yako hakuna neno.

Nitachekesha ikiwa nitalazimisha kuwa nimetukanwa wakati katika
msamiati wa mtukanaji hayo si matusi.
 
CAG ni jipu nae achunguzwe..hii mijitu ina pesa nyingi kuna udhaifu mwingi kwa wanadamu
 
Back
Top Bottom