mzawahalisi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 752
- 238
Kweli binadamu ni katili zaidi ya wanyama pori.huwa tunawaonea tu tunaposema mtu mkatili kama mnyama.. ilifaa kusema mkatili kama binadamu ama ukatili wa kibinadamu
Sociologist hutaki kwenda beyond observable!!!!!?????
Huweki premise ila unakomaa na conclusion!!!!?????
Validity na reliability ya majibu yako ni questionable!!!!?????
Armchair sociologist at best!!!!!!!
CAG agombee urais!
serikali haihusiki kabisa na pride..ni mali ya watu binafsi
Sociologist hutaki kwenda beyond observable!!!!!?????
Huweki premise ila unakomaa na conclusion!!!!?????
Validity na reliability ya majibu yako ni questionable!!!!?????
Armchair sociologist at best!!!!!!!
Yaaani wananchi wanawachukulia viongozi kama malaika hawataki ku question!!!!!!mtu anabisha kabla ya kupata facts.
PRIDE ni NGO ya watu binafsi na wala siyo mali ya serikali, kama walipata fedha serikali hilo ni jambo jingine lakini siyo mali ya serikali.
- Pride Tanzania inamilikiwa na serikali 100%
- ilisajiriwa mwaka1993 Mei 5
- Hesabu za pride hazijawahi kuwasilishwa kwa CAG kama inavyotakiwa kisheria
- kutowasilishwa mahesabu kunazua maswali mazito kwa watanzania.
- Mtaji wa kuanzishwa ulitoka NORAD kwa makubaliano na URT
- CAG aliandika barua 20/6/2012 kuomba maelezo juu ya umiliki wa pride hakupata majibu toka ofisi ya MSAJIRI WA HAZINA
- Hadi leo msajiri wa hazina hajawahi kujibu hiyo audit querry
Source: Mwananchi page 12
Hhaha! Mimi sikuzote najua kuwa Pride ni Mali ya Idd Simba, Lakini najua pia hawa jamaa wanapokea Misaada mingi kutoka Nje kupitia Mgongo wa Serekali na Umasikini wa waTanzania. Shime waTanzania tuwahi kukaba huko tukawahi Mali zetu maana ishajulika hivi Uchelewi kusikia Kampuni Imeflisika na kwa sasa Jamaa ni Full Bank na sio Tena Microfinance Institute.
PRIDE ni NGO ya watu binafsi na wala siyo mali ya serikali, kama walipata fedha serikali hilo ni jambo jingine lakini siyo mali ya serikali.
SAIGON club,unaijua?Sijajua kwa nini Iddi Simba and Company serikali inawaogopa sana! Manake ii Pride imekuwa milki yao!
CAG anakagua mpaka huko kwa msajili wa hazina.....kama ana mashaka na baadhi ya umiliki wa taasisi za umma kwanini asichunguze hilo wakati anakagua kwa Msajili? ........Kwanini CAG asubiri majibu ya Msajili while ana mamlaka ya kwenda kukagua akapata anachokitaka?......sometimes hizi hoja zinaibuliwa ili kujilinda incase akiulizwa kwanini hakulifanyia kazi......ukiona hivyo maana CAG anajua kwenda "beyond the line" anatafuta mengine hivyo kaamua kuandika hoja ambayo anajua msajili hataijibu na yeye kuonekana amefanya kazi yake.....mkono uende kinywani.....
SAIGON club,unaijua?