CAG: Hakuna ufisadi NSSF

CAG: Hakuna ufisadi NSSF

Ni udini, yani waislam kupewa hio nssf wanaona sijui kama nin... Wakati office nyingine wao wapo zaid ya 90% wanasahau kuwa na madrasa sikuizi wanatoa degrees
hawa jamaa wanashangaza sana. hawajifunzi tu.
 
Dau mwivi
mkuu unalipwa shilingi ngapi kumchafua Dr. Dau? naamini kabisa kama sio udini unakusumbua kasi utakuwa unaingiza siku. maana haiwezekani uwe bize kiasi hiki mitandaoni kumuandama mtu mmoja tu tena ambaye huna hata ushahidi huku usichangie chochote kuhusu akina Harry kitila ambao wako mahakamani kwa kujiongezea zaidi dola elfu 6! tena hela ya mkopo kutoka nchi ya kigeni.
 
Abunuas,unajua kuna ripoti ngapi?
Wewe umeisoma ipi?
Mimi ninazo zote,na sasa nasoma ripoti ya mashirika ya umma.Nitaleta yaliyomo kwa ufupi tu nikimaliza kuisoma na kuielewa,na hapo ndio nitaweza kuchangia lolote.
kumbe hata hujamaliza kuisoma wala kuielewa. Binafsi sijasoma ripoti yote hiyo ya pg 420 bali nilisoma sehemu zilizokuwa hot tu kama hii ya NSSF kwa sababu vyombo vya habari (na pengine maadui wa Dr. Dau) vilikuwa vikiripoti kila siku na huku wakituaminisha kuwa hiyo ni kwa mujibu wa CAG report.
umesema wewe una nyingi sijui ni kutoka kwa CAG yupi na yupi, basi tuwekee humu na sisi tujisomee kuliko kukusubiria wewe uje utueleze na pengine una bias yako tayari kichwani.
 
Hebu utuwekee hyo pg 420 mi sjaiona mkuu
itabidi nii-upload tena maana natumia device ambayo sikuserve hiyo report, labda mpaka niitumie tena. kuna mtu mmoja alishaiweka humu kwenye thread zinazohusu CAG report. aliweka link ila ukifungua tu inafunguka direct. ifungue hiyo itakusaidia sana. binafsi nilipoiona tu nilienda moja kwa moja kutafuta habari za NSSF nikakuta wameongelea mambo mengine tu pamoja na miradi ila sijaona huo ufisadi mnaouhubiri humu mitandaoni na magazetini kila siku.
kwa kifupi; kama kweli huyo jamaa angehusika kwenye ufisadi ni mwendawazimu tu ambaye angemtete. tungeungana sote kumshambulia humu. lakini wenzeni kinachowasumbua udini tu. mkiliacha hilo tutakuwa pamoja sana. na shinyangayetu michango yako inajulikana sana humu kuendekeza udini. badilika, dunia inaenda kwa kasi sana utaachwa. shauri lako.
 
Kasomeni ripoti ya CAG ya mashirika ya umma .....uk.31-33 ipo kwenye website ya Mkaguzi mkuu wa serikali www.nao.go.tz pakua ripoti hapo ......
 
itabidi nii-upload tena maana natumia device ambayo sikuserve hiyo report, labda mpaka niitumie tena. kuna mtu mmoja alishaiweka humu kwenye thread zinazohusu CAG report. aliweka link ila ukifungua tu inafunguka direct. ifungue hiyo itakusaidia sana. binafsi nilipoiona tu nilienda moja kwa moja kutafuta habari za NSSF nikakuta wameongelea mambo mengine tu pamoja na miradi ila sijaona huo ufisadi mnaouhubiri humu mitandaoni na magazetini kila siku.
kwa kifupi; kama kweli huyo jamaa angehusika kwenye ufisadi ni mwendawazimu tu ambaye angemtete. tungeungana sote kumshambulia humu. lakini wenzeni kinachowasumbua udini tu. mkiliacha hilo tutakuwa pamoja sana. na shinyangayetu michango yako inajulikana sana humu kuendekeza udini. badilika, dunia inaenda kwa kasi sana utaachwa. shauri lako.

Abinuwas sitetei udini ila napinga mwivi dau kutetewa hasa na wewe,faizafox,Ritz na the bigshow bila kumsahau abbasegyptian na mohamed zaidi,hakuna hata sehemu nimetete kitilya wala siyoi wala mramba na yona na wengineo, kinachonishangaza ni utoaji mapovu dau kuondolewa Nssf na kusemwa ni mwizi,hakuna jibu litakalofuta u jizi wa dau asilani,na hakosi kunywa ndoo,mkiacha kutetea hilo jizi na sisi tutafunga midomo yetu na Sheria uchukue mkondo wake dhidi ya jizi sawa na jizi mramba,yona nk
 
hasidi achoki kuhusudu si ajabu mahasidi wakamzushia jingine. hongera zake Dau
 
Mbona ki husda cha kikwere kilimshitaki prof mahalu kikaangukia pua,husda zimeanza enzi za mahusda kushika himaya ya nne,kutoka kucheza mdundiko kuwa mkuu wa kaya husda zikatamalaki
 
DAU ANANG'ARAAA KAMA DIAMOND YA MWADUI KWA MUJIBU WA REPOTI YA UKWELI YA CAG, MAKATONTA WAMEBANWA NA UCHUNGU WA KUJIFUNGUA MIMBA ZAO ZA CHUKI ZA KIDINI
 
