CAG: Hakuna ufisadi NSSF

CAG: Hakuna ufisadi NSSF

Gazeti kama mwanaharibu ukiwa na hamsini elfu habari yako inatoka unavyotaka wewe gazeti la waganga njaa.
Cc,murusuli
 
Hiligazeti ni la Zitto....mchange ndio analisimamia..wote walipiga Hela NSSF
 
Kwani episode ya NSSF imeisha???

Movie na maigizo yamekwisha wambea na wasiowambea waliochangia hii mada wameonekana poor thinkers.

Inabidi wana Jf tunao anzisha thread tubadilike tusikurupuke kuanzisha mada bila kuwapo na taarifa ya uhakika na ushauri wangu kuanzishwe kitengo cha tetesi humu Jf kabla ya kuipost kama habari kamili.
 
Kwa hiyo kila liandikacho gazeti ndiyo ukweli, nothing but ukweli? Litakuja gazeti lingine litasema kuna ufisadi NSSF. Tuchukue "ukweli" upi?

Sasa tunaelekea kushikiwa akili na magezeti, tena magazeti ya aina yake. Labda tusikie Mwananchi na Nipashe wanasemaje kuhusu hili.
 
Hoja za nssf ni hizo tunaweza pima wenyewe na kuacha ushabiki wa aina yoyote
 
Wagalatia wenye husda na Dr.Dau wanapita kwa mbali kwenye huu uzi wanajifanya kama hauoni.

Teh teh teh
Likija gazeti lingine likasema kuna ufisadi NSSF litakuwa la wagalatia?
 
1461661506287.jpg
1461661506287.jpg
1461661522864.jpg
1461661535854.jpg
1461661547335.jpg
1461661559305.jpg
1461661571174.jpg
1461661581727.jpg
1461661506287.jpg
1461661522864.jpg
1461661535854.jpg
1461661547335.jpg
1461661581727.jpg
1461661571174.jpg
1461661559305.jpg
1461661535854.jpg
Bosi wa NAO kabla ya huyo Mwislam mara zote katoa hati safi na na Bodi ya Uhasibu (NBAA) imeshawahi kuwapa cheti bora cha Hesabu safi.
Labda watasema Utouh nae alimpendelea kwa kuwa ni Mtanzania mwenzake. Wasisahau na PPRA waliwapa cheti cha ubora wa manunuzi (VFM). Kama kuumbuka ni ugonjwa basi jamaa muda huu wangekuwa ICU.

Hoja za nssf ni hizo tunaweza pima wenyewe na kuacha ushabiki wa aina yoyote
 
Bosi wa NAO kabla ya huyo Mwislam mara zote katoa hati safi na na Bodi ya Uhasibu (NBAA) imeshawahi kuwapa cheti bora cha Hesabu safi.
Labda watasema Utouh nae alimpendelea kwa kuwa ni Mtanzania mwenzake. Wasisahau na PPRA waliwapa cheti cha ubora wa manunuzi (VFM). Kama kuumbuka ni ugonjwa basi jamaa muda huu wangekuwa ICU.
Hakika mkuu.
 
Back
Top Bottom