CAG: Hakuna ufisadi NSSF

CAG: Hakuna ufisadi NSSF

Ewe punguani, katika andiko langu ulilonukuu nini kimekupelekea kuandika udini kama wewe si mdini, hili hapa narudia halafu nioneshe huo utumbo uliofanyika uko wapi?

Na Utuoh kabla ya Dau?

Usikute ni shemeji yake!

Kwi kwi kwi teh teh teh.
Faiza Foxy Ulienda shule kusomea ujinga.. sasa unachangia ujinga wako na unaenea kwa watu wengine 😡
 
utakuwa na matatizo kuliko nilivyokuwa nafikiria.
hivi sisi tulianza kuandika kuhusu Dr. Dau from no where?
sio nyie mliokuja na single kuwa ufisadi mkubwa umegundulika NSSF kupitia riport ya CAG?
Riport imetoka na sote tumeiona mmeanza kujing'atang'ata kama demu anayetongozwa. Tunajua fika kinachowasumbua ni udini tu. kushambuliwa kwa Dr.Dau na wengine kama akina Prof. asad hakujaanza leo humu mitandaoni. na wala hii sio mara ya kwanza kuona mkiwashambulia waislam humu. hilo halina kificho sio ajabu ndo mnavyofundishwa. Sidhani kama umewahi kumuona muislam humu akimsingizia mkirsto kwa lolote lile na hata tukichangia chochote kama ni kizuri tunasifia na kibaya tunakosa. lakini huu utamaduni ni tofauti sana kwa nyie wenzetu.
Nachelea kukutukana. Ngoja tu nisepe kuepusha shari.

We kuna sehemu ktk riport wamesema hakuna ufisadi,Azimio projects wamesema nini,ununuzi uniforms wamesemaje,ujenzi hotel mwaza contract alisemaje,jpm kasema nini siku ya mei mosi?
Balozi wa gereza LA maweni huyooo
 
Wizi wa dau ni pamoja na bilioni 43 alizowalipa Azimio,ukitaka zaidi subiria atakapokuwa kisutu
ama kweli leo nimeamini watanzania ni watu wa ovyo sana. badala ya kufanya kazi wao wako bize kuwaombea wenzao mabaya.
 
ama kweli leo nimeamini watanzania ni watu wa ovyo sana. badala ya kufanya kazi wao wako bize kuwaombea wenzao mabaya.

Hatumuombei yeye mabaya kwani ye dau malaika!mbona lowasa ametukanwa matusi mengi kwa dili za mkwere hamkumtetea,mbona mramba na yona waliswekwa lupango hamkumtetea tena viongozi waandamiZi tangu Uhuru sembuze kibaka dau,kriiiiup
 
ama kweli leo nimeamini watanzania ni watu wa ovyo sana. badala ya kufanya kazi wao wako bize kuwaombea wenzao mabaya.
1462420414016.jpg
 
Nilikuwa na wasiwasi na wewe kumbe niko sawa.

HATA MAANA YA MTUHUMIWA HUJUI!!!???????

POLEEEEE

Dalili ya mvua ni mawingu,kama alituhumiwa kufuja Nssf unashangaa nini kudhulumu mjane!!!huyu alijiona matawi akilindwa na mkingia kifua wa kina lugumi nyang'ao wakubwa
 
Dalili ya mvua ni mawingu,kama alituhumiwa kufuja Nssf unashangaa nini kudhulumu mjane!!!huyu alijiona matawi akilindwa na mkingia kifua wa kina lugumi nyang'ao wakubwa

Hakuna asojua dau ni jizi na firauni,hebu atoke hadharani akanushe na kushtakiwa magazeti kumchafua
21.jpg
 
Hatumuombei yeye mabaya kwani ye dau malaika!mbona lowasa ametukanwa matusi mengi kwa dili za mkwere hamkumtetea,mbona mramba na yona waliswekwa lupango hamkumtetea tena viongozi waandamiZi tangu Uhuru sembuze kibaka dau,kriiiiup
shinyanga yetu sasa nimeaamini unalipwa kuja kumtukana huyo jamaa. niambie na mimi hilo dili kama linalipa namimi nitaungana na wewe kila kukicha kutukana humu! unalipwa shilingi ngapi?
 
Hatumuombei yeye mabaya kwani ye dau malaika!mbona lowasa ametukanwa matusi mengi kwa dili za mkwere hamkumtetea,mbona mramba na yona waliswekwa lupango hamkumtetea tena viongozi waandamiZi tangu Uhuru sembuze kibaka dau,kriiiiup
kumbe siku hizi malaika huombewa mabaya? makubwa haya! nilikuwa sijui. shinyangakwetu udini utakuua. amka usingizini achana na hayo mambo. yako juu ya kimo chako. nchi yetu sote hii.
 
Anadhulumu hadi wajane halafu mnaosema muislamu safi!!!!! Mtume ndo aliagiza hivyo?
shinyanga yetu umeziamini hizi porojo kweli? umesahau hazina tofauti na zile za kuwa ripoti ya CAG imeibua madudu NSSF halafu ripoti ilipotoka mkaingia mitini kwa aibu? hivi mtajifunza lini? na hao waliotumwa kuja kumchafua huyo jamaa unafikiri watafanikiwa? ni suala la muda tu wataadhirika.
 
CAG kasema shida wameona kwenye uuzaji wa nyumba za bei nafuu maana haziend kwa walengwa bei ziko juu na hati za viwanja vilivylipwa ujenz wa daraja la kigamboni hazipo anasema sababu ni kuwa bodi ya nssf ilivunjwa kabla ukaguz hujaisha kwaio sasa wakakosa hiyo report ila akasema report kwa ujumla ipo sawa richa ya hayo mapungufu machache source:azam tv
 
Hakuna namn

A
Hakuna namna dau awe msafi,ile project ya eco village itamvua chupi
 
Tunaomba update za Dr Dau waungwana maana nilisikia anapelekwa Mahakamani kwa ufisadi wa NSSF.
 
kukithibitika kuna ufisadi CAG nae atumbuliwe tu hakuna namna kama alihongwa nae akae pembeni tu.
 
Back
Top Bottom