Abinuwas sitetei udini ila napinga mwivi dau kutetewa hasa na wewe,faizafox,Ritz na the bigshow bila kumsahau abbasegyptian na mohamed zaidi,hakuna hata sehemu nimetete kitilya wala siyoi wala mramba na yona na wengineo, kinachonishangaza ni utoaji mapovu dau kuondolewa Nssf na kusemwa ni mwizi,hakuna jibu litakalofuta u jizi wa dau asilani,na hakosi kunywa ndoo,mkiacha kutetea hilo jizi na sisi tutafunga midomo yetu na Sheria uchukue mkondo wake dhidi ya jizi sawa na jizi mramba,yona nk
utakuwa na matatizo kuliko nilivyokuwa nafikiria.
hivi sisi tulianza kuandika kuhusu Dr. Dau from no where?
sio nyie mliokuja na single kuwa ufisadi mkubwa umegundulika NSSF kupitia riport ya CAG?
Riport imetoka na sote tumeiona mmeanza kujing'atang'ata kama demu anayetongozwa. Tunajua fika kinachowasumbua ni udini tu. kushambuliwa kwa Dr.Dau na wengine kama akina Prof. asad hakujaanza leo humu mitandaoni. na wala hii sio mara ya kwanza kuona mkiwashambulia waislam humu. hilo halina kificho sio ajabu ndo mnavyofundishwa. Sidhani kama umewahi kumuona muislam humu akimsingizia mkirsto kwa lolote lile na hata tukichangia chochote kama ni kizuri tunasifia na kibaya tunakosa. lakini huu utamaduni ni tofauti sana kwa nyie wenzetu.
Nachelea kukutukana. Ngoja tu nisepe kuepusha shari.
 
Mbona ki husda cha kikwere kilimshitaki prof mahalu kikaangukia pua,husda zimeanza enzi za mahusda kushika himaya ya nne,kutoka kucheza mdundiko kuwa mkuu wa kaya husda zikatamalaki
huyo Kikwete unayemzungumzia hata hiyo dini wala huko msikitini sidhani kama anaijua wala kufika huko. siamini eti Kikwete alimshitaki tu mahalu from no where. ufisadi kwa vyovyote vile ulifanyika italy wa kununua lile jengo la ubalozi kwa juu zaidi. kwani wangapi wanashida mahakamani na wanamakosa. akina zombe hawajashinda kesi pamoja na kuwa askari walihusika na mauaji ya wale wauza madini! hivi nyie watu akili mmezipeleka wapi?
Au hao akina Abdala Zombe nao walikuwa wanasali kanisa gani? akili za ajabu sana hizi.
 
Wengine kuitwa wezi sawa ispokuwa dau haezi kuwa mwizi pamoja na madudu yote alofanya,hizi akili zenu mnatumia za ubongo upi wa nyuma au wa mbele
 
we ms--enge mbona hamuutaji huo wizi wake? mlituaminisha kuwa ripoti ya CAG imeibua ufisadi wake. juzi report imetoka mmenipotezea muda wangu kutafuta huo ufisadi kwenye report yenye pg 420 sijauona. halafu unakuja na upumbavu wako hapa tuujalidi tena. kama wewe sio mpumbavu na lofa basi ni fala.
 
Ahsante sana wala sikushangai kwa kuwa we posho ya dau,si ndivyo mlivyofunzwa na waarabu
 
we ms--enge mbona hamuutaji huo wizi wake? mlituaminisha kuwa ripoti ya CAG imeibua ufisadi wake. juzi report imetoka mmenipotezea muda wangu kutafuta huo ufisadi kwenye report yenye pg 420 sijauona. halafu unakuja na upumbavu wako hapa tuujalidi tena. kama wewe sio mpumbavu na lofa basi ni fala.

Wizi wa dau ni pamoja na bilioni 43 alizowalipa Azimio,ukitaka zaidi subiria atakapokuwa kisutu
 
CAG naye ajiangalie,kisijepelekwa kikosi kazi toka ikulu yakamkuta ya misezi malechela. Alisisitiziaga juu ya nyumba za serikali zilizouzwagwa vipi hajaliweka kwenye ripoti?
 
Na Utuoh kabla ya Dau?

Usikute ni shemeji yake!

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Tatizo lako wewe Faiza ni kwamba dunia unayoishi kila kitu kiko katika rangi mbili; ya kiislamu na isiyo ya kiislamu.

Sasa mtu mwenye upeo mdogo wa kuona mambo kama wewe unayeona mambo katika hizo rangi mbili mie hata akilini sipaswi kukutia katika sula la mazungumzo - nawaita watu wa aina yako the "to be ignored" people, fanatics. Sitashangaa mtu akiniambia IS walishakutembelea uwasaidie. Unapaswa kuchunguzwa na vyombo vyetu vya usalama na hata vya nje ya nchi. Una kila daalili za kuwa mtu hatari sana wewe.
 
, katika andiko langu ulilonukuu nini kimekupelekea kuandika udini kama wewe si mdini, hili hapa narudia halafu nioneshe huo utumbo uliofanyika uko wapi?

Na Utuoh kabla ya Dau?

Usikute ni shemeji yake!

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Back
Top Bottom