OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
ukanda upi? Toa kichaa chako hapa
Ha ha haa tatizo lenu wapenda siasa hamna consistency!!!!!
Vipi chama kinaendeleaje by the way!!!!!!??????
ukanda upi? Toa kichaa chako hapa
Inasikitisha sana kuona Kiswaahili kikiandikwa namna hii.
Hivi, wewe ni Mtanzania na Kiswahili ni lugha ya Taifa lako?
Ukistaajabu ya musa utayaona ya mkwele!
Makada wa vyama hao babu!!!!
Mzima lakini kaka sosoliso
we hapa ndio umejibu hoja gani? Hakuna hoja hapa ni umbea tu
ukanda upi? Toa kichaa chako hapa
we zuzu una akili gani?
Ndugu watu walisha Binafsisha hiyo kitu na Kufanya Mali yao. Alafu cha ajabu anayefanya hayo na yale ya UDA ni yule yule aligombanaga na MKAPA akiimba wimbo wa Uzawa kumbe Mwizi Mtupu!
CAG anakagua mpaka huko kwa msajili wa hazina.....kama ana mashaka na baadhi ya umiliki wa taasisi za umma kwanini asichunguze hilo wakati anakagua kwa Msajili? ........Kwanini CAG asubiri majibu ya Msajili while ana mamlaka ya kwenda kukagua akapata anachokitaka?......sometimes hizi hoja zinaibuliwa ili kujilinda incase akiulizwa kwanini hakulifanyia kazi......ukiona hivyo maana CAG anajua kwenda "beyond the line" anatafuta mengine hivyo kaamua kuandika hoja ambayo anajua msajili hataijibu na yeye kuonekana amefanya kazi yake.....mkono uende kinywani.....
CAG alifanya kazi yake akamaliza na aka uliza maswali, kwenye auditing lazima auditee apewe nafasi ya ku-react kweny audit querry, so CAG anafanya kazi kwa kufuata procedure siyo kufanya upolisi. Amesubiri majibu muda umekwisha sasa ndo kafunguka na ndipo utaona cheche.
Source: Mwananchi page 12
- Pride Tanzania inamilikiwa na serikali 100%
- ilisajiriwa mwaka1993 Mei 5
- Hesabu za pride hazijawahi kuwasilishwa kwa CAG kama inavyotakiwa kisheria
- kutowasilishwa mahesabu kunazua maswali mazito kwa watanzania.
- Mtaji wa kuanzishwa ulitoka NORAD kwa makubaliano na URT
- CAG aliandika barua 20/6/2012 kuomba maelezo juu ya umiliki wa pride hakupata majibu toka ofisi ya MSAJIRI WA HAZINA
- Hadi leo msajiri wa hazina hajawahi kujibu hiyo audit querry
Hao WATU ndio serikali yenyewe wakiongozwa na Mr. LionIna maana serikali ilikuwa haijui au ulikuwa ni mradi wa watu?
Bangusilo [Kondoo Wa Kafara]
Jipu Kubwa Tanzania Ni Moja Lipo Msoga!!!
Kama Pride Tanzania ni mali ya serikali tusubiri tuone hili jipu litakavyotumbuliwa maana limeenea mwili mzima!Source: Mwananchi page 12
- Pride Tanzania inamilikiwa na serikali 100%
- ilisajiriwa mwaka1993 Mei 5
- Hesabu za pride hazijawahi kuwasilishwa kwa CAG kama inavyotakiwa kisheria
- kutowasilishwa mahesabu kunazua maswali mazito kwa watanzania.
- Mtaji wa kuanzishwa ulitoka NORAD kwa makubaliano na URT
- CAG aliandika barua 20/6/2012 kuomba maelezo juu ya umiliki wa pride hakupata majibu toka ofisi ya MSAJIRI WA HAZINA
- Hadi leo msajiri wa hazina hajawahi kujibu hiyo audit querry