Manyi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 3,253
- 605
SAIGON club,unaijua?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/324761-saigon-club-na-siasa-za-tanzania-print.html
Huwa siongei sana!
SAIGON club,unaijua?
huyu jamma ni hatari kubwa si ni yule aliyeuza UDA kimizengwe!!!!!!
Inasikitisha sana kuona Kiswaahili kikiandikwa namna hii.
Hivi, wewe ni Mtanzania na Kiswahili ni lugha ya Taifa lako?
CAG agombee urais!
hongera ya nini hapo hizi pesa hatoi mfukoni kwake zimepatika baada ya wafadhili kuisaidia serikali yetu na kama ukakguzi haufanyiki kuna siku tutaambiwa kwa pride imefilisika hakuna cha faida na oesa zote zimeyeyuka kama ilivyokuwa kwa UDAmambo ya uda hayahusiki hapa..pride ni taasisi ya mikopo inayowasaidia sana watanzania masikini..watanzania wengi sana wamenufaika na mikopo ya pride..hongera sana idd simba kwa kuwakomboa wanyonge
hongera ya nini hapo hizi pesa hatoi mfukoni kwake zimepatika baada ya wafadhili kuisaidia serikali yetu na kama ukakguzi haufanyiki kuna siku tutaambiwa kwa pride imefilisika hakuna cha faida na oesa zote zimeyeyuka kama ilivyokuwa kwa UDA
serikali haihusiki kabisa na pride..ni mali ya watu binafsi
mambo ya uda hayahusiki hapa..pride ni taasisi ya mikopo inayowasaidia sana watanzania masikini..watanzania wengi sana wamenufaika na mikopo ya pride..hongera sana idd simba kwa kuwakomboa wanyonge
sasa huyo cag toka kipindi chote hicho hajaikagua pride anafanya nini? Si bora ajiuzulu tu maana kazi imemshinda
Aiseee.. Halafu unajitambulisha na chama kipya cha act..! Unashindwa hata kujibu hoja kwa hoja..! Kweli akili ni nywele ila nina shaka wewe una kipara lol..
nani kakudanganya ukaguzi haufanyiki? Hata kama ni hela za wafadhili mradi zinawasaidia watanzania hamna shida
we hapa ndio umejibu hoja gani? Hakuna hoja hapa ni umbea tu
Jisomee hapa mkuu ili uchangie vizuri zaidi
..:::.. Promotion of Rural Initiative and Development Enterprises Limited (PRIDE Tanzania) ..:::..
Ha ha haaaaaa sasa naona ukanda unakubalika!!!!!!!
Teh teh,ina maana serikali nd inawanyanganya raia wake vitanda na magodoro wasipolipa?
yaliyo kuwa chini ya kitanda yatawekwa juu ya mapaa ya nyumba! Msiuane tu!Source: Mwananchi page 12
- Pride Tanzania inamilikiwa na serikali 100%
- ilisajiriwa mwaka1993 Mei 5
- Hesabu za pride hazijawahi kuwasilishwa kwa CAG kama inavyotakiwa kisheria
- kutowasilishwa mahesabu kunazua maswali mazito kwa watanzania.
- Mtaji wa kuanzishwa ulitoka NORAD kwa makubaliano na URT
- CAG aliandika barua 20/6/2012 kuomba maelezo juu ya umiliki wa pride hakupata majibu toka ofisi ya MSAJIRI WA HAZINA
- Hadi leo msajiri wa hazina hajawahi kujibu hiyo audit querry