stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,385
- 3,494
- Thread starter
- #201
Watu wakishaasoma theory wanajua na practice itamuwa hivyo hivyk hakafu eti wanawatukana waengine kuwa hawana akili
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa mkuu
Watu wakishaasoma theory wanajua na practice itamuwa hivyo hivyk hakafu eti wanawatukana waengine kuwa hawana akili
Sent using Jamii Forums mobile app
ubongo wako una kamasi.Hujui chochote kuhusiana na masuala ya kiuchumi.Cash ina kazi yake na loan ina kazi yake.You can't buy such long term assets by cash ! Niishie hapo kwanza
Na chief Hangaya naye ndo hivyo tena tumepigwa
Hakuna wa kuwadhibiti marais wa Africa kwa ujumla
Katiba inawafanya wafanye wanachotaka
Hoja ni kupanga kwa kuangalia vipaumbele vya msingi.vizuri saana, sasa kama biashara ya ndege ni ngumu na unajua kabisa ndan ya miaka 5 bado kutakua hamna faida, ahadi ya kurejesha huo mkopo + interest ndan ya miaka 5 unatoa wap?
Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
- -------------
Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe International Airport.
Some of the unfavourable provisions in the loan agreement that Uganda signed with the Export-Import (Exim) Bank of China on March 31, 2015, if not amended, expose Uganda’s sovereign assets to attachments and take-over upon arbitration awards in Beijing.
Our investigations found out that any proceedings against Uganda Civil Aviation Authority (UCAA) assets by the lender would not be protected by sovereign immunity since Uganda government, in the 2015 deal, waived the immunity on airport assets.
Highly-placed sources said the risk presented by the Financing Agreement on March 7, 2019, prompted Uganda to send an 11-member delegation to Beijing to plead with Exim Bank to renegotiate the clauses now impugned by Kampala.
Taarifa zaidi: Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
kenya mnaowasifia wana katiba nzuri ndo wanaongoza kwa madeni ukanda huu, wameshapitiliza dept ceiling na sasa deni lao linahesabiwa in respect to the GDP
Sijawahi kuwasifia hao majizi hata siku moja
Nimeandika Africa kwa ujumla hakuna sheria zinazofuatwa
Corruption kila mahali
Huwezi kufanya biashara kwa amani kama nchi zilizoendelea
Nje hatuna pressure
Mku mbona unatuchang'anya. nkilipia cash na nkakubali kusubiri ndege yangu hata kama baada ya mwaka moja au miwili,ntakuwaje nimelipa zaidi ya bei halisi? Si nimekubali kusubiri zamu yangu ifike nitengenezewe?Mara nyingi kwenye manunuzi ya ndege kununua cash huenda kunakuwa na gharama zaidi kuliko kwa sababu;
-Tafsiri ya kununua ndege kwa Cash sio kulipa pesa ili upewe ndege yako hapo hapo (ndio maana Tz inaweza kulipia ndege leo 2021 lakini ikakabidhiwa ndege yake 2023), tafsiri sahihi ya kulipa Cash ni kutanguliza pesa ili upewe kipaumbele cha kutengenezewa ndege yako (To get first priority)pasipo kuathiri booking za wateja wengine waliokutangulia. Na hapo utaweza kulipishwa zaidi!
-Pesa unayoitoa kama Cash kununua ndege ni mtaji usiozalisha faida papo kwa papo, lakini ungeweza kupewa ndege kwa mkopo na kuizungusha kutengeneza faida ambayo utaitumia kulipia mkopo.